nchi

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Bernard Kamilius Membe: Nitagombea Urais wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo

    Jana niliombwa na leo nimekubali rasmi kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya chama cha ACT Wazalendo. Huu ni wakati muafaka kwangu wa kushiriki katika mazungumzo na vyama vingine kama CHADEMA ili tusimamishe "KISIKI CHA MPINGO" kimoja!. ======= WASIFU...
  2. JamiiForums Tanzania Mteja wa Vodacom sasa anaweza kupokea pesa kutoka nchi za nje akitumiwa kwa njia ya World Remit, Money Gram na Juba express

    Kilio cha wadau cha kutaka kurahishwe njia za kupokea pesa zimeanza kusikilizwa Sasa hivi Mteja wa vodacom mwenye Mpesa Sasa waweza pokea pesa toka nchi za nje kwenye simu yako ukitumiwa kwa njia ya World Remit,Money Gram na Juba express. Kama una mtu nje na una namba ya vodacom yenye Mpesa...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Wazee ni Hazina , Mkongwe Steven Wassira achukua fomu ya kugombea Ubunge Bunda

    Kwa mara ya mwisho alionekana Dodoma kwenye Mkutano Mkuu wa CCM akilalamika kuibiwa kura 2015 , naona sasa amekuja na mkakati mpya . Mytake : Wassira bado yupo
  4. JamiiForums Tanzania Equador ndio Nchi ambayo iko karibu kabisa na Mwezi na Nyota Duniani

    Nchi ya Equador iliyoko Amerika ya kusini ndio nchi ambayo iko karibu kabisa na mwezi na nyota duniani Ukiwa kule kwenye mlima Chimborazo ulioko nchi hiyo nyota na mwezi unaziona juu karibu na kichwa chako
  5. JamiiForums Tanzania Shehena ya Bangi yanaswa Arusha ikisafirishwa nchi jirani

    Shehena ya Bangi yanaswa Arusha ikisafirishwa nchi jirani Jeshi la Polisi mkoani Arusha limekamata shehena ya Bangi inayokadiriwa kufikia magunia 15 yakisafirishwa kwenda nchi jirani kwa kutumia gari dogo la abiria aina ya Noah. Kamanda wa polisi mkoa wa Arusha ACP Salumu Hamduni amesema...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Tujue moja: Nchi hii ajira kwa graduates zimeshafutwa!

    Miaka mitano hamna ajira kabisa wala kupandishwa mishahara wafanyakazi? Hebu vijana unganeni mumtoe huyu jamaa hata akiiba kura ingieni barabarani. Hakikisheni utawala kama ule wa JK wa kuajiri kila mwaka madaktari na walimu unarudi la sivyo huyu jamaa atawaua maana hajali lolote bora mfe ila...
  7. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa fedha nchi za SADC kuanza leo Dar

    Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, anatarajiwa kuongoza Mkutano wa Mawaziri wanaohusika na masuala ya Fedha na Uwekezaji wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Jopo la Mapitio ya Uchumi Mpana (Peer Review Panel) unaotarajiwa kufanyika tarehe 15 Julai...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Wapinzani mnatambua kabisa Rais Magufuli ni mtendaji, mchapa kazi na mtekelezaji mzuri. Bado hamuoni aibu kuchukua fomu za urais!

    Kuna tatizo la kufikiri kwa kutumia akili za kawaida ndani ya vyama vya upinzani hapa Tanzania. Sababu kwa akili za kawaida tu unaweza kupata uthubutu upi wa kupambana na rais kama Magufuli? Chama Cha Mapinduzi kina misingi imara na thabiti ambayo kimekuwa kikiisimamia tokea kuanzishwa kwake...
  9. JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kinatokea kwa bahati mbaya katika siasa ya Bongo

    Wanabodi, Kwanza hakuna kitu kinatokea kwenye siasa kwa bahati mbaya. Kila kitu hupanga na wenye akili "Elites" ambao wengi wao hawapo kabisa kwenye siasa ila ndio wanaamua siasa. Ukiona siasa ya Mkapa,Kikwete na leo JPM ujue wao wenye siasa yao wameamua kuifinyanga iwe hivyo unavyoiona leo...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini Askofu Bagonza hakamatwi ila Sheikh Ponda? Tunaomba Serikali itoe ufafanuzi

    Askofu Bagonza amekuwa akiikosoa Serikali waziwazi na mara ya mwisho amehamasisha watu wavae nguo nyeupe maarufu kama 7/7 na Polisi kuzuia maandamano siku hio lakini alietoa tamko hajakamatwa. Namna masuala yanavoshughulikiwa ndipo dhana mbaya hujegeka. Au kwa kwa sababu yeye ni Askofu hawezi...
  11. JamiiForums Tanzania Vitambulisho vinavyothibitisha mtu hawezi kuambukiza wengine COVID-19 vitaanza kutumika katika nchi 15 duniani ikiwemo Afrika Kusini

    Utangulizi: Nchi kumi na tano, Italy, Portugal, France, India, the US, Canada, Sweden, Spain, South Africa, Mexico, United Arab Emirates and the Netherlands zimekubali kuingia rasmi kwenye mfumo wa kutumia vitambulisho vinavyo thibitisha kwamba mtu hawezi kuambukiza wengine C-19, COVI-PASS...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Trump azipiga lock nchi zote Africa kasoro 1 tu. Trade deal na Kenya is laughable

  13. B

    JamiiForums Tanzania Membe: Nchi hii inahitaji majasiri kama mimi

    10 Julai 2020 Siasa za Tanzania na uchaguzi 2020. Kipindi cha Mwandishi wa habari mahiri, mwanadiplomasia na Mwanasheria wa Mahakama Kuu ndugu Jenerali Ulimwengu anazungumza na Bernard Membe. Baada ya leo Halmashauri Kuu ya CCM ikiwa imeunga mkono kufukuzwa uanachama toka CCM siku ya...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Ombi kwa Magufuli: Piga chini Wazee kuanzia 65-90, kwani hawana shukrani na ajira, kura za maoni ziwe na wenye maono sio walioshindwa kujenga nchi

    Wana JF, Kuna Wazee wengi mfano wa Wassira bado wana uchu wa kuingia bungeni, Wazee kama Mkuchika piga chini wazee wote kwani ndio waliotudhooofisha kwenye kwenye maendeleo kwenye miaka waliohudumu walikuwa ni ndiyooo kwenda mbele, hawa wazee so kwamba wana lolote Bali ndio waliotengeneza CCM...
  15. JamiiForums Tanzania Kasi ya ukuaji uchumi wa Tanzania kufunika nchi zote Mashariki mwa Afrika

    Uchumi wa Tanzania unategemea kukua kwa asilimia 5.2 mwaka huu wakati ambapo nchi nyingine sita za Mashariki mwa Bara la Afrika zikitarajia kuporomoka kiuchumi kwa sababu ya athari za janga la corona. Kiwango hicho cha ukuaji wa uchumi wa Tanzania ni zaidi ya nchi zote za Mashariki mwa Bara la...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 TLP kuwa chama kikuu cha Upinzani maana yake nini? Je, ni mifumo ya nchi haitaki Upinzani wa kukosoa na kuamua kutengeneza upinzani wa kuchonga?

    WanaJF salaam, Nimekuwa kimya kidogo kuwapatia ABC za 2020; hii ni kutokana na majukumu mengi ya Kitaifa. Najua mnajua kinachoendelea nchini hasa kwa upande wa Upinzani serious ambao ni Chadema na ACT-Wazalendo. Ukweli ni kwamba dola halifurahishwi na namna Upinzani Tanzania unavyoendeshwa...
  17. JamiiForums Tanzania DON NALIMISON ana matarajio ya KUOA Mwanamke wa aina gani na atatoka nchi gani?

    SITARAJII KUOA Mbunge Wala Waziri Wala Mkuu wa Wilaya au Mkoa Wala Katibu Tawala.Labda Kama kunizalia watoto au kunifariji kimahaba. DON NALIMISON, nitaoa Msanii mwenzangu ama Mwanamziki au Mwanamitindo kutoka Nchini Marekani au Uingereza au Miss kutoka Miss World. G9ty. JIPANGENI UPYA.
  18. L

    JamiiForums Tanzania Kukamatwa na kuhojiwa kwa tuhuma za rushwa watia nia wa CCM, sehemu mbalimbali nchini kunaashiria nini miaka 5 ya serikali ya awamu ya 5?

    Kila siku kupitia vyombo vya habari tunasikia watia nia wa CCM sehemu mbali mbali za nchi yetu amawanahojiwa na TAKUKURU au kukamatwa na polisi kwa TUHUMA za RUSHWA. Je, hii inamaana gani kwa utawala wa awamu ya 5?
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nchi 10 kati ya 54 za Afrika na 72.19% ya GDP, bado tuna safari ndefu

    Tumekuwa tukiaminishwa kuwa uchumi wa nchi za Afrika unaendelea kuwa imara; ukuaji halisi unaongezeka, ikiashiria uwepo wa sera madhubuti za uchumi jumla, maendeleo mazuri katika maboresho ya miundo (hususan katika uboreshaji wa miundombinu), na mifumo ya sera nzuri na madhubuti kiujumla...
  20. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mkutano Mkuu kura zote kwa Magufuli kuelekea nchi ya Maziwa na Asalia

    Mkutano Mkuu wa CCM unakutana hivi karibuni kumchagua mwana CCM wa kupeperusha bendera ya chama kwenye nafasi ya Urais wa Jamhuri wa Tanzania,msifanye makosa turudishieni JPM Ili akamilishe kazi aliyoibakiza kwenye ilani 2015-2025 na kuanzisha miradi mipya ili kuongeza kasi ya kwenda uchumi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…