Sijafahamu Kwa wengine ikiwa hupata haki Kweli kunapotokea shida za kiajira/kikazi katika nchi za kigeni, lakini hii imekuwa ni kinyume kabisa Kwa balozi zetu zilizoko Abdhabi,
Mwaka 2016, Mzee mmoja Kwa majina yake akiitwa Kwa Jina, naliweka (Kapuni) ni Mtanzania, alibahatika kupata Kazi...