Nimeangalia matokeo ya form six nimeshangaa kuona idadi ya shule za A level ni 610 tu nchi nzima. Kama nakumbuka vizuri, shule za O level zaidi ya 3,000. Na nyingi ya hizo shule za A level zinawanafunzi wa Olevel pia, hivyo siyo kuwa shule yote inatumika kufundisha A level.
Kwa data hizo...
Tanzania imeendelea kufanya vizuri katika kudhibiti mfumuko wa bei wa Taifa ikilinganishwa na nchi nyingine za Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa kipindi cha mwezi June, 2021.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii, Ruth Minja, Jijini Dodoma ambapo amesema kuwa mfumuko huo kwa...
Najiuliza Kama katibu mkuu CCM ametangaza kufanyika mikutano ya hadhara nchi nzima itakayo fanywa na wabunge, madiwani, wenyeviti wa CCM wilaya,kata,vijiji na mitaa,zuio la Rais lilikuwa linawahusu watu gani?
Pia Rais ambaye ni mwenyekiti wa CCM naye anazunguka kiaina kukutana na wananchi na...
"Niko Unguja na Wazanzibari wanamwambia Mama Samia "Kitendo cha yeye Kuzuia madai ya Katiba Mpya ni kuwanyima Wazanzibari fursa ya kuwa nchi yenye Mamlaka kamili, wanamkumbusha kuwa yeye kama mzanzibari anatakiwa alinde Maslahi ya Zanzibar asilewe Madaraka"-CPA Catherine Ruge
HII NDIO ORODHA YA MAKUNDI YA WATU WANAOHITAJI KATIBA MPYA
Na, Robert Heriel
Mjadala unaoendelea katika Siasa mitandaoni ni ishu ya Katiba.
Wanaohitaji Katiba Mpya wamegawanyika katika makundi Yafuatayo;
1. Wanasiasa hasa wa vyama vya Upinzani
2. Wanasiasa upande wa Zanzibar.
3...
Kenya, Tanzania na Rwanda zimeendelea na juhudi zao katika kutanganza vivutio vyake katika soko la China ikiwa ni pamoja na vivutio vya utalii, sanaa za mikono, na hata bidhaa za kilimo kama kahawa. Kwenye hafla moja iliyofanyika mashariki mwa mji wa Beijing na kutangazwa moja kwa moja kwa...
Aliyekuwa mwenyekiti wa Tume ya Katiba mpya Jaji Warioba amesema wananchi hawa wanaoitwa " Wanyonge" ndio wenye nchi.
Warioba amesema Rais Samia amesimama imara kwenye utendaji wake baada ya kifo cha hayati Magufuli na amekubali kushughulikia suala la katiba mpya.
Jaji Warioba amesema kuna...
Mjadala ulioshika kasi nchini ni madai ya Katiba mpya, hasa kutoka vyama vya upinzani.
Naweka bandiko hili baada ya kusoma michango wa ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Dk. Benson Bagonza. Nanukuu baadhi ya michango yake:
Hoja ya...
Wasalaam,
Nimeshangaa kuona kupitia bajeti ya 2021/22 serikaliri inaondoa kodi kwenye nyasi bandia ili kuhamasisha matumizi yake nchini, cha kushangaza sera hii imeungwa mkono na wabunge kama kwamba hawana uelewa wa masuala ya kimataifa ya mpira, hata TFF sikuwasikia wakitia neno wakati wanajua...
Nafikiri kuna mambo yanatakiwa kuwekwa katika vitabu ili kuweka historia sawa. Tunahitaji vitabu vidivyo kuwa kna muegemeo wowote, vitakavyotoa fact tu. Unafikiri vitabu kuhusu nini? Mimi nafikiri.
1. Kitabu kuhusu kashfa ya Lowasa na kujiuzulu kwake.
2. Kitabu kuhusu maisha ya JP Magufuli...
Kuondolewa kwa Vikwazo 30 Kati ya 64 vya kibiashara baina ya nchi ya Tanzania na Kenya, kumechangia kufunguka kwa milango ya kibiashara katika Mpaka wa Namanga.
Mkuu wa Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha, Nurudin Babu.
Hata hivyo, Mkuu wa Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha, Nurudin Babu...
Friends and Enemies,
Sikio la kufa haliskii dawa,tumekuwa wahanga wa siasa za majukwaani na mihemko kwa muda mrefu sana nchi hii tena zenye manufaa makubwa sana sana kimaslahi kwa wanasiasa,
Japo kama nchi tunahitaji chama cha siasa kituongoze hatuna jins kuendelea na siasa.
Ni ukweli ulio...
Mapema wiki hii mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani WHO Bw. Tedros Ghebreyesus aliitangazia dunia kuwa China imetokomeza ugonjwa wa Malaria. Taarifa iliyotolewa na WHO inasema Bw. Tedros amepongeza mafanikio hayo ambayo ametaja kuwa yamepatikana kutokana na kazi ngumu iliyofanyika kwa zaidi ya...
Kwa sasa utagundua hakuna kitu kinachotuunganisha watanzania. Hakuna.
Unaweza sema ni chama. chukulia ccm.utagundua wakati wa mapambano kati ya ccm na cdm ccm wote watakuwa dhidi ya cdm.watawatenga ccm wakiamini wao wameshikamana.
Ila ingia ndani ya ccm.waweke kwenye udini.watajigundua wote ni...
Chadema ni chama cha siasa chenye wanasiasa ambao si makini.
Ni chama kilichokusanya watu wanojiita wanasiasa lakini hawana mbinu za kuishi kwenye siasa.
Miaka mitano ilopita Chadema walipata shida na hawakuweza kujinafasi na serikali ambayo iliongozwa na raisi ambae hakuwa tayari kuvumilia...
Rais amesema apewe muda akuze uchumi kisha ndipo atafuatilia mambo mengine. Ni jibu zuri kiasi maana ni ahadi. Sasa ili uchumi ukue haraka inabidi nchi yetu iweze kuzalisha chuma na ijitosheleze katika uzalishaji huo.
Ni ngumu sana nchi kuendelea na kuwa ya viwanda bila kuwa na chuma. Hakuna...
Habari wa ndugu. Ni swala ambalo liko wazi kuwa nchi ya Rwanda imeendelea kwa vipimo vingi ukilinganisha na mkoa wa Kagera. Hizi sehemu mbili zimepakana na hali ya hewa na mambo mengine wanafanana kwa karibu sana. Lakini ukiangalia sehemu hizi mbili utaona kama Kagera ina Advantage ya kuwa...
Tume huru ndio kila kitu.
Itajenga Tanzania imara na itakayo ogopeka na kila mtu.
Tanzania itarudi mikononi mwa wananchi.
Uchaguzi ufanywe tume huru ndio iwe inaamua, kura itakua adhabu kwa viongozi wanaofanya Tanzania ni mali yao. Wabunge wasio na sifa wote wataenguliwa kwenye sanduku.
Chama Cha mapinduzi pambaneni kwa hoja achaneni na dola. Mnatia aibu mambo madogomadogo yanayowekwa kimkakati na wapinzani wenu yawachafue kimataifa mnashindwaje kuyang'amua.
Vimitego vidogo vidogo mnavyoshindwa kuving'amua ndivyo binawapa mailage ya kisiasa chadema na wafuasi. Mmekubali kuwa...
Mwandishi wa habari nguli nchini na mwanasheria Pascal Mayalla amesema Chadema wanapaswa kurekebisha kwanza katiba ya chama chao kabla ya kukimbilia kudai katiba mpya ya nchi.
Pascal amesema Chadema hawana fedha za kuitisha kikao cha kujadili rufaa za wabunge wake wa viti maalumu sasa fedha za...