nchi

  1. JamiiForums Tanzania Tuuseme tu Ukweli. Nchi imepakwa Makeup ila Uhalisia sio kabisa

    Wana JF. Naamini sote huko tuliko tunaendelea kusikilizia maumivu ya hari ya maisha ilivyo. Nirudi kwenye mada. Kwa sasa hii nchi ni kama mwanamke aliye pakwa makaup na pindi tu anapofuta makeup anarudi kwenye uharisia wake. Hivi sasa mambo hata hayaeleweki, serikali inakamua hadi tone la...
  2. JamiiForums Tanzania Tukiachana na ugumu wa Maisha, Tanzania ni moja ya nchi zenye vijana wasiojitambua kwa kiwango kikubwa

    Nipo Sehemu X Katika Mafunzo ya Sensa ya watu na makazi itakayofanyika Usiku wa kuamkia tarh 23. In short vijana 80% Ni brainwashed Sana Hiki kiazazi cha 20+ na 30+ nikizazi kilicho oza Kuanzia maadili na Akili kichwani. Watu 24/7 wanawaza ngono na Pombe hapa wadada wanavaa uchi huku...
  3. JamiiForums Tanzania Sheria ya mapori tengefu (game controlled areas) imekaa kikoloni, imekaa kinyanyasaji; kama nchi tusiitumie

    Habari za jioni wana JF wenzangu. Mtakumbuka kwamba kulikuwa na mada moto moto katika Bunge lililopita, ambalo lilikuwa maalum kwa ajili ya bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2022/2023, kwa maana nyingine ni Bunge Maalum kwa ajili ya kujadili utekelezaji wa mipango ya serikali kwa mwaka wa...
  4. JamiiForums Tanzania Sielewi ni kwanini Rwanda nchi ndogo ichukue wakimbizi kutoka UK

    Heshima sana wanajamvi, Rwanda imeingia mkataba wa kuwachukua wakimbizi waliokimbilia UK kutafuta fursa mbali mbali za kiuchumi na wengine wakikimbia vita vya wenyewe kwa wenyewe. Rwanda ni nchi ndogo sana kwa maana ya eneo huku ikiwa na idadi kubwa sana ya watu.Rwanda ni nchi ya tano kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Chanzo cha matatizo nchi hii ni CCM na vibaraka wake

    Sina uhakika kama nitaweza kuielezea mada hii vizuri ila nianze kwa kusema kuwa nimefuatilia muundo wa jamii ya kitanzania, nimegundua unaweza kutugawanya katika makundi mawili kulingana na mitazamo yetu. Upande mmoja ni wale watu ambao wanapenda kutafuta ukweli wa mambo, hawaogopi kukosolewa...
  6. JamiiForums Tanzania Nchi inaongozwa na CCM, kwanini wanalaumiwa CHADEMA?

    Kwa ufuatiliaji wangu niliofanya kwenye mambo mbali mbali, nimegundua kwamba CHADEMA imekuwa ikilaumiwa mara nyingi kwamba haitimizi wajibu wake hadi mambo yanaharibika. Kwamfano; Wakati wa Bunge la katiba CHADEMA iliongoza vyama vingine kutoka kwenye vikao vilivyokuwa vinaendelea vya Bunge la...
  7. JamiiForums Tanzania Idadi ya Nchi zinazoongozwa na Rais mwanamke Africa

    Ninaomba kupatiwa Idadi ya nchi Za africa zinazoongozwa na Mara is wanawake.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kinana please ongelea suala la bando, wewe pekeee ndiye unayesikilizwa nchi hii kwa sasa

    Kwa kuwa wewe ndiye ukiongea kitu kesho yake kinafanyiwa kazi tusaidie hili la wizi wa makampuni ya simu kuibia watu data/bundle wanapandisha na hata ukikubali kulipia kiasi wanachotaka mb zinafyekwa kibabe Kwa kifupi ni wezi ,malalamiko yakitolewa waziri husika Nape nnauye kazi yake ni...
  9. JamiiForums Tanzania Orodha ya watu wanaojiona wajanja nchi hii

    ORODHA YA WATU WANAOJIONA WAJANJA NCHI HII! Anaandika, Robert Heriel! Nchi hii inamambo Sana. Leo sina mengi ya kusema, nijikite kwenye Uzi. Ifuatayo ni orodha ya Watu wanaojiona ni wajanja na Werevu. 1. Wasanii wa Muziki, BongoFleva Kundi hili ndilo linaongoza Kwa kudhani kuwa wao ndio...
  10. JamiiForums Tanzania SoC02 Tabasamu ya nchi yangu

    Naitwa Kendrick de hustle ningependa kuchangia mawazo yangu ili kiweza kuboresha mabadiliko kwenye Nchi yangu🇹🇿. Kwenye sketa ya ELIMU. Ningependa kuona mabadiliko ya kuongezwa mishara kwa WALIMU kutokana wao ndio kiini kikubwa kwenye kukuza huelewa wa wanafunzi kwenye sketa nyingine kama...
  11. JamiiForums Tanzania Je, wajua tatizo kubwa sana kwenye nchi yetu ni lipi?

    Wakuu, Nakubali tatizo kubwa ni katiba iliyopo na najua muda si mrefu tutaipata! Tatizo kubwa zaidi hapa kwetu ni kwamba;-tuliamua kama Taifa , kuwepo mishahara MIKUBWA sana, posho kubwa sana na mafao makubwa Sana yawepo kwenye siasa kuliko kada nyingine zenye mashiko na maendeleo kwa wote...
  12. JamiiForums Tanzania Rais wa US akiri uchumi wa nchi yake waporomoka

    Thursday’s reading is a blow to the Biden administration, which many have blamed for record-high inflation and soaring interest rates that have caused consumers to tighten their purse strings. Reacting to the second quarter GDP report, Biden avoided addressing the recession issue. Instead, he...
  13. I

    JamiiForums Tanzania SoC02 Sera za kodi, ushuru na miundombinu bandarini zinavyozorotesha uchumi wa nchi

    Habari wana JF Napenda kuwashirikisha wanajamii wenzangu juu ya uchumi wa nchi ya Tanzania kudhoofika na kuendelea kukua kwa kiwango kidogo sana kwa kila mwaka ni kutokana na kuwa na sera za kikodi na ushuru ambazo zinawavunja moyo wawekezaji na wafanyabiashashara wengi kupelekea kudorora...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na haki sawa kwa Mwanamke

    Rais Samia Suluhu Hassan anaitambua nguvu ya mwananmke ndio maana ameteua wanawake wengi kwenye uongozi wake ile dhana ya mwanamke hawezi imefutika na hii ni maana halisi ya haki sawa. Kwa sasa Tanzania ina Wakuu wa Mikoa wanawake 8 tena wenye uwezo sana. Hii ni rekodi ya kuwa na Wakuu wa Mikoa...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia yatenga tsh. Bil 83.4/- kuinua wachimbaji wadogo nchi zima

    Waziri wa Madini Mh. Doto Biteko chini ya Rais Samia Suluhu imetangaza neema kubwa kwa wachimbaji wadogo nchi nzima. Neema ambayo inakwenda kuwakomboa kabisa kimaisha. Hatua hii imekuja baada ya kuonekana kwamba wachimbaji wadogo na sekta nzima ya madini imekuwa na mchango mkubwa sana katika...
  16. JamiiForums Tanzania Mzee Warioba ameongoza nchi pamoja na mwalimu Nyerere, kwa zaidi ya miaka 30, mbona hakushauri katiba mpya na serikali tatu? Kasubiri amezeeka!

    Baadhi ya watu hujiuliza kwa nini nchi za kiafrika haziendelei, fikiria, Warioba alikuwa mwandani wa Mzee Nyerere, mbona hakuwahi kumshauri katiba mpya, serikali tatu mpaka Nyerere kastaafu?. Ameona yeye ameshazeeka na kuchoka ndio kaona awavurugie wenzake? Mbona hakujiuzuru vyeo vyake ? Au...
  17. JamiiForums Tanzania Tusimlaumu Rais tujilaumu sisi wenyewe {Tanzania nchi yangu}

    tusicho kijua ni kuwa Marais wengi sio Binaadam na sio Watu pia, ili uwe Binaadam ni lazima uwe na sifa za kibinaadam na ili uwe Mtu ni lazima uwe na sifa njema za Kiutu. ndio maana wagombea wa Urais ambao ni Watu na Binaadam watagombea Urais hadi kifo kinawachukua awafanikiwi ng'oo kukikalia...
  18. JamiiForums Tanzania Askari Uwanja wa Ndege KIA wanaharibu taswira ya nchi kwa kubugudhi wasafiri

    Heshima sana wanajamvi, Uwanja wa ndege wa kimataifa (KIA) Kilimajaro International Airport ni lango la utalii Tanzania.Uwanja huu umekuwa ukipokea wageni wengi wanaokuja kutalii katika Hifadhi zetu zilizojaliwa kila aina ya vivutio. Bahati mbaya yupo askari mmoja kijana Mwanaume anayevalia...
  19. JamiiForums Tanzania Hii nchi inahitaji kuongozwa kidikteta, Namkumbuka Hayati Magufuli sana!

    Kuna wakati unafika tunammis JPM kuoitia hili sakata la TUCTA na serikali hqpa nimemkumbuka sana JPM, sometime udikteta unasaidia Miaka sita watu hawajaongezwa mishahara lakini hawakuongea kitu walikaa kimya kabisa kama hakuna lililotokea. Samia kawainua wa kima cha chini kwa 70K na wengine...
  20. JamiiForums Tanzania Je, Shule kufungiwa safari za mafunzo nchini baada ya ajali ya gari la shule Mtwara?

    Badda ya ajali ya leo 26-07-2022 huko Mtwara Shule nyingi sana zimepanga kuwapeleka wanafunzi study tour mikoa tofauti tofauti. Maandalizi na usafiri wanataka kutumia ni school bus ect Binafsi nazipinga hizi safari maana madereva wa magari ya shule hawaja zoea long safari Ni hatari hizi sa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…