nchi yetu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nikiwa mdogo, niliamini nchi yetu haina udini lakini nilipofika shule ya Advance Imani hiyo ilitetereka. Udini upo hasa kwenye nafasi Nyeti

    Hamjambo wote! Ni ngumu Sana kuitenga Dini na Siasa. Ngumu Sana. Ikiwa nchi inawananchi wengi wanaoamini katika Miungu na Dini huwezi kutenganisha siasa na Dini. Ndio maana wanasiasa katika nchi zenye kuamini Miungu na Dini watanyumbulika watakavyo nyumbulika, watakukuruka watakavyo kukuruka...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mchinjita: Kasi ya ongezeko deni la taifa chini ya Rais Samia haijawahi kutokea tangu nchi yetu ipate uhuru

    "Hadi kufikia Aprili 2025 deni la Serikali limefikia shilingi trilioni 107.70 ikilinganishwa na shilingi trilioni 91.7Machi mwaka 2024. Hili ni ongezeko la shilingi trilioni 16. sawa na 17.23% kutoka mwaka wa Fedha uliopita. Ambapo Deni la Nje ni Trilioni 72.94 na Deni la Ndani ni Trilioni 34.76...
  3. E

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bashungwa alishukuru Bunge kwa kupambana na watu wa nje wasioitakia mema nchi

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Innocent Bashungwa amemshukuru Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Dk Tulia Ackson kwa kuwa Bunge lake limesimama na Serikali dhidi ya watu kutoka nje ya nchi wasiokuwa na nia njema na nchi. Bashungwa amesema hayo leo Juni 9, 2025 wakati akimkaribisha Rais Samia...
  4. Atlast nimempata

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu ni nani anayeweza kukaa mbele ya mamlaka kuu ya nchi yetu namna hii?

    Shida sio kukaa hivyo mbele ya SSH. Shida ni pale Rais kakaa kwenye kiti chenye mamlaka ya utawala na bendera zote mbili ya Rais na ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania zikiwa nyuma yake alafu mtu anakaa mbele ya mamlaka kama yuko geto na masela huku yuko bize na simu na haonyeshi kumsikiliza...
  5. B-2 STEALTH BOMBER

    JamiiForums Tanzania Gen z wa bongo hawana time na siasa za nchi yetu

    Wakuu hawa madogo bwana wana zingua hawajali kuhusu maswala ya kiutawala katika taifa letu pendwa la TANZANIA wao wana waza nyandu tu. Inanipa ukakasi kijana wa chuo haoni maana ya kufuatilia sheria na kanuni za kiutawala katika taifa letu ila yupo aware na connection ya mtoto wa mchungaji...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Mwenyezi Mungu awaangamize wote wanaotaka kuitia nchi yetu kwenye majanga, tumalize uchaguzi kwa amani kabisa

    Wakuu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akifunga mkutano mkuu wa chama hicho leo Mei 30, 2025 amesema "Mwenyezi Mungu ailinde nchi yetu, tumalize uchaguzi kwa amani kabisa na awaangamize wote wanaotaka kuitia nchi yetu kwenye majanga"
  7. W

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa Kenya wanaishambulia Serikali yetu, Nasikitika kuona watanzania wengi wapo kimya, huu sio uzalendo, tuipende nchi yetu.

    Kwa jinsi wakenya wanavyoicharua Serikai yetu huko kwao ni sawa na mteja alieenda Kariakoo kafika Dukani, mwenye duka anamuangalia tu winga anavyomcharua bei mteja bila huruma, watanzania walio kimya hawana tofauti na mwenye duka. Sana sana unaowaona wanajibu mashambulizi ni wenye vyeo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa "system" kutumia mbinu zao zote kukwepa hii mitego miovu ya WEST (US) kuhusu nchi yetu.

    Wakuu kwa sasa sio siri tena kwamba wamarekani wanasukuma kete zao kwa umakini mkubwa kutimiza agenda zao ovu dhidi ya nchi yetu. Hakuna kinachotokea kwa bahati mbaya hadi sasa. Martha Karua, Boniface Mwangi na hao wanaharakati wengine wanatumika tu kwenye hii mikakati ya wamarekani. Tayari US...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa mkombozi aliyebaki wa nchi yetu ni mwananchi mzalendo

    Ndugu zangu kwa hali hii sasa ma papa wamejipanga kupeana vitengo wao kwa wao kwa mipango yao. Tayari wanataka waonyeshe kwamba kuna demokrasia kumbe ni hakuna kitu. Mwananchi wa kawaida kazi yake ni kulipa Kodi kuwalisha ma papa. Ukombozi wa nchi hii upo mikononi mwa WANANCHI wazalendo...
  10. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Siasa za nchi yetu pamoja na wanasiasa wetu wenye tamaa

    Habari jamii Africa. Mmmmh. Poleni wananchi wa Tanzania, Poleni raia wa Tanzania. Lakini poleni zaidi wapenda Mabadiliko wa Tanzania. Mimi ni mmoja wa wapenda Mabadiliko,ambaye sipo upande wowote wa chama,japo kazi zangu naweza jikuta natekeleza ilani ya CCM ila nachojua Mimi nawajibika...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Linalowatesa upande wa mashtaka muda huu ni namna ya kujitoa kwenye kesi, panya kashakula vyote ndani ya mtego ila hajui atoke vipi.

    Hadi sasa sababu nzuri za kumshtaki Lissu kwa makosa ya uhaini zinatia shaka na upande wa mashtaka wanaumiza vichwa kutafuta mashiko katika kesi hii ya kihistoria. Upande wa mashtaka walitamani kesi isikiliziwe uvunguni katika chumba cha giza bila Umma kujua kinachoendelea lakini Lissu...
  12. Pdidy

    JamiiForums Tanzania HATUCHEZI..YANGA MUWE NA MSIMAMO KUOKOA SOKA LA NCHI YETU HAWA WANAZI WA SIMBA KWENYE BODI WAAIBIKE

    Niwapongeze YANGA kwa KUW ANA MSIMAMO WA HATUCHEZI NAOMBA NIWAASE TU KOMAENI KANUNI NA SHERIA WALIZOPANGA NA KUSAINI WENYEWE LAZIMA ZIHESHIMIWE HAWA WANAZI WA BODI YA LIGI WANAOSHABIKIA SIMBA NAAPANLAZIMA WAAIBIKE KAMA WALIHONGWA WATASEMA TU MWISHO WA SIKU PESA WALIZOPOKEA NARUDIA...
  13. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Hapa ndipo nilikuja kugundua Nchi yetu imeshajifia. Kwenye Nchi za Wananchi wanaojielewa kwa tukio hili tu, Serikali isingekuwa Madarakani

    Baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2020 uliogubikwa na kasoro nyingi sana, Magufuli na kikundi chake waliwarubuni Viongozi wasio waaminifu wa Chadema kupeleka majina ya Wabunge wa Viti Maalum ambao baadae walikuja kujulikana kwa jina maarufu la Covid 19. Baadae Chama cha Chadema kilikuja kuwakana...
  14. The Cock

    JamiiForums Tanzania Hongera Dr. Nchimbi, Mungu analo Kusudi na Nchi yetu Tanzania!

    Itoshe kusema katazo lako la wimbo wa kuchochea chuki baina ya wananchi wa vyama pinzani limenipa maono kuwa Taifa hili lina hazina kubwa ya busara na hekima ndani ya watu wake! Tupo salama, tuchape kazi na Mungu atubariki
  15. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Amani na utengamano wa nchi yetu. Ushauri kwa TEC

    Dini zina nafasi kubwa sana kwenye mtengamano na amani ya lo lote lile. Ndiyo maana kwa kuliona hili, baadhi ya nchi serikali zake zinatawaliwa na dini moja, hususanj huko Uingereza nk Anglican High Church.. Nchi yetu ina dini kuu mbili, waislamu na wakiristo. Ingawa katiba ya nchi yetu inasema...
  16. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Msimamo wetu wa kulinda rasilimali mpaka mwisho uko pale pale, wakimfunga Lissu wengine tutasonga mbele

    Makamu Mwenyekitu CHDAEMA, John Heche akiwa anaongea na waandishi wa habari April 12, 2025 ikiwa ni baada ya kutangazwa rasmi kuwa CHADEMA kwa kutofika kusaidi kanuni za maadili ya uchaguzi wamejiondoa rasmi katika kushiriki uchaguzi mkuu 2025 ametoa msimao wa chama, ambapo amesema...
  17. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Tusiikatie tamaa nchi yetu , Bad leaders Pass but Country remains

    Ni miaka imepita , Kama Taifa tumekwama maeneo yote muhimu Kama kuwa na 👇🏾 -Afya bora -Elimu bora -Ajira kwa vijana -Miundombinu bora Kinachotokea tunaenda hatua tano mbele na kurudi hatua kumi nyuma kisha tunajipongeza. Yaani kama alivyowahi kuimba msanii mmoja anajiita Prof Jay katika...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Watu wenye nia njema, mapenzi ya kweli na thabiti na nchi yetu Tanzania ni hawa

    1. Askofu Bagonza 2. Freeman Mbowe 3. Ansbert Ngurumo Kuna mmoja , lakini his recent dealings zinanipa mashaka!. Sitamtaja kwa sasa.
  19. S

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Kiufundi naunga mkono nchi yetu kununua umeme kutoka inje nchi kuliko kusafilisha hadi kaskazini

    Nayazungumza haya nikiwa kama fundi mzoefu katika sekita ya umeme! Nimeona mijadala watu wakilalamika kwanini nchi inataka kununua umeme kutoka inje kwa mikoa ya kaskazini wakati ina umeme wa kutosha? Ni kweli nchi ina umeme wa kutosha lakini haina maana kwasababu umeme upo wa kutosha basi...
  20. Pdidy

    JamiiForums Tanzania TFF/ BODI YA LIGI N TETENAS YA SOKA KWENYE NCHI YETU MTATESEKA SANA MPAKA WALE WATU WAONDOKE PALE AMA UMWENGUNI

    WAKATI WATANZANIA MKSHANGAA VITUKO VYA JANA ISSUE IKO HIVI KUNA BOI MEMBERS WAKO PALE WANASAPOTI SIMBA WAKIONGOZWA NA RAIS WA TFF KARIA BAADA YAKUPITA WANAKOJUA SIMBA WAKADANGANYWA KESHO MKIINGIXA TIMU MNAKUFA SI CHINI YA TANO WALICHOFANYA TFF NA WENXIE WA BODI WAKACHEXA DILI NA KAMISHNA...
Back
Top Bottom