Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema kuwa Rais Samia siku ya kesho Jumanne ataongea na wazee wa Dar es salaam lakini atatumia mkutano huo kulihutubia taifa.
Amesema ''Kutokana na Mkoa wetu kuendelea kurejea katika hali yake ya amani Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt...
asubuhi
chalamila
dar
dar es salaam
genge
haramu
ikulu
kesho
kuandamana
kuelekea
kuzungumza
mjadala
mkoa
nani
nchinchiyetu
ndugu
nyingine
rais
rais samia
rc chalamila
saa
sababu
samia
taifa
wazee
Utumbo walio ufanya Sasa ivi unaligharimu taifa..kila sehemu.
Raia hawana Imani na Jeshi la Wananchi. Uadui umekua mkubwa kati ya Polisi na Raia.
Usalama wa Taifa wanaonekana kama migambo wa UVCCM.
Utalii umedorora. Raia wameanza kutoa fedha zao benk kwa hofu.
Kunyooshewa vidole vya kukusolewa...
Akizungumza na Wahariri wa vyombo vya habari leo Novemba 25, 2025 Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba amesema tayari Rais Samia na wasaidizi wake wako tayari kusikiliza na milango ipo wazi ya mazungumzo hivyo hakuna haja ya kuwapa faida wenye mapenzi mabaya na...
Akizungumza na vyombo vya habari leo Novemba 23, 2025 Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema kwamba kutokana na matukio yaliyotokea kwa hali ya usalama wa nchi shwari na kuwa Vyombo vya ulinzi vinaendelea kuhakikisha wananchi pamoja na mali zao wanabakia kuwa salama na matishio yote ya...
Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa akizungumza leo Novemba 23, 2025 na vyombo vya Habari amesema kwamba Serikali ipo tayari kusikiliza wote wenye madukuduku, wenye ushauri na wenye maswali yote yatapokelewa na kufannyiwa kazi hivyo hakuna sababu ya kuharibu nchi yetu
Waziri Mkuu Mh. Mwigulu Nchemba amehoji pesa za kuwakusanya vijana na kuwandamanisha zilitoka wapi? Na amewaasa vijana kuipenda nchi yao maana ni mali ya wote na ina utajiri wa kutosha, Tanzania si mali ya vyama vya siasa wala viongozi.
Akizungumza katika ziara yake Ikungi, mkoani Singida, Dkt...
Utawala wa samia umeuwa watu wengi sana katika historia ya nchi yetu nzuri.!
Umewaacha watanzania wengi katika maumivu sasa inatosha ameuwa watu wengi sana na sisi kwa pamoja tupo tayari kufa.
Tukutane #D9
Haiwezekani mtu unaiba kura alafu unakuja na maridhiano yani unakuwa kama panya anakutafuna alafu anakupuliza hatutakubali tunataka nchi yetu.
Wananchi sisi tumesha mkataa kabisa kabisa tunataka nchi yeetu yetu kwa gharama yoyote ile. waliiba kura na kutunajisi makusudi na kwa kiburi.
Huu ni ujumbe wa Mungu muumba kwa Watanzania;
Damu ya mtu ikimwagwa isivyo halali juu ya nchi (ardhi yenye mipaka rasmi na halali) nchi husika inanajisika.
Nchi ikinajisika hamna sadaka wala kafara iwezayo kuondoa huo unajisi ila damu ya huyo aliyoimwaga vinginevyo nchi itabaki najisi...
GT
Kama Taifa ifike mahali tuwe serious na Taifa letu, zamani tulikuwa tunashangaa kwa nini Kenya mpira si kwa sana hao jamaa wameamua kufocus na nchi yao,sasa ni wakati wetu watanzania tuachane na huu upuuzi wa mpira tusimamae kidete na nchi kuhakikisha wanasiasa hawapati upenyo wakutuibia...
Watanzania, tulikotoka ni mbali. Nitashangaa kama safari yetu ya kujikomboa itaishia hapa.
Tukiishia hapa, wanamtandao hawaendi kuendelea kutumia mikakati na mbinu zao za sasa. Watajipanga upya na kuusuka vizuri zaidi mtandao wao. Needless to say, our future attempts won’t make a significant...
Kuna haja ya watanzania hasa watanganyika kuanza kutafakari juu ya mstakabali wa taifa letu. Je, tutafanya uzembe tuliache kwenye makucha machafu ya machawa na ida amin mama ili tuumizwe na kuibiwa zaidi? Je, tutafanya nini? Nadhani huu ndiyo wakati muafaka wa kujikomboa na kulikomboa taifa letu...
Viongozi wote tuliowaamini wakishirikiana na wezi na mafisadi kama akina Rostam Aziz na wengineo wamemaliza utajiri wa nchi, hawana uchungu na nchi yetu, wakati wananchi wa kawaida wanateseka wanakosa hata jinsi ya kupata matibabu.
Hao ndiyo wanaotuua kwa sababu wanaogopa maslahi yao...
Hivi ni mimi peke yangu naliona hili?
Mbona nchi yetu masikini jamani. Mimi nimezaliwa Ruangwa huku Lindi mara nyingi nimeona watu wakipakandia Lindi kwa umasikini hususani mitandaoni, mimi nikadhani ni huku tu hali ni mbaya, mpaka nilivyopata exposure. Maeneo mengi nilizunguka zamani utotoni...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Iramba Magharibi ambaye pia ni Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa Taasisi zinazopima Maendeleo Bora ya kiuchumi na huduma Bora za Jamii zimeielezea Tanzania kama moja ya nchi kinara Kwa Nchi zote za Bara la Afrika kwenye kutekeleza miradi ya maji...
Tafadhali tena naomba wakuu mwacheni Polepole kama ana kosa tunaomba sheria ifuate mkondo wake.
Tunaomba Polepole achiwe bila masharti yoyote.
Tafadhali Sana tunakoenda siko mwacheni Polepole
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.