Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,426
Don’t za ubunge zinafanyiwa mazingaombwe ili zikatende maajabu. Kama Yale mazingaombwe yaliyofanywa kwenye pilau kule Tanga, nyama choma Arusha na uji wa lishe pale Darisalama.
Kama tunategemea tekinolojia hii, ni kheri kusiwe na uchaguzi tutangazane tu kutokana na Tamil za wazee wa busara. Tunapoteza mapesa mengi sana wakati njia za mkato zipp.