Waziri wa Habari na Mawasiliano, ndugu Nape Nnauye ndiye anapaswa kulaumiwa kwa kutokuwa na internet ya uhakika nchini kwani waziri huyu aliikataa kampuni ya Mmarekani tajiri zaidi duniani iitwayo StarLink ambayo ina satellite zaidi ya 10,000 angani.
Kampuni hiyo iliyowasilisha maombi ya kutoa...
Nimefatilia habari za Siasa kwa kipindi che Mwezi Aprili Pekee nimeshuhudia mikutano mikubwa na maandamano ya hiari ya wananchi takribani Kanda Zote za Nchi na Mikoa mingi sana.
Tunajua Chadema sio chama tawala lakini kuuliza si ujinga.
Kuendesha mikutano Pande zote za Nchi sio jambo dogo...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema limelazimika kuzima mitambo mitano kwakuwa majitaji ya umeme yapo chini huku uzalishaji wa umeme ukiwa ni mwingi.
TANESCO imesema hayo wakati Afisa wa Shirika hilo akiongea mbele ya Waziri Mkuu kwenye Maonesho ya Wiki ya Nishati yaliyofanyika Viwanja...
Kuna idadi kubwa sana ya wakimbizi waliokimbia wakiarabu kutoka Sudan wakiwa mitaani wengine wamepanga.Lakini upande wa pili kuna wakimbizi majirani wamejazwa kwene makambi kigoma huko ka kagera.
Je, hii ni kudhibitisha kua waafrica tunajichukia na tunawapenda maadui zetu!!
Nawasilisha...
Suala la kikokotoo limekuwa ni mwiba mkali kwa wastaafu katika nchi hii huku kundi dogo la wanaofaidi keki ya taifa wakitaka kikokotoo kiwepo kwa wastaafu wakati wao hakiwagusi wanachumua mamilioni yao kwa mkupuo wakijufanya wao ndio wenye akili zaidi ya kujua matumizi ya pesa kuliko wafanyakazi...
SERIKALI INAFANYA TATHMINI YA UWEZEKANO WA KUPANGA BEI MOJA YA BIDHAA ZA PETROLI NCHI NZIMA
Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga amesema Serikali kupitia EWURA inafanya tathmini ya uwezekano wa kupanga bei moja ya bidhaa za petroli nchi nzima.
Mhe. Kapinga ameyasema hayo leo Aprili 3,2024...
Taarifa zilizosambazwa kwa vyombo vya Habari Nchini Tanzania zinaeleza kwamba Rais wa Nchi hiyo amesaini ile Miswada mibovu inayopingwa na kila mwenye akili timamu
Bila Shaka kwa kitendo hiki inamaanisha kwamba Rais Samia AMEWAPUUZA KABISA WALE WOTE WANAOPINGA MISWADA HIYO MIBOVU YA SHERIA ZA...
Nikijitambua kama mzalendo kamili nchini sitasita kutoa maoni yangu kuntu hususani linapokuja swala la umeme kukatika nchi nzima kwa visingizio visivyo na mashiko kwa wanasayansi kama mimi.
Tanesko sio tu shirika kama yalivyo mashirika mengine ni shirika la kimkakati na la kiusalama.
Kukatika...
basi
gridi ya taifa
hii
hitilafu
hitilafu ya umeme
jitihada
kukosa
maeneo
makamu
mgao
mgao wa umeme
mkuu
nchinchinzima
taifa
tanesco
umeme
waziri
waziri mkuu
Nashauri ile taarifa ya mkaguzi wa hesabu wa CCM iwekwe hadharani, najua imejaa madudu ya kutisha sana. Haitoshi tu kumuondoa Mwenenzi na kumpeleka Arusha, Mwenezi awajibishwe kwa matumizi mabaya ya fedha za chama
Source: Youtube-wakiliTv, taarifa ya Wakili Dickson Matata
Nilisema kwamba haya mambo ya kujifanya mwendesha mashitaka na hakimu anayofanya Jerry Silaa yasipoangaliwa, ataitia nchi hasara kubwa sana.
Sasa watanzania wataingia hasara ya bilioni 20 ili kumlipa Johnson Mahululu baada ya Jerry...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema chama hicho kitaingia kwenye awamu nyingine ya Maandamano yatakayofanyika kwenye makao makuu yote ya mikoa nchini, maarufu kama wiki ya Maandamano yatakayofanyika kuanzia Aprili 22-30, 2024.
Aidha, amewatangazia Diaspora kufanya maandamano makubwa...
Kumbe Paul Kimiti bado yupo?! Nimemsikia akizumzungumzia Lowassa kwa undani na amezungumzia mengi kuhusu uongozi wa nchi na wanasiasa.
Mheshimiwa Kimiti anasema viongozi wengi hawana misingi ya uongozi na hawana maarifa.
Bila kumtaja mtu, Kimiti amesema utaratibu wa kumtuma mtu mmoja kuzunguka...
Mimi ni mtu wa imani, mpenzi wa Biblia na mqmbo chanya kwenye Quran. Kwa upeo wangu hafifu kisiasa nimeangalia malalamiko anayotatua Mh Makonda nimeona anahitaji kuzunguka nchi nzima miaka 60 ijayo angalau hadi 2084 Feb.
Kwanini?
1: Matatizo anayoletewa mtu kukatwa mapanga, kunyimwa malipo na...
Wakuu kwema?
Askofu Mwamakula akiwa anahojiwa na mwandishi wa habari kutoka Jambo TV amesema anaona sasa sio muda sahihi wadau na vyama vya siasa kuanza kuwahukumu wabunge juu ya miswada ya sheria ya sheria za uchaguzi inayotarajiwa kurudi bungeni kusomwa tena baada ya kupokea maoni kutoka kwa...
Vijana wengi wadogo wakiwaona celebrities kina Diamond, Mario, Mbwana Samata, Masoud Kipanya, Joti. n.k. wanashawishika kutaka kuanza maisha ua sanaa ama michezo bila kujua kundi hilo halizid watu 900 kwa ujumla wenye maendeleo kwa kutegemea kazi hizo,
Unganisha wasanii na wanamichezo wote hapa...
Waziri Silaa ameagiza maafisa wake wampe taarifa ya vituo vya mafuta nchi nzima. Je anajiandaa kuvunja vituo vya mafuta nchi nzima? Wacha tuone nini kitafuata baada ya 30 January 2024.
Kauli za karibuni za waziri huyo zimezua sintofahamu kwa wawekezaji wa biashara ya mafuta nchini ambao hufuata...
Ikiwa ni mwezi wa tatu wa vita kati ya wapalestina na Israel bado vita vikali vinapiganwa katika ya jiji la Gaza na makombora kurushwa na kudondoka Tel Avivi la karibuni likiwa lile la jana.
Hali hiyo imelazimisha viwanja vyote vya Israel kutokuwa salama kwa safari za anga kupelekea wafanyakazi...
Wakati Tanzania ikishuhudia mgao wa umeme maeneo mengi ya nchi, huko Kenya hali ya upatikanaji wa umeme pia imekuwa kizingimkuti. Jana tarehe 10/12/2023 umeme ulikatika nchi nzima na kuathiri shughuri za uwanja wa Ndege wa JKIA, huku backup jenereta pia zikishindwa kuwaka hali iliopelekea giza...