nbc

The National Broadcasting Company (NBC) is an American English-language commercial broadcast television and radio network owned by Comcast. The network is headquartered at 30 Rockefeller Plaza in New York City, with additional major offices near Los Angeles (at 10 Universal City Plaza), and Chicago (at the NBC Tower). NBC is one of the Big Three television networks, and is sometimes referred to as the "Peacock Network", in reference to its stylized peacock logo, introduced in 1956 to promote the company's innovations in early color broadcasting; it became the network's official emblem in 1979.
Founded in 1926 by the Radio Corporation of America (RCA), NBC is the oldest major broadcast network in the United States. At that time, the parent company of RCA was General Electric (GE). In 1932, GE was forced to sell RCA and NBC as a result of antitrust charges. In 1986, control of NBC passed back to General Electric (GE) through its $6.4 billion purchase of RCA. GE immediately began to liquidate RCA's various divisions, but retained NBC. After the acquisition by GE, Bob Wright became chief executive officer of NBC; he would remain in that position until his retirement in 2007, when he was succeeded by Jeff Zucker.
In 2003, French media company Vivendi merged its entertainment assets with GE, forming NBC Universal. Comcast purchased a controlling interest in the company in 2011, and acquired General Electric's remaining stake in 2013. Following the Comcast merger, Zucker left NBCUniversal and was replaced as CEO by Comcast executive Steve Burke.
NBC has thirteen owned-and-operated stations and nearly 200 affiliates throughout the United States and its territories, some of which are also available in Canada and/or Mexico via pay-television providers or in border areas over the air; NBC also maintains brand licensing agreements for international channels in South Korea and Germany.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania FT: Mashujaa FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Lake Tanganyika Stadium | 03.02.2024

    All the Best Mnyama mkali. Tukutane saa 10jioni kwa saa za Afrika Mashariki (EAT) Simba ya Dar es Salaam itashuka Dimbani, Uwanja wa Ziwa Tanganyika kuwavaa wenyeji wao Mashujaa FC. Simba kwenye msimamo wa Ligi yuko nafasi ya 3. Amecheza michezo 10. Akiwa na Alama 23. Anayeongoza ligi Azam FC...
  2. JamiiForums Tanzania FT: Kagera sugar FC 0-0 Yanga SC | NBC premier League | Kaitaba stadium | 02.2.2024

    ⚽️ Kagera Sugar Vs Young Africans SC 📆 02.02.2024 🏟 Kaitaba 🕖 10:00 Jioni Mungu ibariki Yanga SC Kikosi cha Yanga SC Dakika ya 1 Kagera Sugar 0-0 Yanga. Dakika ya 17 Kagera Sugar 0-0 Yanga. Dakika ya 31 Kagera Sugar 0-0 Yanga. 𝐇𝐀𝐋𝐅 𝐓𝐈𝐌𝐄⏱️| #NBCPremierLeague Kagera Sugar 0-0 Young...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Direct Sales Agents NBC upoje?

    Habari wana jukwaa, Naomba kufahamishwa mshahara au malipo kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu. Asante
  4. JamiiForums Tanzania Ni Match gani Ilikukosha kutoka Kwa Team yako ya Ligi kuu ya NBC Mwaka huu 2023?

    Habari wana Jukwaa La Michezo, Mwaka 2023 unakata huu, Tumetoka Mbali ulikua Mwaka wa Matukio Mengii ila Leo Naomba niwaalike wote hapa kukumbushana Ni Mchezo gani Kutoka kwa Team yako pendwa ya Ligi kuu ya NBC hutausahau. Ulikukosha ukakupa Raha. Ukafurahi ukaona Maisha ya Bongo ni kama ya...
  5. JamiiForums Tanzania Baada ya mechi za kufungia mwaka, huu ndio msimamo na wafungaji bora wa Ligi kuu ya NBC 2023/24

    MSIMAMO WAFUNGAJI
  6. JamiiForums Tanzania FT: Tabora United 0 - 1 Young African SC | Jamhuri Stadium-Dodoma | NBC Premier League | 23.12.2023

    🔰 𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 DAY🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Tabora United Vs Young Africans SC 📆 23.12.2023 🏟 Jamhuri, Dodoma 🕖 1:00 Usiku Game yakufunga Mwaka hii. All the Best Young African SC. #Daimambelenyumamwiko# Kikosi cha Yanga kinachoanza Kikosi cha Tabora United Kinachoanza Mechi ya leo. Mpira...
  7. JamiiForums Tanzania FT: KMC 2 - 2 Simba SC | NBC Premier League | Azam Complex Stadium | 23.12.2023

    Leo Itapigwa mechi ya ligi kuu ya Mwisho kwa Mwaka huu kwa Upande wa Simba na KMC. Muda ni Saa 10 Jioni. Kila la heri mnyama. Kikosi Cha KMC Kinachoanza Kikosi cha Simba Kinachoanza Nguvumoja. Dakika ya 32' KMC wanapata goli la Kwanza Kupitia kwa Waziri. Game On. KMC 1 - 0 Simba HT...
  8. JamiiForums Tanzania Mechi saba za NBC PL zahairishwa kupisha mechi ya kirafiki ya Kimataifa

    Bodi ya Ligi Kuu imehairisha michezo saba ya NBC PL ili kutia nafasi kwa mchezo wa kirafiki kati ya Tanzania Bara Vs Tanzania Visiwani. Michezo iliyohairishwa ipo hapo chini kwenye picha
  9. JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 4-1 Mtibwa Sugar | NBC Premier League | Azam Complex | 16.12.2023

    Naam majira ya saa 12:30 jioni ya Leo wananchi tutakuwa na jambo letu Magoli mawili yaliyofungwa na Stephane Aziz Ki na mengine ya Kennedy Musonda na Mahlatse Makudubela ‘Skudu’ yameipa Yanga ishindi wa magoli 4-1 dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Azam complex Jijini Dar es Salaam. Yanga...
  10. JamiiForums Tanzania FT: Simba 3-0 Kagera Sugar | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 15.12.2023

    Match Day. Simba Vs Kagera Sugar Time 1600. 15.12.2023. Uhuru Stadium. All The Best Mnyama. #nguvumoja#
  11. D

    JamiiForums Tanzania NBC wametangaza kazi za direct sales. Naomba msaada wanaozijua

    Siyo kazi zile za kulipwa kwa commission kweli hozi
  12. JamiiForums Tanzania Wazo: Serekali yetu ya mkoa wa Dar, Posta mbele ya NBC bank panafaa kwa utalii wa kula pweza

    Asalaam aleykum, Hapo Posta panagadeni nzuri mno mno ambayo ikipangiliwa vizuri inaweza kugeuka sehemu nzuri ya kustaftahi, kula ngisi, urojo juice, soda na katu pombe zisiwepo kamwe!.... Itapendeza mno hasa baada ya ubunifu mahususi kufanyika.
  13. JamiiForums Tanzania FT: Azam FC 5 - 0 KMC | Ligi Kuu ya NBC | Azam Complex | 07/12/2023

    NBC Premier League leo Alhamis Saa 3:00 Usiku AzamFC watakuwa Azam Complex wakiwaalika KMC Kocha Abdi Moallin wa KMC anarudi kwa waajiri wake wa zamani Je, atwaadhibu ama mambo kuwa magumu? --- Kikosi cha Azam kilichoanza Kikosi cha KMC kilichoanza
  14. JamiiForums Tanzania Ubabaishaji wa Benki ya NBC kwenye kutoa mikopo

    Bank ya NBC ni wababaishaji sana kuhusu utoaji wa mikopo. Sijui tatizo ni nini? Mtu anaomba mkopo taratibu zote zimesha kamilika mpaka makato tayari lakini hawaingizi mkopo. Kuna jamaa ameomba mkopo NBC yapata mwezi sasa umekwisha mkopo hawaingizi na anakatwa. Amefatilia kwa Afisa Mikopo...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Umekutana na kero gani benki ambayo ilikukwaza na kukupotezea muda? Wataje hapa wajirekebishe

    Wakuu, Kuna baadhi ya benki ukienda kupata huduma unaenda umetabasamu ukitoka unatamani upasuke kwa hasira. Baadhi ya kero ya kero ni wadumu kufanya mambo mambo taratibu sana, mtu mmoja anatumia hata nusu saa halafu kikubwa kinachofanyika hakuna. Ama unakuta benki ina madirisha mengi lakini...
  16. JamiiForums Tanzania Simba ilitumia kigezo gani kumteua cadena ? Wakati akiwa Azam ,magolikipa wa azam moja ya makipa wa bovu ligi ya nbc!!

    Huyu Cadena Kunawatu wamempenyeza aje aivuruge simba kisawasawa. Aliivuruga azam vilivyo. Na sasa kaachiwa timu. Na toka atoke Azam makipa wa Azam wanakuwa bora kila siku. Figisu zimepungua sana. Alipokuwa kule makocha walikuwa hawakai kabisa. Aliachiwa timu kwa muda Kali Ongala Timu...
  17. JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 1-1 Namungo FC | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 09.11.2023

    Match Day! Simba SC Vs Namungo FC ⌚ 04:00pm 🏟️ Uhuru Stadium. Namungo anakutana na mnyama aliyejeruhiwa. Kikosi cha Simba kinachoanza dhidi ya Namungo Kikosi cha Namungo Kinachoanza All the Best Simba. #Nguvumoja# Mchezo umeanza 10' Simba wanaonekana kuwa na presha ya kutafuta matokeo...
  18. JamiiForums Tanzania Clement Mzize-Best Super Sub in NBC Premier league

    Hakika kijana huyu anapaswa kupewa sifa ya kipekee katika ligi yetu.Huwa hakosei
  19. JamiiForums Tanzania Team Ndogo na Mbovu ambazo zimekutana na Kipigo Kizito Hadi saiv kwenye NBC Msimu wa 2023/2024

    Zifuatazo ni Team Ndogo zilizokula Kichapo Kikubwa Msimu huu wa NBC 2023/2024
  20. JamiiForums Tanzania FT: Kagera Sugar 2 - 1 Tanzania Prisons NBC Premier League: 3 Nov 2023

    Ni kivumbi tena, Kagera Sukari wakiwa wenyeji kuwakaribisha wajelajela wa Tanzania. Hadi sasa Dakika ya 45 Wakata Miwa wanaongoza kwa goal 1 lililotupiwa na Chirwa Obrey kwa mkwaju wa penati, dhidi ya Prisons wakiwa na Sifuri
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…