nayo

Nayo is a village in Bhamo Township in Bhamo District in the Kachin State of north-eastern Burma.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Suala la ardhi Zanzibar: Askofu Augustino Shayo apiga msumari wa moto mbele ya Rais Mwinyi

    Mhashamu Askofu Augustino Shao wa Zanzibar ametimiza Jubilei ya miaka 25 katika utumishi wa kanisa la Roman Catholic huko Zanzibar. Kwenye sherehe zilizohudhuliwa na wananchi mbalimbali wakiwemo viongozi wa kidini, askofu Shao kwenye salamu zake kwa Rais wa Zanzibar, amezungumzia mambo...
  2. JamiiForums Tanzania Filbert Bayi Adaiwa Kufisadi Fedha za Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), Yeye Akanusha Asema Anachafuliwa

    KATIBU Mkuu wa Kamati ya Olimpiki Tanzania, Filbert Bayi anadaiwa kuhusika na ufisadi wa fedha zinazotolewa na Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa (IOC) kwa ajili ya maendeleo ya mchezo wa riadha hapa nchini. Taarifa zilizoifikia Tanzania PANORAMA Blog kutoka kwa wadau wa mchezo wa riadha walio...
  3. JamiiForums Tanzania Wenye nyumba kupandisha kodi je hii nayo inaenda na kupanda bei za mafuta?

    Kuna changamoto kwa sasa tunapitia watu kupandisha bei ya vitu kwa taarifa kuwa mafuta yamepanda bei sababu ikiwa vita vya Ukraine, sawa tunakubali ila kuna kama wengine wanafata mkumbo tu, maana jana mwenye nyumba wetu katuambia kodi mwezi ujao itapanda sababu ikiwa gharama za maisha kupanda...
  4. JamiiForums Tanzania Heko kwa Kufuzu, ila kwa Mpira 'mbovu' tuliocheza na kwa Timu tunayoenda Kukutana nayo, tukifuzu Nusu Fainali mnizamishe Baharini na Jiwe

    Tusheherekee zetu tu kwa Kushinda jana na Kufuzu huko Robo Fainali ya CAFCC na kupata hicho Kitita cha Shilingi Milioni Mia Nane ( 800,000,000/= Tsh) Ila kwa Mpira mbovu niliouona Jana huku Beki Onyango, Beki Tshabalala, Viungo Mkude na Kanoute na Washambuliaji Morrison na Sakho wakionyesha...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Awamu ya 5 heshima iliyokuzwa ni ya uoga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ukimgusa sharubu anakurarua, hatukukua kivile

    "Tunasifiwa kwamba adjustments [maboresho] tuliyoyafanya awamu ya tano kidogo zimekuza heshima ndani ya utumishi wa umma. “Heshima iliyokuzwa ni ya woga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ambaye alikuwa ukimgusa sharubu anakurarua. Lakini hata hivyo hatukukua kivile, heshima inayotakiwa iwe...
  6. JamiiForums Tanzania Kampeni ya ‘Join The Chain’ imebuma. Mmekuja na “One Million Challenge’ nayo unabuma wanachama hewa

    Wanaukumbi. Chadema mnajitapa mna wanachama active 12 milioni. Kampeni ya ‘Join The Chain’ imebuma. Mmekuja na “One Million Challenge’ kwa wiki mnaomba 1K kwa kichwa nayo tia maji, tia maji. Hao wanachama 12m ni wafu au ‘Ghosts’? Kama katika 12m mnashindwa kupata 1K kwa mtu kwa siku 7? Chadema...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa Marekani: Wakati Marekani ikishinikiza wengine kuitenga Urusi kiuchumi, yenyewe haiko tayari kuitenga Urusi maeneo inayofaidika nayo

    Marekani ni mnunuaji mkubwa sana wa mafuta yasiyosafishwa toka Urusi!! Hilo ni eneo nyeti sana kwake kiuchuni. Jana katika hotuba yake muhimu kwa Taifa, mataifa ya ulaya yalitegemea Biden kutangaza kususia ununuaji wa mafuta toka Urusi, na kwa mshangao wao hakugusia kabisa jambo hilo. Hata...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Aibu aliyopewa Prof. Jay na CHADEMA ni bora angeachana nayo

    Sijawahi kufanikiwa kuifahamu CHADEMA wala sijawahi kujua ndani ya CHADEMA ni nani anaweza kusaidiwa kwa michango pale anapopatwa tatizo. Nikikumbuka Tundu Lissu alipopatwa na tatizo alisaidiwa na chama chake kwa hali na Mali na hapo hakuwa na cheo chochote ndani ya CHAMA(Naomba kusahihishwa...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri wa afya wa Uingereza: Corona ni kama mafua tu tutaishi nayo milele

    Waziri wa Afya wa Uingereza @sajidjavid amesema kuwa corona inaweza kuwepo milele hivyo inatubidi tuanze kuiona kama mafua na kujifunza kuishi nayo. Aidha Javid amesema "inasikitisha lakini ni ukweli kuwa kuna miaka mingine huwa tunakumbwa na wimbi la mafua makali sana nayo huwa yanaua watu...
  10. JamiiForums Tanzania Mkuu Kiranga, nimekutana na hii mitandaoni huko

    Mkuu ,Kiranga nmekutana na hii mitandaoni huko Nikaona nikupenyezee hapaa Hawa vijana wana matani sana na nyie😅
  11. JamiiForums Tanzania Mengine ni ya kuachana nayo tu hayakujengi yanakubomoa

    Habari ndugu zangu. Leo nina jambo nataka ku-share na nyinyi na nina imani litawasaidia.Leo nitazungumza na wenzangu wasomaji sana wa vitabu ambao kwa experience yangu humu ndo mashujaa wa mada ngumu ngumu. Kiukweli tunashauriwa kutumia muda mwingi kujijenga kwa kusoma vitabu.Na ni jambo jema...
  12. JamiiForums Tanzania Benki ya Kilimo Tanzania haina faida yoyote kwa Mkulima

    Wadau wenzangu wakilimo hiki kinachoitwa benki ya kilimo naona Kama hakina tija yoyote kwa mkulima halisi,najua mkulima yupo kijijini Lyazumbi, Katonto,Muze,Mtowisa,Chikumbulu huku au Ngulugulu huko Ileje ndani na vijiji vyote vinavyohusika na kilimo hawana taarifa na namna ya kunufaika na benki...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mechi ya Simba SC ninayoigopa kama ya leo dhidi ya Azam FC, ila tukishinda nitakuwa ni mwenye Furaha japo nina Hofu nayo

    Kiufundi nawaogopa zaidi Azam FC kuliko hata Yanga SC kwani Azam FC wana Wachezaji wenye Vipaji Asilia huku Yanga SC wakiwa na Wachezaji wenye Ushindani na Morali ya Juu. Hakuna Mechi ambayo inaniumiza Kichwa Kuiwazia mpaka kuwa na Hofu nayo kama hii ya leo kati ya Simba SC yangu dhidi ya Azam...
  14. JamiiForums Tanzania Vipi na hii mtaigomea nayo?

  15. JamiiForums Tanzania Aibu/shida gani ulikutana nayo stendi au kwenye basi

    Nakumbuka mwaka jana 2020 , mwanzoni Nlikuwa nmeenda kwenye project moja songea sasa wakati narudi sister akinipa kazi nirudi na beki tatu mmoja ambaye tayari sister alishamalizana na wazazi wake ilikuwa ni mimi tu kumchukua na kumfikisha mahali husika (DSM) Sasa kufika Njombe pale saa 4...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Ya kina Mwandosya nayo yamepitwa na wakati! Angalau yupo!

    Eti anajiuliza Mwanasisasa anawezaje kumaliza PhD kwani anatumikia siasa na wakati huo huo anabukua! hawa ndiyo wale MaProf waliokuwa wakizingatia sana kupoteza muda mwingi wa kusoma Enzi zao ambazo hazikuwa na teknolojia kama ya sasa. Hawa waliamini katika kusoma kwa muda mrefu badala ya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Natamani na Misafara ya Marais wetu nayo iwe ni midogo kama niliyomwona nayo leo CDF Gen. Mabeyo akielekea Kwake Kawe Beach

    Wala siyo Gari nyingi bali ni Nne tu kama siyo Tano tofauti na za Marais ambazo unaweza hata Siku ukakutana nazo zikiwa 43 au 69 kabisa. Hata hivyo kuna Mwamba Mmoja aliniambia kuwa huo Msafaea wa CDF Gen. Mabeyo ni mdogo hivyo ila waliopo hapo Kiulinzi ni wale Wajuba watupu wa 92KJ kule Sanga...
  18. JamiiForums Tanzania Mwenye kujua au kuwa nayo magunia ya katani

    Nahitaji magunia ya katani mengi yapatayo pieces 100,000, mwenye nayo au anayejua yalipo anitumie inbox
  19. JamiiForums Tanzania Marufuku kumhusisha Rais Samia na Mahakama, hana mamlaka nayo

    Waswahili walimenya kwamba mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Huu ndiyo ukweli wenyewe kwamba Mama anajitahidi tu kusimamia kua katika utawala wake haki inatendeka. Ikitokea wewe umetuhumiwa kufanya tukio flani hiyo ni juu yako wewe, serikali inachosimamia ni kusisitiza haki itendeke...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mara baada ya sisi kuanzisha tozo ya mitandao ya simu, Serikali ya Uingereza nayo ikaanzisha

    Akihutubia wananchi mkoani Kilimanjaro mheshimiwa Rais amesema mara baada ya sisi kuanzisha tozo ya kwenye mitandao ya simu ambayo ilipigiwa kelele na wananchi wengi, na Serikali ya Uingereza nayo imeanzisha tozo kama hii. Kumbe mama anafanya vitu Hadi mataifa yaliyoendelea yanavikubali hadi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…