nauza

  1. E

    JamiiForums Tanzania TV4Sale Nauza Brand New Tv's

    🚨🚨MZIGO MPYA UTAKUWEPO KUANZIA KESHO DUKANI🚨🚨 📍 LIKOMA & magira [KKKT] HISENSE STOCK 43A4 SMART = 600,000/= 43A6 4K = 730,000/= 50A6N 4K = 910,000/= 55A6N 4K = 1,030,000/= 55U6 ULED = 1,170,000/= 58A6N 4K = 1,120,000/= 65A6N 4K = 1,530,000/= SAMSUNG STOCK 43DU7100 4K =...
  2. Chifu mkuu

    JamiiForums Tanzania Tangazo: Nauza mkojo wa sungura.

    Napatikana pasua manispaa ya Moshi mkoa wa Kilimanjaro. Nina dumu tano ( Lita 20 @ =Lita 100) bei ni maelewano. Kwa wale wasiojua mkojo wa sungura hutumika kama kinga na dawa ya kuua wadudu hasa katika bustani za mbogamboga na mazao mengine. Ukitaka faida zaidi za mkojo wa sungura ingia google...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza Laptops

    NEW (2024) GO BEYOND HP Envy x360 2-in-1 Laptop 14-fc0023dx • Intel Core TM Ultra 7 155U Processor [2] • 1TB Solid State Drive •Windows 11 • Touchscreen, Multi-touch enabled • 3-cell, 59 Wh • 16GB on-board LPDDR5 SDRAM • 14.0⚫ WUXGA IPS LED Display (300 nits) [4] • poly studio HP 5MP IR Camera...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nauza eneo lipo Homboza Msanga Zalala eneo unaweza kujenga au kuchimba mchanga ni tambalale

    Habari viongozi nina eneo lipo omboza msanga zalala ni eka mbili eneo ni mali yangu halali halina shida yoyote eneo ni tambalale kabisa naitaji million13 kwa eka zote mbili nipigie simu 0794454720
  5. kizeze

    JamiiForums Tanzania Nauza iriki (cardamon)

    Kwa wanaohitaji Iliki kutoka Morogoro maeneo ya Matombo ninazo nyingi huku zaidi yabTani 1 na hivyo nauza kila Kilo 1 kwa kiasi cha sh.31,000(elfu thelathini na moja) tu. Kwa anaye hitaji anicheki kwa namba hii 0657783083
  6. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Nauza raman ya nyumba hii ya vyumba 3 vya kulala 0743 257 669

  7. D

    JamiiForums Tanzania Nauza Mchele mzuri na Maharage kutoka Mbeya kwa bei nafuu

    Wakuu kwema! Nina mchele mzuri wa kutosha pamoja na maharage ya njano Mchele Jumla 2400 tsh kuazia kilo 100 Rejareja 2700 tsh Maharage Jumla 3000tsh kuazia kilo 100 Rejareja ni 3400 tsh Wenye maduka ya rejareja pia tueasiliane Location nipo Tabata Majichumvi (kwa mkuwa) Nakuletea popote...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Nauza pikipiki aina sinoray

    Nipo morogoro mjini, pikipiki ni sinoray bado mpya ina miezi 4 tangu inunuliwe documents zote zipo,kwa anahitaji tuwasiliane bei TSh.2200000
  9. M2flan

    JamiiForums Tanzania NAUZA VITU HIVI VYA NDANI -Location Iringa

    1.HISENSE SMART TV NCH 55 INAMWEZ FULL DOCUMENT BEI 950k 2.Fridge ( Hisense) . Bei Laki550 3. Show Case Tsh200k, Radio Tsh 190 Mawasiliano :- WhatsApp 0769463336
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nauza Gari TOYOTA ISIS 2008 namba DMR

    Gari ipo Kigamboni Dar es Salaam. Ipo katika hali nzuri sana! Make: TOYOTA ISIS MWAKA: 2008 CC: 1798 SEATS: 7 DRIVE: AUTOMATIC, 2WD Kama kutahitajika service basi zitakuwa ni spares ndogongogo za kkawaida. Mawasiliano: WHATSAPP: 0785872256 BEI: 9,500,000
  11. Prof_rutta22

    JamiiForums Tanzania Nauza Multi-purpose Epson printer L3250(mpya) kwa matumizi ya ofisi na binafsi

    Bidhaa: Multi-purpose Epson printer L3250(mpya) Kazi: Printing,scanning and photocopying Bei: Tsh 350,000/= Eneo: Kimara mwisho-Dar es salaam Mawasiliano: 0624576521 Ofa: wino+ Rimu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nauza Water Pump Ya Boss Brand New

    Pampu ni Ya Inchi 3 Haijawahi kutumika nilinunua kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji lakini mipango ya kilimo haikwenda sawa. Pampu haijatumika kabisa. Bei 200000/= Location: Ubungo-Dar Es Salaam 0779080365
  13. Sun Wukong

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza computer bei ya hasara 230k

    Kampuni Lenovo think pad Ram 8gb Hdd 256 gb Processor Intel Celeron 1007U (1.5 GHz, dual-core) Njoo PM kwa maelezo zaidi nipo dar es salaam tegeta
  14. saadmad

    JamiiForums Tanzania Nauza Acoustic Guitar

    Habari wadau, nauza acoustic guitar kama linavyoonekana kwenye picha hapo, lipo vizuri na linapatikana mbagala kuu. Kwa mwenye kuhitaji anaweza kuni PM bei ni 140k . Asanteni
  15. E

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Smartwatches

    TK701 SMARTWATCH Mikanda 7 Ina Bluetooth Speaker Ina waya WA MIC WA kurekodia vdeo 💰75,000/= 💰 (OFFER PRICE) CALL/SMS/WHATSAPP 0683731404 Location KKOO Masasi na likoma Street Free Delivery Around Dar es salaam Boundaries
  16. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza viwanja Kigamboni njia ya fun city kituo njano

    Nauza viwanja vipo 4 vipo kigamboni njia ya kuingia Fun city nyuma ya kituo cha Njano kila kimoja kina sqm 500 kila kiwanja kinaanzia Tshs,28ML kama upo intrested njoo tuyajenge piga hii no 0743921019
  17. A

    JamiiForums Tanzania NAUZA HADITHI ZA SIMULIZI, MIKASA NA ZA KUTISHA.

    Wadau hadithi hizo ni zangu na kila moja ukitaka full unatuma 1500. Nifuate DM
  18. E

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza Laptops

    BRAND NEW CONDITION TOLEO LA MWAKA 2024🔥🫵 It is 13th Generation✅ It is Very powerfull Machine for heavy Task comes with Graphics Radeon 7✅ HP ELITEBOOK 835 G10 AMD RYZEN 5✅ RAM 16GB✅ SSD 512GB✅ PROCESSOR 3.2GHz🔥 Backlight keyboard✅ Kioo inch 13✅ Very slim✅ Two type C compile with Type C...
  19. CreatureKH

    JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja changu hakina udalali

    Nauza kiwanja changu..kipo vikindu kwa Mzee puga Ukishuka stend VIKINDU nauli ya bajaji ni 700 hadi site Futi 48 kwa 54 Bei mil.3 😔Bei hapungui kusema kweli.. ukiwa interested tuongee biashara na msimu mzuri wa kujua viwanja ni huu msimu wa mvua
  20. E

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza Laptops

    Pata hii Simple laptop yenye uwezo mkubwa sana👇 Hp Revolve 810 G3✅ Corei5✅ Ram 8GB✅ Ssd 256GB✅ Processor 2.3GHz✅ Backlight keyboard✅ Kioo inch 12.5✅ Touch Screen x360✅ Battery 3 - 4Hrs✅ Price 570,000/- Badala ya 650,000/=❌ CALL/SMS/WHATSAPP 0683731404 Location Ubungo Kibo
Back
Top Bottom