Wakuu nina Bat ziko Karibu 100 nauza ni gauge 28 zimepigwa msumari mara moja tu hazina Kutu zinaonekana kama mpya kabisa. bei ni elfu nne, elfu tano na elfu kumi na nae na nyingine elfu ishirini.
Zipo malamba mwisho Kituo cha Msikitini.
Ukihitaji nicheki PM hapo kwa mawasiliano zaidi
Mpigie...
Habari za jioni wakubwa?Wakubwa nna biashara nauza,biashara hizo ni pamoja na,.
(1)Focusrite Scarlett 18i20,hii ni soundcard for Professional recording studio naitakia 1,700,000.
(2)Scarlett solo,hii ni kwa home studio naitakia 350,000
(3)Garmin Heart Rate Monitor,hii ni mikanda ya kuvaa...
OFFER. OFFER, OFFER, OFFER...
JIPATIE VITABU ZAID YA 74
Kwa nini kila siku upo kama ulivyo kwa sababu hutaki kuongeza maarifa na maarifa yamefichwa kwenye vitabu.
Kama ulikua unaihitaji kuongeza maarifa jipatie Vitabu vilivyo Tafsiriwa kutoka kwenye ENGLISH vya waandishi mbali mbali kua...
Nimehamia kibaha mji niupendao. Kwangu naona kuna fursa nyingi. Ningependa kupaendeleza zaidi. Nimejenga nyumba nzuri pale kibaha, Nina eneo kubwa ambalo nimejaribu kuliwekea fence. Ila bado Sina umeme na maji..
Kule nilikohama mbezi kwa msuguri nimeacha nyumba tatu: moja ni kumbwa...
Mlango umetumika kwa miezi minne tu
Unafaa kwa matumizi ya frame
Bei Tsh 200,000/=
Location; Survey, Karibu na Ardhi university
Mawasiliano; 0681249117
Najua wagombea wengi wa ubunge kwa sasa wanahaha kutafuta mbinu mpya za kuvutia wananchi na kupata upendo wa kweli katika majimbo yao.
Usihangaike tena nina wazo la kipekee, la kisasa na la haraka litakalokuweka mbele ya wote!
Unatafuta njia ya kugusa mioyo ya watu na kuwa gumzo kwenye jimbo...
Nauza water heater brand ya Ariston ni kubwa na imara.
Hii ilifingwa bafuni lkn sijawahi tumia kwa kutofikiwa na huduma ya maji ya dawasco nimeona niitoe niuze.
Lete OFA Yako nikusikilize..
Location: Dar popote unafikiwa
📞 0792503090
Habari wakuu kama kichwa cha habari kinavojieleza nauza mbao,nguzo,fito na mirunda vyote vimewekwa dawa kwa pressure kwenye mtambo kwa ajili ya kuzuia wadudu waharibifu kama mchwa.Pia huifanya mbao/nguzo/fito/mrunda idumu muda mrefu.
Napatikana Mafinga-Iringa.
0755885888.
Karibuni sana tufanye...
Nauza kiwanja.
Mahali: Chanika Lukooni nyuma ya stendi mpya inayojengwa ya Chanika. Kama unaelekea Mvuti unateremkia Videte.
Ukubwa: mita 12 kwa mita 18.
Bei: 7.5 m
Mawasiliano: +255788745213
Mpo salama wadau wa Dodoma? Nimeshusha mzigo wa mbao (Futi 12) pale karibu na uwanja wa Jamhuri. Bei zangu ni rafiki na mbao ni nzuri/bora sana;
2x2 - 2,500
2x3 - 3,700
2x4 - 4,700
2x6 - 7,000
1x4 - 2,500
1x6 - 4,500
1x8 - 7,500
1x10 - 14,000
Mafundi ujenzi, fanicha na wateja wengine karibuni...
Mpo salama wadau wa Dodoma? Nimeshusha mzigo wa mbao (Futi 12) pale karibu na uwanja wa Jamhuri. Bei zangu ni rafiki na mbao ni nzuri/bora sana;
2x2 - 2,500
2x3 - 3,700
2x4 - 4,700
2x6 - 7,000
1x4 - 2,500
1x6 - 4,500
1x8 - 7,500
1x10 - 14,000
Mafundi ujenzi, fanicha na wateja wengine karibuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.