saadmad
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 729
- 653
Habari wadau, nauza acoustic guitar kama linavyoonekana kwenye picha hapo, lipo vizuri na linapatikana mbagala kuu. Kwa mwenye kuhitaji anaweza kuni PM bei ni 140k .
Asanteni
Asanteni