nauza

  1. C

    JamiiForums Tanzania Nauza tairi used BMW

    Leo nabadilisha tairi za gari yangu BMW 3-series E90. Nauza tairi ilizokuja nazo toka Singapore mwezi huu. Tairi bado zina tread nzuri. Size ni 225 45R17 Continental ContiSport run-flat. Bei elfu 50 kila tairi mazungumzo yapo. 0759970963
  2. Manza Bay

    JamiiForums Tanzania Nauza Monitized YouTube Channel ina 31K subscribers

    BEI NI LAKI 8 INA MATANGAZO KWA MAWASILIANO NICHEKI NAMBA 0772786405
  3. Tronics guru

    JamiiForums Tanzania Nauza camera Canon 4000d EOS

    Wadau nauza camera Canon 4000d EoS Ina lens tatu ambazo 18-55mm,55-250 mm na professional digital lens Ina adapter ya 64 gb Type of product DSLR Pamoja na charge yake. Bei ni 650k Kama upo Interested nicheki WhatsApp +255745588735
  4. Mduma Farms

    JamiiForums Tanzania Nauza vitunguu Maji, Shamba lipo Arusha 17km kutoka Arusha Mjini, Cash customer anicheki Kwa namba 0717329393

    Mjini, Cash customer anicheki Kwa namba 0717329393
  5. ommytk

    JamiiForums Tanzania Nauza Toyota Cami wadau gari iko vizuri changamoto gia Box na inapaki muda mwingi kwakuwa Nipo nje ya mkoa njoo na offer yako au nicheki pm

    nauza Toyota cami iko vizuri sana ila changamoto gia Box gari ipo sawa sana kwakuwa kabla tatizo gari aina safari sana mara nyingi inapaki mimi naishi mkoani gari ipo dsm kama upo interested nicheki pm nipe offer yako ukamiliki gari
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nauza mtungi wa gas

    Nipe 50000 nikuachie mtungi na pipe Mahali: Kahama 0755868463
  7. Dith

    JamiiForums Tanzania Plot4Rent Nauza shamba maeneo ya Mkuranga

    Shamba hili lipo maeneo ya Mkuranga kikungo sehemu panaitwa Kibululu karibu na Kibululu Primary School (Kikungo ni kituo cha mbele baada ya kiparang'anda). Lina heka 4 zinapelea kidogo. Kuna miembe, michungwa, migomba midogo, miti ya nazi, korosho, limao, stafeli, mipapai midogo, n.k. Shamba...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nauza mashine ya kuranda na kuchana mbao ipo Magomeni Mwembechai lida brand kutoka China, inch 12

    Hallow wana jamvi nimewaletea mashine nyingine ya kuranda na kuchana mbao yenye uwezo mkubwa baada ya ile nyingine kununuliwa bei ni sh. 2,800,000 karibu tuwasiliane bei ni rahisi sana tofauti na ukiagiza nje, pia haina shida yoyote kama unavyoiona kwenye picha ipo kazini. inauzwa kwa kuwa haina...
  9. Ndama dume

    JamiiForums Tanzania Nauza monitor studio spkeaker

    KRK NCH 8 M8 LOCATION: NZEGA TSH:750,000/= 0620307124 sms only 0685825715 whatsap
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ninauza kiwanja Cha makazi Kiegeya Morogoro Manispaa

    Habari wanna jamii. Ninauza kiwanja ambacho kina ukubwa wa sqm 558, Kiegeya Morogoro mjini,tayari kina misingi ya nyumba mbili,mmoja una vyumba 3 ikiwemo master bedroom, sitting room,stoo jiko na choo, msingi wa pili Ni wa vyumba viwili, ikiwemo master bedroom, sitting room jiko na choo.
  11. chapangombe

    JamiiForums Tanzania Nauza vioo viwili vyenye ukubwa wa futi 6 urefu na mapana 4 vimezungushwa aluminium vyote viwili 160000 pia meza ya saloon ya aluminium ina box

    Meza ya saloon ya aluminiam ina box moja 50000 Vioo viwili ukubwa futi 6kwa futi 4 upana 160000VIMEZUNGUSHWA aluminium mlango mkubwa wa flem wa aluminium futi 7kwa 6 300000 nipo buza temeke 0620742868
  12. D

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Duka la jumla la Vyakula

    Babari ndugu zangu,nauza duka langu lililopo tandika dable kibin sokoni,duka Ni la vyakula na vitu mbali mbali mfano sukar,ngano,mafuta,sabuni na nk lenye mtaji wa sh 20,000,000. Biashara Ni nzuri Sana na ofisi Ni nzuri ila Mimi nahama makazi; nahamisha familia namfuata mume wangu. Hutojuta...
  13. VentureCapitalist

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuuweka kwenye kifungashio ugoro niwe nauza kwenye supermarket, maduka n.k

    Nimekaa nikawaza nchi Kama marekani ugoro unauzwa supermarket lakini huku watu wananua kwa kujificha utazani kwamba ni kitu haramu. Hatua ya kupackage ugoro kwenye small can tins ika create ajira na kuingiziwa kipato kwa nchi.
  14. E

    JamiiForums Tanzania Nauza friji, bei nafuu sana

    Nauza friji kama inavyoonekana kwenye picha. Bei ni shilingi laki 110,000/= (laki moja na kumi). Haina gesi. Ikiwekewa gesi inagandisha na kupoza bila shida. Ninapatikana Morogoro, Kihonda-Bima. Mawasiliano 0755267811. Sababu ya kuiuza ni uhitaji wa fedha kwa haraka kwa lengo la kutatua tatizo...
  15. Decodier

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa bei ya PSU (Power Supply Unit)

    Lengo la huu uzi ni kutaka msaada kama kuna watu ambao wana ufahamu na uzoefu juu ya biashara za vifaa vya kompyuta. Mimi sio mzoefu wa mambo ya computer hardware. Naomba kujua bei ya power supply ya DELL ambayo ni used je ninaweza kuiuza kuanzia shilingi ngapi? Maana nawafahamu vizuri mafundi...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Nauza Rav4 milango 5 kwa bei nafuu sana

    Toyota RAV 4 ya mwaka 1995 inauzwa, milango mitano Engine capacity ni 1998, imetembea KM 160947. Insurance ipo valid mpaka March 2021, Engine, Gear box na tyre zote nne zipo bomba kinoma. Ukinunua hakika huwezi jutia hela yako Bei ni Shilingi Milioni Tano na laki tano tu (5,500,000/=) . Ipo...
  17. Alex Hamadi Hamis

    JamiiForums Tanzania Nauza canon 5D mark III body tu

    Ipo clean kabisa kama unavyoiona kwenye picha. Haina shida yoyote. Nicheki WhatsApp: +255676095799 au normal calls kwa +255683018095. Bei: 3.4million
  18. K

    JamiiForums Tanzania Nauza unga wa mbegu za maboga (Pumpkin Seed Flour). - Arusha

    Karibuni nauza Unga wa Mbegu za Maboga Pure 100% haujachanganywa na chochote. Unga huu una faida kemkem kwa afya zetu na kwa umri wowote. Kama vile umsaidia Mama anayenyonyesha Kuongeza maziwa, kinga na dawa bora dhidi ya Kisukari na Shinikizo la Damu, kinga dhidi ya tezi dume n.k Bei ni...
  19. Belleringal

    JamiiForums Tanzania Nauza majogoo

    Nauza majogoo ya kienyeji tsh 15,000 na majogoo mengine yenye uzito wa kilo 2 yanapatikana kwa tsh 23,000 . Napatikana morogoro mjini kwa mawasiliano unaweza kunipata kwa namba 0622482679 . Plz support my hustle 🙏 WAPO
  20. eli_dealz

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza Redmi Note 7 Blue *Brand New*

    Nauza Redmi Note 7 Blue. Brand New and straight From Xiaomi Global ROM (Ina full google apps pamoja na google playstore + ni multilanguage) ROM ni 64GB RAM 6 GB 6.3'' inch display Snapdragon 660 Processor 48 MP Camera Line mbili na inasupport 4G mitandao yote Bongo Battrey kubwa 4000 Mah (It...
Back
Top Bottom