Nauza friji, bei nafuu sana

ELIMU PESA

Member
Jul 22, 2017
62
36
Nauza friji kama inavyoonekana kwenye picha. Bei ni shilingi laki 110,000/= (laki moja na kumi).

Haina gesi. Ikiwekewa gesi inagandisha na kupoza bila shida. Ninapatikana Morogoro, Kihonda-Bima. Mawasiliano 0755267811.

Sababu ya kuiuza ni uhitaji wa fedha kwa haraka kwa lengo la kutatua tatizo linalonikabili.
ASANTENI!
IMG_20200725_140805.jpg
IMG_20200725_140913.jpg
IMG_20200725_140933.jpg
 
Back
Top Bottom