Nauza Rav4 milango 5 kwa bei nafuu sana

Family_hammer

Member
Jan 2, 2016
29
11
Toyota RAV 4 ya mwaka 1995 inauzwa, milango mitano Engine capacity ni 1998, imetembea KM 160947. Insurance ipo valid mpaka March 2021, Engine, Gear box na tyre zote nne zipo bomba kinoma. Ukinunua hakika huwezi jutia hela yako

Bei ni Shilingi Milioni Tano na laki tano tu (5,500,000/=) . Ipo Dar-es-Salaam. Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0713 629 999
IMG_20200717_075317.jpg
IMG_20200717_075317.jpg
IMG_20200717_075342.jpg
 
Attachments

  • IMG_20200717_075327.jpg
    IMG_20200717_075327.jpg
    228.9 KB · Views: 4
  • IMG_20200717_075356.jpg
    IMG_20200717_075356.jpg
    193.2 KB · Views: 3
Gari kama hiyo imeingia nchini mwaka 2006 au 2006 kama namba ni zake haijarithi. Kwa kipindi hicho niliwahi agiza gari kama hiyo mwaka 2007 namba zake AUZ ilinigharimu Tsh 8.8M mpaka usajili kasoro bima hata ukiweka na bima itabaki 8.8m mana bima kwa kipindi ilikuwa 40k. Sasa gari imetumika miaka yote hiyo 14 unataka kuuza kwa bei sawa na uliyonunulia. Gari si sawa na nyumba au shamba gari ukinunua leo ukaipaki ndani bila kuendesha unajikuta imeshuka thamani (depreciation). Nchi za wengi hiyo gari inabidi ulipe hela ya kudispose maana hakuna atakaye nunua. Hiyo gari bei yake iko juu sana jaribu kushuka wadau waje. Nazifahamu kwamba hizo gari ni imara sana. Hakuna atakayejuta kuwa nayo.
 
Kama umelipenda omba upunguziwe bei mfanye biashr sio talalila nyingii.
 
Gari kama hiyo imeingia nchini mwaka 2006 au 2006 kama namba ni zake haijarithi. Kwa kipindi hicho niliwahi agiza gari kama hiyo mwaka 2007 namba zake AUZ ilinigharimu Tsh 8.8M mpaka usajili kasoro bima hata ukiweka na bima itabaki 8.8m mana bima kwa kipindi ilikuwa 40k. Sasa gari imetumika miaka yote hiyo 14 unataka kuuza kwa bei sawa na uliyonunulia. Gari si sawa na nyumba au shamba gari ukinunua leo ukaipaki ndani bila kuendesha unajikuta imeshuka thamani (depreciation). Nchi za wengi hiyo gari inabidi ulipe hela ya kudispose maana hakuna atakaye nunua. Hiyo gari bei yake iko juu sana jaribu kushuka wadau waje. Nazifahamu kwamba hizo gari ni imara sana. Hakuna atakayejuta kuwa nayo.
super genious, ndiyo maana hata Serikali baada ya miaka 5 zile VX huuzwa kwa chini ya milioni 10.
 
Jitambulishe kwanza wewe dalali au mmiliki, halafu picha umepiga kwa woga Sana hatujaona.
1Dashbord
2 Engine
3Vibali
4Seatcover
5Tairi
6Hujaelezea AC status.
7Hujaelezea Engine capacity na fuel Consumption.
Vingine nakuonea huruma.
Na ukipunic niwazi wewe dalali Njaaa.
 
Gari kama hiyo imeingia nchini mwaka 2006 au 2006 kama namba ni zake haijarithi. Kwa kipindi hicho niliwahi agiza gari kama hiyo mwaka 2007 namba zake AUZ ilinigharimu Tsh 8.8M mpaka usajili kasoro bima hata ukiweka na bima itabaki 8.8m mana bima kwa kipindi ilikuwa 40k. Sasa gari imetumika miaka yote hiyo 14 unataka kuuza kwa bei sawa na uliyonunulia. Gari si sawa na nyumba au shamba gari ukinunua leo ukaipaki ndani bila kuendesha unajikuta imeshuka thamani (depreciation). Nchi za wengi hiyo gari inabidi ulipe hela ya kudispose maana hakuna atakaye nunua. Hiyo gari bei yake iko juu sana jaribu kushuka wadau waje. Nazifahamu kwamba hizo gari ni imara sana. Hakuna atakayejuta kuwa nayo.
Waswahili bwana, mna mambo!
 
Waswahili bwana, mna mambo!
Hupendi ukweli wwe?

Ununue gari kwa milioni 8 uendeshe miaka 14 uiuze kwa milioni 5.5 inaingia akilini kweli ama kulogwa huko?

Hebu nenda Yard kanunue gari, IST kwa 11 milion,ukishailipia tu toka nje ya YARD bila kuiendesha alafu tangaza kuiuza kama utapata hata 10 milion, including huyo aliyekuuzia hainunui
 
Attachments

  • IMG_20200719_072605.jpg
    IMG_20200719_072605.jpg
    223.5 KB · Views: 4
  • IMG_20200719_072613.jpg
    IMG_20200719_072613.jpg
    232.7 KB · Views: 4
  • IMG_20200719_082331.jpg
    IMG_20200719_082331.jpg
    231.1 KB · Views: 4
  • IMG_20200719_082352.jpg
    IMG_20200719_082352.jpg
    173.9 KB · Views: 5
  • IMG_20200719_082402.jpg
    IMG_20200719_082402.jpg
    217.6 KB · Views: 5
  • IMG_20200719_082432.jpg
    IMG_20200719_082432.jpg
    162.5 KB · Views: 5
  • IMG_20200719_082455.jpg
    IMG_20200719_082455.jpg
    113.6 KB · Views: 5
Hii inafaa kujifunzia kuendesha. Hapo ni kuweka seat covers mpya na kuipiga rangi, itakuwa good to go. Ngoja ntakucheki muda si mrefu
 
Usiangaike sana kutafta wateja mitandaoni nenda vyuo vya udreva wataichukua tuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom