nauza

  1. Nsumba ntale tz

    JamiiForums Tanzania Nauza vitu vyangu vya ndani

    Nimepata dharura nauza tv 55" samsung smart 1.2mil, radio sony soundbar 1000w 1mil na meza ya chakula viti sita laki 6 atakaechukua tv na redio nitamfanyia 2mil.. vyote bado ni vipya Vipo mwanza Mawasiliano 0765682453 Hiyo meza ni ya kioo kayikati ina viti sita bei laki 5
  2. Wu-Ma

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza bidhaa mbalimbali

    Jamani habari wakuu, nauza bidhaa zifuatazo, naclear stock mana zimebaki pcs chache sana. Mikanda ya kupunguza tumbo Kwa wadada , @Tsh 15000 ..zimebaki pcs 7 Safari bags @Tsh 25000 Zipo pcs 4 Taulo za kike , ladies @Tsh 18000 pamoja na kilemba zimebak pcs 4 Capert manyoya heart...
  3. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba hii inauzwa. Ipo Kiharaka kabla yakufika Chuo cha Jeshi Mbweni Mwisho

    Naomba kuwajulisha kuwa Nauza nyumba Ipo Kiharaka ukipita daraja la Bunju unapinda kulia ilipo kambi ya jeshi sasa kabla ya kufika Nyumba ipo hapo Serikali za mitaa. Ukubwa wa Nyumba ina vyumba 3 kimoja ni Master, Seating Room Public toilet Store Nje ina fremu mbili kama unataka kufanya...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza IST yangu

    CC 1290 Year 2005 In Mint condition Full doc. file Bei 9.8m (maongezi yapo) Watsap 0715140001
  5. Isaack Newton

    JamiiForums Tanzania Kabati la biashara la vioo nauza kwa laki moja

    Kabati zuri kabisa la kuuzia chipsi lina portion tatu na vioo safi naliuza kwa being ya laki moja tu. Limetumika wiki mbili tu. Nipo mbezi beach sala sala. Atakae hitaji anicheki 0679478758 au 0744069243. Karibuni.
  6. Website design

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Pad za kuchezea game

    PAD ZA KUCHEZEA GAME Zipo mbili zote nzima Nauza kwa zote = 20,000 Ukitaka moja ni 12,000 Zinapatikana ubungo - dsm 0677 818283
  7. N

    JamiiForums Tanzania Nauza xbox one console

    Xbox one 500gb One controller Two cd For sale Bei 450k Nicheki 0629274880 or 0752527054 or 0716917896
  8. N

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza camera panasonic gh5s

    Panasonic gh5s camera for best video quality. Uwezo Shoot 4k up to 60fps Dual native iso 400 and 1600 Support cinema 4k up 60fps Shoot 4k 10bit 4:2:2 internaly Assisting feature kamaFalse color for manual focusingWaveform HistogramBetter colour kuliko gh5 Ukitaka kupata more review check...
  9. Kranium

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza HP LCD Widescreen Monitor

    HP LCD monitor Size: 47 cm (18.5 in) widescreen; diagonally measured With VGA and Power cables Price: 60,000/= Tshs Location: Sinza Mori near Lufungila Bus Stop Contact: 0752776793
  10. Uhuru24

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza Samsung Galaxy TAB S2

    Ipo katika hali nzuri kabisa Ram gb 3 Storage 32gb Simcard & memory card 250,000 Nipigie humu 0715 378899, napatikana Kariakoo
  11. C

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza used alternator ya BMW E90 3-series

    Alternator aina ya Bosch 150A kwa BMW E90 3-series. Ni used lakini inafanya kazi vizuri. Bei laki 5. Wasiliana 0759970963
  12. I

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Smart Watch Brand New

    Kk
  13. I

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza RAM 8gb kwa bei chee

    Ram za 8gb zipo katika hali nzuri kabisa zenye spidi ya 12800u. Bei ni Tshs 80,000. Napatikana Sinza Dar es Salaam. Namba ya mawasiliano ni 0672037238
  14. khayraat

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Oven, karibuni sana

    Unakosaje Huduma bora na uhakika wahi sasa Von Hotpoint Cooker - Stainless Steel Price Tshs 650,000/= #Product Features . 3 Gas Burner and 1 Electric Cooker [emoji830]Electric oven and grill [emoji830]Push Button Ignition [emoji830]Mechanical Timer [emoji830]Thermostat [emoji830]Oven Lamp...
  15. Kakondele

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Sumbawanga

    Nyumba inauzwa ipo Sumbawanga Izia mita 80 kutoka soko la sabasaba Ina vyumba vyumba vitatu kimoja ni master,sebule,dining room,jiko,store kwa nje ina chumba na sebule,vyoo vya nje,na vyumba vinne vya frame,maji na umeme vipo Bei ni Tzsh 35,000,000/=Malipo kwa awamu yanapokelewa kwa makubaliano...
  16. F

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Air Condition, brand new kwa bei nafuu, shilingi laki tano

    Habari wadau Nauza air condition mpya kabisa, sealed in box Bei ya kuuza ni laki tano fixed ( haipungui kiasi chochote) mimi nilinunua laki 7, risiti ipo Brand ni BRUHM Nilinunua kwa ajili ya kuifunga kwenye barber shop .. kwa sasa wazo la barber shop limeniondoka, nimeona niiiuze tu maana...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Nauza kioo cha monitor desk top 40,000

    Kioo ni kipya hakijatumika nilikinunua kwa ajili ya kufanyia shughuli fulani lakini nimebadili mipango. Simu 0672028920
  18. I

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Bajaji ipo kwenye hali nzuri kabisa kwa Tsh 2,200,000 tu

    Habari za leo wakuu, Nauza
  19. JOH CARLOS

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza simu aina ya Galaxy A5(2017)

    Haina tatizo lolote. Ina ukubwa wa 32GB Fingerprint ipo vizuri kabisa. Bei yake ni 145,000 Ipo Mabibo Dar es salaam. Mawasiliano: 0768048752
  20. L

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza gari yangu Harrier Lexus

    PRICE UPDATED: 6,800,000 Model: Toyota HARRIER Lexus Registration Number: A.... Colour:Silver Engine: Petrol 2994cc VTI Year 1999 Seat Capacity 5 Music redio Full AC Full documents (File) Clean Seats Trans Automatic Imported from Japan Kama upo serious , Whatsapp number 0764111116
Back
Top Bottom