nauza

  1. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Nauza chumvi ya Mawe: IGOMA-MWANZA

    Karibuni sana. hio ni chumvi ya mawe/mabonge uzito ni 50kgs kuna mifuko zaidi ya 500. ipo Igoma, mtaa wa Kilimo A jijini Mwanza. bei: 25,000 Tshs. Wengine wanauza elfu 30 mpaka 28,000 Tuwasiliane 0713096076
  2. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania NAUZA MAJIKE YA NGURUWE YENYE MIMBA

    Samahani waislamu, Kwa mahitaji ya majike ya nguruwe yenye mimba. Napatikana Mbezi kwa msuguri. Mbegu ni large white. Bei chee kabisa ofa ya sikukuu. 500,000 kwa jike moja. 0783985530 Karibuni sana. Ofa mpaka january 15 2022. Niwatakie siku njema.
  3. Dith

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza gari min bus ldv convoy

    Nauza gari, ni min bus yenye usajili wa number C. Aina ya LDV convoy. Gari ipo mwanza kwimba. Linahitaji marekebisho kadhaa na halijatumika muda mrefu. Bei ni 4.7M (mazungumzo yapo). Kwa mawasiliano na maswali zaidi piga 0769917961. Asante
  4. MAGAMBA MATATU

    JamiiForums Tanzania TV4Sale Nauza Tv smart na Azam dish Mwanza

    Nauza
  5. V

    JamiiForums Tanzania Nauza nguo kwa bei nafuu

    Karibuni vunja Bei kariakoo online wauzaji wa nguo za kiume pamoja na viatu Utapata jeans kardet vest T-shirt shirt kwa Bei pouwa Njoo WhatsApp 0657710078
  6. I

    JamiiForums Tanzania PITA HAPA: nauza mikoba na mabegi kwa jumla:

    Wapendwa poleni na majukumu. Karibuni Sana nauza mikoba na pochi za kike pamoja na begi kwa bei ya jumla . Napatikana dar temeke Karibuni Sana mikoni tunatuma kwa njia ya basi.  0694 185 384
  7. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza juice dispenser njia tatu

    Nauza juice dispenser njia tatu.. ipo vizuri inatumia umeme mdogo sana.. unaweza weka juice ata siku sita ikawa inazunguka bila kuharibika. Pia inatoa ubaridi ule ule wa juice ya kwenye fridge. Nzuri kwa restaurant, hotelini hata pick na pay. Bei rahisi kabisa Bei: 580,000 Location: Kimara...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Nauza hearing aid kifaa cha kuongeza usikivu, pia inasaidia kupunguza kelele

    nauza hearing aid kifaa cha kuongeza usikivu , pia inasaidia kupunguza kelele maikion bei laki 4 dar gongolamboto 0684340704 sikio la kushoto
  9. Mersen

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale DODOMA nauza Kiwanja kwa matumizi ya Taasisi mbalimbali

    Kiwanja kipo eneo la Nzuguni centre kabisa kwa wasiokufahamu ni Karibu na stendi kuu ya mabasi ya mikoani na soko kuu la ndugai . Kiwanja ni kwa ajili ya matumizi ya taasisi za kidini, shule na matumizi mengine. Kiwanja kina hati kabisa na hakidaiwi ukubwa ni HECTARES 3.1 kama inavoonekana...
  10. mmwamba

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Projector mpya kabisa inauzwa

    NINAWASHUKURU WOTE MLIOPITIA NA KUCHANGIA HII THREAD, NIMEFANIKIWA KUIUZA PROJECTOR NA MUNGU AWABARIKI TUENDELEE KUSADIANA. MIMI NI KIJANA NINAEJISHUGHULISHA NA UJASIRIAMALI NA KILIMO..NAWATAKIA MAFANIKIO MEMA KWA KILA JAMBO MNALOLIFANYA NA MUNGU AWABARIKI
  11. I

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza vichwa vya cherehani

    Nauza vichwa vya cherehani aina ya JONES 1681 na aina ya CRESTA Vichwa vyote viwili shilingi 400,000/- Vinapatikan Singida Mjini. Mawasiliano 0674212048.
  12. K

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Bajaji ya TVS King

    Habari zenu, nauza Bajaji ya kijani Aina ya TV's king, iko mikocheni na iko kwenye Hali nzuri Sana na inavibali vyote na inafanya kazi to a Uber na bolt. Bei ni milioni mbili na laki nne (2.4 million). Mawasiliano 0620704530. NB- Hii ni Bajaj yangu hivyo haina udalali.
  13. E

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja Fukayose

    Nauza kiwanja chenye ukubwa wa ekari 1 maeneo ya Fukayose. Kama unahitaji ni PM
  14. Faru Tobbi

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Sabufa aina ya Sea Piano

    Nauza sabufa aina ya seapiano bei 120,000 imetumika miezi 3 ila kama mpya. Mzigo makini mdundo mnene Inapatikana Ubungo Dar es salaam. Njoo pm tumalize biashara
  15. I

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza simu Itel A30 kwa Tsh. 150,000/-

    Specifications: Android version 9.0.0 Ram 1gb Storage 16gb Nipo Morogoro natuma mikoa yote. 0672037238.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nauza Mkaa Gunia 700 kwa shilingi 10,000 kwa kila Gunia

    Habari zenu wapiganaji, nina kibali cha kuandaa Mkaa kutoka shambani kwangu gunia 700, mm naziuza kwa kila gunia shilingi 10,000 kutokea shambani. Gharama za usafirishaji ni juu yako pamoja na tozo ya TFS. Vibali vyote ninavyo. Anayehitaji aje Inbox tuongee. Njoo na Gunia zako upime mwenyewe...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nissan xtrail for sale 3.8m

    Habari Nauza gari Nissan extrail for repair or spare. Ilipata ajali ikagongwa mbele. Inahitaji nose cut complete. 2004 Tuwasiliane kwa namba 0713750760 bei 3,800,000 gari iko Dar Goba. Engine haina shida kabisa
  18. K

    JamiiForums Tanzania Nauza magazeti kutoka korea

    Habari wakuu nina tani 9 za magazeti kutoka korea nauza kwa kg1 ni 1800 location ni Mnazi Mmoja Dar es salaam namba ya simu 0769115998 kwa maelezo zaidi
  19. Chris wood

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza gauni zuri from Turkey bei ya kutupa only 50k

    Haya wale wadada wa mjini hilo hapo gauni zuri la mtoko/sherehe, Hili gauni ni mkataba Og naliuza kwa bei ya njaa only 50k limetengenezwa kwa material bora. Ziko pair 2 Mawasiliano 0654757823
  20. Merci

    JamiiForums Tanzania Nauza Kiwanja Mabwe Pande karibu na Mto Mpiji kina ukubwa wa Mita 25 kwa 20

    Nauza kiwanja chenye ukubwa wa mita 25 kwa 20 kilichopo Mabwe Pande karibu na mto Mpiji kwa Tsh 5M. Umeme upo tayari kiwanjani na pia Kiwanja hiki hakijapimwa. Nipigie 0736770052
Back
Top Bottom