nauza

  1. Wazobora

    JamiiForums Tanzania Nauza maziwa mgando lita moja Tsh1,500/= mkoa wa Kagera

    Habari zenu wanajf. Nitumie fursa hii kuwatangazia kuwa ninauza maziwa mgando kwa bei ya tsh1,500/= kwa lita moja maziwa yetu ni mazuri hayaja chakachuliwa kwa namna yoyote ile. Makazi yangu ni mkoa wa Kagera. Kama upo mkoa tofauti na mkoa wa Kagera itakupasa kulipia gharama za usafirishaji...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Wahi mapema, nauza Kiwanja changu SQM.723-Oysterbay-Dodoma!

    Kiwanja Kipo Oysterbay mita 50 kutoka Oysterbay Lodge, kipo jirani na kituo cha mabasi Oysterbay uelekeo wa UDOM upande wa kushoto kuna barabara ijulikanayo kama Oysterbay road. Kiwanja ni kizuri kwa makazi na biashara pia kinafaa kujenga lodge/guest house na kimezungushiwa msingi wa fensi...
  3. Mlolongo

    JamiiForums Tanzania Nauza paka/nyau, nipo Makongo Dar

    Nauza paka/nyau. Ni domestic cats, species aina ya Felis Catus. Location: Makongo Juu (opposite na nyumba ya Professor Rwekaza Mkandala) Mawasiliano: 0718 727210 (Whatsapp/SMS) Bei: 540,000/= kwa paka mmoja. Ukichukua wawili unalipa 1,060,000/= Picha: Anajificha nisimpige picha Anapiga...
  4. bafetimbi

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza infinix HOT 10i 215,000

    Simu hiyo wazee haina kasoro wala mkwaruzo Ina GB 64 3--6GB RAM 720×1600 pixels 13 MP (1440p) Betri 6000mAh, inakaa na chaji muda mrefu mno 6.52
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nauza kuku aina ya sasso

    Habari wakuu. Kuku wapo Kahama wana miezi 4 na wiki moja. Idadi wapo 150. Bei 12000, maelewano yapo. Simu 0755868463. Karibuni.
  6. Rion Jr

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza biashara ya chips

    Biashara ya chips inauzwa ipo Yombo kituo chama, sehemu ya biashara ipo barabaran kabisa, kuna kila kitu kinachohitajika kwny biashara ya chips , na kod bado ipo miezi 4 ukifika ww nikuanza kazi bei 2.7M Call +255 759 444 402
  7. N

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nauza nyumba yangu Kivule Kwa Wamakonde 22 mil

    Habari wana JF, Nauza nyumba yangu iko Kivule kwa wamakonde kwenye kiwanja cha s.meter 500, haijaisha ila tayari ishapauliwa na mabati ya msauzi. Kwa walio serious karibuni..22mil Mawasiliano 0767940945 Asanteni..
  8. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania INAUZWA MWANZA: Nauza Bajaj kwa bei ndogo

    NUNUA BAJAJ UPEWE NA DEREVA WAKE BURE... Mwanza 0713096076 Nauza bajaj za kila aina!! Bei nzuri tu kuanzia mil 3 mpaka milioni 5 mwisho. zote ziko vijiweni zinafanya kazi MTEJA SERIOUS PIGA SIMU...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Nauza Maharage: Nipo Arusha

    Heshima Kwenu Wakuu Nina maharage gunia 20, nipo hapa Arusha natafuta mnunuzi. Haya maharage niliyalima mwaka jana hapa hapa Arusha. Maharage yanaitwa "ngaraisee." Kama utahitaji au unajua anayehitaji tafadhali nipigie kupitia 0764-653-982 Shukrani
  10. Top77

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza desktop ya dell

    Nauza destop Aina ya dell Bei 160,000/= Desktop Aina ya dell Ram 2 Hard disk 320GB CPU DUO 1.6Ghz Hali:Imetumika Mahali:Mkoa wa Dar es salaam Simu no 0717265343 Karibu.
  11. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza external hard disc 2TB nikuze mtaji wa biashara

    Wapendwa. Siko hapa kwa ajili ya ku expose shida zangu, ila naomba msaada kwenu ndugu zangu. Ninauza hard disk ya 2TB ninahitaji sh. 200,000/- tu ili nilipie fremu ya biashara. Kudanga siwezi, wala sio hulka yangu, ndio nimeingia rasmi kwenye ujasiriamali. Call +255 755 233 968
  12. N

    JamiiForums Tanzania Tunauza Kuku aina ya Kuroiler tupo Bunju "A" Kituo kwa Baharia

    Tunauza kuku aina ya Kuroiler F1, tunapatikana Bunju A, kituo "kwa Baharia", jirani na Kituo cha Mafuta cha GUDAL. Bei ni kuanzia 14,500-18,000..kutokana na uzito wa kuku. Bei ya jumla kuanzia kuku 10 tunafanya 15,000. Weka oda yako mapema na karibu tukuhudumie kwa uaminifu kabisa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza viatu vya kike bei ya Jumla

    Habari ndugu. Jipatie viatu vya kike kwa bei ya jumla ya TZS18,000 tu kuanzia pieces 10 chini ya hapo tunauza kwa TZS20,000 tuu. Tunapatikana Ubungo Msewe - Dar es Salaam WhatsApp: Share on WhatsApp Simu: 0759891571 Karibuni sana.
  14. N

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nauza nyumba yangu ipo Kivule kwa wamakonde 25mil

    Habari, Nauza nyumba yangu ipo maeneo ya Kivule kwa wamakonde 25mil, haijaisha...Imeezekwa na mabati ya msauzi..Kiwanja ni cha kuandikishana serikali za mitaa hakina hati, kina ukubwa wa sq 500, ina vyumba vitatu vya kulala, kimoja ndo master, ina sebule,dining pamoja na jiko. Aliyepo serious...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Nahama, nauza vitu vya ndani

    Niko Dodoma Sofa watu 8 Sh. 680k Subwoofer 120k speaker 3 base ya 4 Showcase 280k NB: Vitu vyote vina miezi miwili tu Watsap 0715140001
  16. Msololi53

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza Simu Samsung S8 Plus

    Baada ya kuona wadau (USAWA) hela imekuwa ngumu, nimeshusha kwa kiwango cha rami mpaka 250K Karibuni
  17. Ene magari

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza gari aina ya Toyota Alphard

    offer offer Unregistered (chassis number) Toyota Alphard Y.O.M 2007 Low Mileages 65200 kM Cc 2360 Full Ac Full file All automatic Doors And Put OG Sports rims & good tyres Clean in and out All duties and tax payed Price: *21. discount mpk million 20.5 inatoa million 1 y udalali naomb ukiwa tyr...
  18. N

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza sandals za ngozi OG za kike na kiume Dar

    Habari wana JF, Nauza sandals za ngozi OG za kike na kiume Dar..Jumla 18,000 rejareja 20,000. Ni imara na hazipauki kirahisi wala kukakamaa. Kwa mawasiliano nipigie 0657940974
  19. R

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Bajaj used (2.3m tu)

    Habari wakuu. Nauza Bajaj TVS, ipo Mbauda Arusha. Ipo katika Hali njema. Bei 2.3m. Mazungumzo kidogo yapo Kwa mteja atakayekuwa serious. Simu 0776655978 au 0656388678
  20. I

    JamiiForums Tanzania Nauza kreti za soda na chupa zake zikiwa tupu

    Kama kichwa cha habari kinavosema, nina kreti 10 hap za soda na chupaa zake. Bei ya kreti moja na chupaa zake ni tsh 3500/= Nipigie 0672037238 nkuuzie
Back
Top Bottom