Changamoto?Haijawahi kurudiwa rangi
1990cc
Kibamba - Dsm
.
0717 650800
Mkuu naona imekukera ndo shida ya hizo nissan dualismHaijawahi kurudiwa rangi
1990cc
Kibamba - Dsm
.
0717 650800
Sijakuelewa mzeeMkuu naona imekukera ndo shida ya hizo nissan dualism
Haina bossChangamoto?
Sawa mkuuNgoja waje
Kuwaka moto,na body kubwa mtihani kwenye kupakiChangamoto?
DuhKuwaka moto,na body kubwa mtihani kwenye kupaki
Kuwaka moto vipi, na Bodi kubwa vipi ?Kuwaka moto,na body kubwa mtihani kwenye kupaki
Nashukuru kwa kunisaidiaKuwaka moto vipi, na Bodi kubwa vipi ?
Kwahiyo maloli huwa hayapaki ?
Acha kuharibu biashara za watu Kijana:
Wacha mnunuzi akaikague mwenyewe:
Samahani kama nimekukwaza bro,mnunuzi pia anastahili kujuwa ukweli hujui pesa kaipataje,habari za kuwaka zimo humu humu zilijadiliwa, sasa Lorry utaenda nalo mlimani City au City Mall??? anyway maamuzi ni ya mnunuzi aliuliza changamoto na hizo ndio changamoto zake.Kuwaka moto vipi, na Bodi kubwa vipi ?
Kwahiyo maloli huwa hayapaki ?
Acha kuharibu biashara za watu Kijana:
Wacha mnunuzi akaikague mwenyewe:
Punguza kiherehere kaka....kwahiyo ukiwa na Dualis unalipukiwa au sio? Ama ukiwa na Dualis huwezi kupaki pale mlimani city?Samahani kama nimekukwaza bro,mnunuzi pia anastahili kujuwa ukweli hujui pesa kaipataje,habari za kuwaka zimo humu humu zilijadiliwa, sasa Lorry utaenda nalo mlimani City au City Mall??? anyway maamuzi ni ya mnunuzi aliuliza changamoto na hizo ndio changamoto zake.
Kupaki ni body lake namna ilivokaa huu ni mtazamo wangu,gari ya watu watano pamoja na dereva inaonekana kama min bus,kuhusu kulipuka story zipo humu.kainunue bro.Punguza kiherehere kaka....kwahiyo ukiwa na Dualis unalipukiwa au sio? Ama ukiwa na Dualis huwezi kupaki pale mlimani city?
Ama unamaanisha nini?
Kwahyo mtazamo wako na udereva wako wa kujifunza ndio umekwambia kupaki Dualis ni changamoto? Gari ya watu wa5 ni mini bus, ist inabeba watu wangapi? Nayo ni mini bus?Kupaki ni body lake namna ilivokaa huu ni mtazamo wangu,gari ya watu watano pamoja na dereva inaonekana kama min bus,kuhusu kulipuka story zipo humu.kainunue bro.