natamani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Natamani viongozi wote wa mataifa ya Afrika waiunge mkono kauli ya Nana Akufo Ado

    Ifike wakati Sasa Afrika tuungane Katika kutetea masilahi yetu. Linapokuja suala la Afrika lisiachwe liwe la mtu mmoja,au taifa moja. Afrika tuoneshe kujitambua.
  2. JamiiForums Tanzania Natamani aende kwao tu....

    Yani full tafrani home, ana wiki ya pili sasa yani nimeshamchoka huyu ndugu, kafika home kututembelea lakini full kutupangia ratiba za kuamka , leo kaamka mapema kaanza kutia makelele amkeni amkeni Usafi mtafanya SAA ngapi? Wakati sisi tuna ratiba zetu za usafi, kila mtu akiamka ana kazi yake...
  3. JamiiForums Tanzania Natamani sisi wapenzi wa Pan-Africanism timu yetu iamke upya, na Red Star nayo iamke upya

    Sisi tuliokuwa wapenzi wa Pan-Africanism ndio tuliokimbilia Yanga, baada ya timu yetu kuonyesha kutokuwa na future na mipango madhubuti ya kimichezo. Natamani timu hii ikiwa na pacha wake nyota nyekundu zipate mfadhili wa kuziamsha, maana kama ni mashabiki wanao wa kutosha. Maana waliokuwa...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Picha: Natamani hii ndio ingekuwa jezi ya Simba. Kali sana

    Hizi fans concepts huwa ni kali sana ila siku ya mwisho unashangaa watuwanakuja na utopolo wa kutisha kabisa, i like this one tamu sana
  5. C

    JamiiForums Tanzania Natamani sana kuagiza hii gari VOLVO XC60

    Habari wanafamilia wa km naomba Msaada mwenye kujua kuhusu hii gari nimeipenda mnoo natamani kuagiza Volvo XC60 haswaa upatikanaji wa spares na changamoto zake.
  6. JamiiForums Tanzania Natamani sana mabibi na mabwana shamba tuanzishe chama chetu cha kututetea

    Natamani sana mabibi na mabwana shamba tuanzishe chama chetu. Ukiangalia wafanyakazi wenzetu kwenye wizara zingine wana vyama vyao vyenye nguvu kuwatetea katika mambo mbalimbali ya maslahi yao! Sisi tumelala Sana hatuna hata wa kutusemea na badala yake tumegawanyika wengine wanajiona Bora...
  7. JamiiForums Tanzania SoC02 Natamani kufumba macho, lakini ni nani ataisimulia leo katika kesho yenye mpasuko?

    Nimefumba macho. Si kwa sababu nipo usingizini na wala si kwa sababu ni usiku wa giza totoro. Bali ni kwa sababu ya hofu, hofu ya kuiona leo. Hii ni kwa sababu jana ilifanya macho yangu yajawe na simanzi. Na kibaya zaidi ni kuwa, matumaini yangu ya kuiona leo yenye ahueni yanazidi kupotea kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Natamani Mdahalo wa Wagombea Wenza wa Urais Kenya ungetokea Kwa Tanzania mwaka 2015 au 2025 ili tujue Ugoigoi wa Watu

    Kwa mliobahatika Kuutizama Jana mtakubaliana nami kuwa. 1. Wagombea Wenza wana Akili sana kiasi kwamba wanashawishi kuwa wakiwa Ikulu watakuwa Msaada mkubwa Kwa Mabosi zao (Marais) 2. Wagombea Wenza wamechujwa Kweli katika Vyama vyao husika na siyo tu wa Kukurupushwa Kiuhuruma au Kiupendeleo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Natamani sana 'Spirit' ya Waingereza iigwe na Watanzania wote kama kweli hatupendi Upuuzi

    Waingereza wao hawana Dogo wala Kubwa na Kiongozi wao hata kama wakiwa Wanakupenda vipi Ukiharibu tu watakuambua uachie Ngazi ili aje mwingine mwenye Nidhamu ya Utendaji na Uongozi kwa Umma / Jamii.
  10. JamiiForums Tanzania Natamani kuwa fisadi: Nifanyeje Kuishinda hii hali?

    Wakuu heshima kwenu, nahudumu katika kitengo cha manunuzi katika taasisi moja ya umma (sita itaja). Kila mara ninapokuwa nikitekeleza majukumu yangu kuna roho ya ufisadi inanijia, ukweli nikwamba huwa naiba ila sijawahi kuiba zaidi ya laki 5 hata kama manunuzi ni makubwa vipi. Tamanio langu ni...
  11. JamiiForums Tanzania CDF Mabeyo: Natamani Jeshi letu liwe la kisasa, tutengeneze zana zetu

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Venance Mabeyo amesema anatamani Jeshi letu liwe la kisasa zaidi na liweze kuchangia uchumi wa nchi na liwe la kujitegemea ‘sustainable military’. “Kwa nini wenzetu wanatengeneza zana kutuuzia sisi, na kwa nini na sisi tusitengeneze zana za...
  12. JamiiForums Tanzania Matajiri wenzangu

    Tupeane mbinu ya kuzidi kukuza utajiri
  13. K

    JamiiForums Tanzania Natamani ningekua na mchumba kama wa Sabaya

    Yule mwanamke bana pamoja na kwamba mchumba ake anapita kwenye tanuru la moto, lakini ameamua kusimama upande wa Sabaya. Kuna haya mashankupe ya mjini sasa,jitu uko nalo kwenye mahusiano, likasikia umetiwa ndani hata kwa kesi ya uzururaji tu, nalo ndio linakukimbia mazima hata kukuletea sabuni...
  14. JamiiForums Tanzania Kama Wanasimba tunajiamini tuna timu imara, kwa nini tunaombea tukutane na Al Ahly Tripoli, siyo TP Mazembe au Orlando Pirates?

    Si tunajiamini kuwa Simba ni Timu Bora kabisa na tumepita CAFCC jana Aprili 4, 2022 kwa uwezo wetu na tuna jeuri ya kucheza na timu yoyote Afrika, sasa kwa nini karibia 99% ya Wanasimba wanaombea wakutane na Al Ahly Tripoli ya nchini Libya na kamwe siyo TP Mazembe ya Congo DR au Orlando Pirates...
  15. JamiiForums Tanzania Natamani sana Ubunifu huu wa 'Daladala' za nchini Denmark uigwe na za Tanzania ili tusiooa na wasioolewa tupate Wenza wetu wa Maisha

    Wamiliki wa Daladala nchini Denmark wamebuni Mbinu mpya kwa Abiria ambao hawataki Kuoa kama GENTAMYCINE au Kuolewa kama wengine ili waweze kuwapata Wenza wao ndani ya hizo Daladala. Ni kwamba sasa katika kila Daladala nchini Denmark huwa zinaachwa wazi Siti Mbili ambapo Yule Abiria ambaye...
  16. JamiiForums Tanzania Uzee wako unataka uweje?

    Natamani nikifikisha miaka 60 kama Mungu atajalia, nisiwe natumia nguvu nyingi sana za kupata ugali kwa siku. Kama itawezekana, uwe ni umri wa kucheza na wajukuu pamoja na kwenda kuwinda au kushangaa kobe porini. Siku ya ibada kwa sababu mimi ni mkiristu, nisiwe nasali katika kanisa moja, bali...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Katiba natamani hili lingezingatiwa pia

    Wakati Katiba Mpya inaandikwa kama ningelikuwepo kwenye mazingira hayo, ningependekeza kuwepo na Mihimili minne katika Tz kwa jinsi mambo yanavyoenda tangu baada ya awamu ya kwanza ya uongozi wa nchi, yaani mitifuano ya kisiasa ambayo haina afya kwa ustawi wa taifa. Mhimili wa nne ungekuwa ni...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Natamani sana kwenda mahala kuogelea kwenye swimming lakini nikiwaza vikojozi hamu inakata kabisa

    NAPENDA sana kuogelea lakini Nikiwaza kwenda kuogelea maji ya baharini/Ziwani kuna mtihani mwingine huwa naogopa kuogelea maji ambayo sioni ndani yake kuna nini kwa kuhofia nyangumi, wanyama wa majini na mazingaombwe ya majini! Hivyo sehemu pekee ya kistaarabu ni Swimming pool lakini huku nako...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini mnawalazimisha kupata chanjo ambayo sio kinga?

    Haiwezekani mpigie chapuo chanjo za kovid na kisha mkiri kwa kinywa chenu kuwa chanjo za kovidi sio kinga bali zinasaidiia ukipata kovidi isikuchape kwa nguvu. Je, mnadhani watanzania ni wajinga? Kwa nini mnawalazimisha kupata chanjo ambayo sio kinga? Kwa nini tusiwe na kinga yetu kamili...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Natamani na Misafara ya Marais wetu nayo iwe ni midogo kama niliyomwona nayo leo CDF Gen. Mabeyo akielekea Kwake Kawe Beach

    Wala siyo Gari nyingi bali ni Nne tu kama siyo Tano tofauti na za Marais ambazo unaweza hata Siku ukakutana nazo zikiwa 43 au 69 kabisa. Hata hivyo kuna Mwamba Mmoja aliniambia kuwa huo Msafaea wa CDF Gen. Mabeyo ni mdogo hivyo ila waliopo hapo Kiulinzi ni wale Wajuba watupu wa 92KJ kule Sanga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…