natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta Frame ya biashara Mwanza

    Habari za wakati huu natafuta frame ya biashara mwanza mjini ambayo kodi yake haitazidi 200,000 kwa mwezi. Je naweza kupata maeneo gani?
  2. JamiiForums Tanzania Naungana na Zemanda na Natafuta Ajira kupinga Usimp

    Watu wengi wanauelewa ambao sio sahihi kuhusu usimp,na ndio maana wanaona kama hawa ma expert wanashawishi wanaume kuwa na roho mbaya kwa wanawake. Ukweli hauko hivyo,ebu tufahamu kidogo tunamaanisha nini tunapo zungungumzia usimp au simp Here we go....... Simp ni mtu (mara nyingi mwanaume)...
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta mke/mpenzi/mchumba LAKINI awe amenizidi umri

    Mimi ni mwanaume nina miaka 27 kwa sasa. Natafuta mwanamke wa kumuoa nimweke ndani kabisa niwe mumewe naye awe mke wangu. Sina elimu kubwa ila najua kusoma na kuandika. Nimepanga geto nalipa kodi 40k kwa mwezi. Sina tattoo wala mchoro wowote. Ni mkristo na Rastafari Ni mrefu wa futi 6.2...
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta noah road tour ama field tour

    Habari Natafuta noah road tour ama field tour tu offer ilokuwepo ni 13m isiwe imechezewa rangi niko dar nipe gari unayoijua tufanye biashara 0659756647 CALLS/WHATSAPP
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta engine ya pikipiki sinoray 150 au 180 (bush road) isiyo ya timing chain

    Habari wadau wote wa usafiri. Natafuta engine kwa ajili ya kufufua pikipiki yangu. Sinoray 150 au 180 naielewa zaidi. Isiwe timing chain. Tafadhali tuwasiliane 0754004189
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta tenga za plastic uses

    Wakuu, Natafuta tenga maarufu za plastic zilizotumika.
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kike (asiwe trans)

    Natafuta mchumba MWANAMKE awe Dar, wa mikoani hapana sina nauli ya kutuma. Vigezo 1. Awe amezaliwa wa kike na aambatanishe kadi na cheti cha kuzaliwa 2. Awe na elimu walau awe na D ya masomo ya science O level 3. Awe mbea 4. Asiwe anaongea sana ila nikimwanzishia tu atiririke. 5. Wazazi/walezi...
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Umri wangu: 38 Jinsia: Dumesimba Kazi: Body builder Location: Dar es salaam Dini: Mbudha Sifa za binti naemtafuta Umri:16+ Jinsia: Jikeshupa Kazi: Yoyote Location: Popote
  9. JamiiForums Tanzania Looking for Cotton Cakes Market; Natafuta Wateja au masoko ya Mashudu ya pamba

    Habarini za wakati huu, Natafuta Wateja/ masoko ya Mashudu ya pamba -anayehitaji aje pm au mwenye connection pia anipe Niko Mwanza.
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba sasa na njoo

    Mimi ni mrefu futi 6.2 sina ajira nina kazi tu napambana. Ni mkristo na nampenda Yesu. Nina mwili mkubwa tu wa kutosha kuwa na ka kitambi kakufutia simu. Kwa kusema hivyo, 1. Nahitaji mwanamke awe mrefu, 2. Miaka huwa siangalii sana, 3. Elimu yoyote, 4. Rangi yoyote tu bora isiwe ana...
  11. JamiiForums Tanzania Nitazipata wapi pepeta (rice flakes) nchini? Nipo Mbeya

    Habari wanajamvi, naomba msaada wenu. Natafuta pepeta (rice flakes) kwa ajili ya matumizi ya biashara ya vyakula. Nipo Mbeya lakini niko tayari kuagiza hata kutoka nje ya mkoa kama kuna wauzaji wa jumla au rejareja. Naomba mnisaidie kujua ni wapi naweza kuzipata au hata kama kuna mtu anayeuza...
  12. 4

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kujitolea diploma in clinical optometry mahali popote

    Natafuta nafasi ya kujitolea diploma in clinical optometry mahali popote
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Kibarua (Moshi)

    Habari, natumaini mpo salama Naishi Moshi Mjini, Mimi ni kijana mchapa kazi na mahiri, hivyo kwa unyenyekevu mkubwa natafuta nafasi ya kazi ya Kibarua, popote Moshi mwenye anafaham naomba anisaidie.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Cha 3M kibaha

    Naweza pata kiwanja Kwa shilingi 3M? Nakihitaji ASAP
  15. JamiiForums Tanzania I risk for benefits natafuta kazi kwa stake hii

    Habari za muda huu wakuu Kwa changamoto za ajira apa nchini inabidi mdaa mengine ku risk kitu upate unachokihitaji Kila mtu ana ndoto ya kupata nafasi bora ya kazi… na mimi niko tayari kufanya kufanya kazi yoyote kwenye upande wa Quality | oil and Gas |weighbridge| field yoyote ya vipimo na...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta 'mwananake' mwenye uhitaji wa mume ili kujenga familia

    Tumsifu Yesu Kristo ndugu zangu. Ndugu zangu mimi ni mwanaume, miaka 40 natafuta mwanamke mwenye uhitaji wa mume ili kuishi maisha ya kumpendeza Mungu kwa kufunga ndoa na kujenga familia bora pamoja. Elimu yangu ni ya Chuo, nina kibarua cha kunipatia kipato cha kuendesha familia vizuri...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Hello Mwenzenu upweke utaniua Natafuta mwanamke ambae tutaenda nae kwenye mahusiano na tukiridhiana tuje kuwa mke na mume. Sifa zangu; Umri -30yrs Mjasiliamali Mkristo Sifa za mke: Umri 27yrs na kuendelea Mkristo Mwenye hofu ya Mungu Mwenye upendo wa dhati Nb. Akiwa Dar itapendeza zaidi...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta binti Salaf wa kuoa

    NATAFUTA BINTI WA KUOA. Email yangu natafutamke872@gmail.com Dini: Muislamu naitakidi na kufuata manhaj salafi Urefu: 158 cm Umri: 30 Kazi/kipato. Namshukuru Allah napata rizki kiasi cha kumudu majukumu ya ndoa. Makazi: Mara nyingi napatikana Dar es Salaam na mikoa ya jirani. Elimu ya...
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta makanisa ya zamani katika jimbo la Arusha

    Je, kuna makanisa ya zamani au ya kihistoria katika jimbo la Arusha? Nilikuwa najiuliza kwanini katika majimbo mengi nchini Tanzania unakuta makanisa mengi ya zamani na mazuri ya Kanisa Katoliki, lakini katika jimbo la Arusha sijawahi kuona hata moja. Ninaposema makanisa ya zamani...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Bado natafuta mtu anifundishe pikipiki nitachangia hela ya mafuta

    Habari natafuta mtu anifundishe pikipiki ambaye atanisaidia nitamshukuru sana nitachangia hela ya mafuta anicheki Pm au hapa hapa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…