natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi, Mshahara Uwe Laki Moja

    Habari Wana JamiiForums! Kama kichwa kinavyojieleza, Kijana wenu nipo apa kuomba kazi. Nipo tayari kufanya kazi yoyote ya halali. Kazi hilo iwe ndani ya taaluma yangu, au nje ya taaluma yangu nipo tayari kuifanya. Jinsia: Kiume Miaka: 23 Mahali Dar es salaam. Elimu: Chuo Kikuu. Nilichosomea...
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalam wa kilimo na mifugo anayepatikana Dar

    Habari wataalamu wa kilimo na mifugo. Niende kwenye mada chap kwa haraka bila kupoteza muda, kama title linavyojieleza hapo juu; ni kweli natafuta hao wataalamu nifanye nao kazi ya kusaidia watanzania kwenye kilimo na ufugaji kama biashara kwa kutoa huduma ya ushauri na tiba kutokana na...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la nyanya maji

    Habar Wana Jf, Kama heading hapo juu inavyojieleza, naombeni msaada wa kujua wapi naweza uza nyanya kwa Bei nzuri. Nataraji kuvuna katikati ya mwezi wa tisa, ukubwa wa shamba ni hekari moja, mbegu niliyoipanda ni ASILA F1. Eneo nilipolimia ni Bagamoyo. Karibuni sana
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta watu wa live band

    Habari zenu wadau ninahitaji watu wenye uwezo wa live band (copy) au cover pub inaitwa MKUSHI PUB ipo wilaya ya kibondo mkoa wa Kigoma. Mawasiliano 0627491978/0656426643
  5. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta bus bora

    Habari wapendwa, Naomba kujua bus zuri kwa safari ya bBukoba. Nasafiri Jumanne, please nataka usafiri comfortable kwa ajili yangu na mwanangu. Asanteni sana.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba: Kiwe karibu na Law school(mawasiliano), iwezekane kwenda na kurudi bila ulazima wa daladala

    Kuna mwanafunzi wa law school (July intake) ya pale mawasiliano. Anatafuta chumba ambacho atakuwa na uwezo wa kwenda na kurudi bila kulazimika kutumia dala dala au boda boda. Kiwe kwenye mazingira tulivu yatakayomwezesha kujisomea bila bugdha!! Kiwe mazingira salama. Kikipatikana mapema...
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta ramani nzuri ya kizungu

    Wakuu wapi nitapata ramani ya nyumba za kizungu. Nataka kujenga nyumba very simple lakini unique yenye muonekano wa kizungu. Kama una picha yoyote nisaidie au kama kuna sehemu naweza kuziona nisaidie nikazione either website au page ya insta
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta Chumba cha 100,000/= Maeneo ya Mbezi Beach

    Habari za muda huu wanajamii Forums, naomba msaada kwa anaefahamu Chumba kinachopangishwa maeneo ya Mbezi Beach (Africana, Makonde, Shule, jogoo, tangi bovu, kwa zena, au makongo). Chumba kiwe ni Self(Master). Cha bei ya 100,000/= kwa mwezi
  9. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta Ajira ya Ualimu Sekondari (Masomo ya Chemistry & Information Communication Technology {ICT/TEHAMA})

    Poleni na majukumu wakuu. Mimi ni kijana mtanzania mhitimu wa Shahada ya Ualimu katika masomo ya Sayansi nikispecialize katika Chemistry pamoja na Somo la Kompyuta. Hivyo kama kuna mchongo(nafasi) wowote wa Ajira itakuwa vizuri kama nikijulishwa ili kuweza kufuata taratibu zote zinazohitajika...
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta internship au kujitolea popote

    Habari za saizi jamani samahanini mimi ni mwanamke miaka 24, nimemaliza chuo Bachelor of Business Adminstration mwaka huu. Natafuta internship au kujitoleapopote kampuni au kiwandani nipo tayari kuanza muda wowote ata sasa napatikana Dar es Salaam
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya upishi

    Habari, Mimi ni kijana ninaumli wa miaka 23, ni mvulana kwa sasa naishi Zanzibar, ila nyumbani ni Dar es Salaaam, nimejifunza kazi ya upishi na ninauzoefu wa kupika tokea 2019 mpaka sasa 2022. Najua kupika vyakula vya Indian food, Asia food, Americans food, tacos za Mexico na pasta za Italian...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kwenye Shirika au Taasisi yoyote ya Elimu

    Habari wana JF, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29 na muhitimu wa SHAHADA YA ELIMU KATIKA SERA, MIPANGO NA UTAWALA. Pia, ni mwalimu wa masomo ya JIOGRAFIA NA KISWAHILI. Natafuta kazi kwenye mashirika na taasisi mbalimbali zinazohusiana na taaluma yangu, nawaombeni wana JF kwa yeyote...
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta Marine board used Dar es salaam

    Habari wadau, Nipo maeneo ya Goba, ziwe zimetumika mara moja tu. ziwe kwenye hali nzuri. tuchekiane inbox.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba, sebule choo na jiko Kigamboni

    Habari ya wakati huu wakuu. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, madalali wamenichosha hakika na wasumbufu na hawatimizi hitaji😥 Natafuta chumba, sebule choo na jiko ndani kwa bajeti ya 150,000. Kiwe mazingira salama na ndani ya uzio(sitokuwepo muda mwingi) Maeneo ni Kigamboni...
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba awe mke baadae awe mwalimu miaka 24+ awe secondary

    Uwe mrembo mwenye msimamo, unajitambua na mchapakazi, sichagui kabila mm nipo Dar, mfanyakazi wa serikali taasisi ni siri yangu tuonane pm tutambuane mm ni half maji ya kunde,urefu Sm 177 mwanamke awe mweupe au maji ya kunde Nipo serious Nahtaj mwalimu kwani atakua mama,mlezi,na mwalimu kwa...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu anayefahamu laravel vizuri kabisa

    Wakuu kwema? Aisee natafuta mtu anayeifahamu laravel vizuri kabisa hasa ORM. Kuna kazi nataka tushirikiane naye malipo yapo. NOTE: KAZI TUTAFANYA WOTE KWA KUSHIRIKIANA KWA UKARIBU ZAIDI PIA HAKIKISHA UNAFAHAMU KWELI LARAVEL NA SIO KUBAHATISHA NATAKA REAL COMPTENT NA SIO MTU WA KUBAHATISHA...
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta Daktari wa kukodi. Kuna kazi ya kutahiri watu wawili wakubwa

    Natafuta Daktari wa kumkodi kuna watu wawili wa Miaka 18 wanahitaji kutahiriwa. Aje na offer kila momja atagharimu bei gani. Nipo Dar es Salaam
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta pikipiki aina ya Yamaha DT 125

    Natafuta pikipiki aina ya Yamaha DT 125 ya kununua iliyonyooka iwe na documents zote kama unayo piga hapa 0752883171.
  19. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mume wa kunioa

    Mimi ni kijana wa kike, umri wangu ni miaka 28. Mimi ni mkristo, nasali kanisa la KKKT, elimu yangu ni degree moja. Ni mweupe kiasi, sio mrefu wala sio mfupi. Natafuta mchumba ambaye natamani aje kuwa mume wangu. Awe na sifa zifuatazao; 1. Asiwe mrefu sana wala mfupi sana. 2. Awe mkristo. 3...
  20. JamiiForums Tanzania Wakuu natafuta shule ya kufundisha

    Habari za wakati huu wapendwa. Nina Imani mu wazima wa afya. Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza, Mimi ni kijana umri miaka 25 mhitimu katika chuo kikuu Cha Dar es Salaam shahada ya Ualimu katika masomo ya Geography na Kiswahili mwaka 2020. Nimekuwa nikijaribu kutuma maombi shule mbalimbali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…