natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta Wanunuzi wa Mbegu za Alizeti

    Habari Wadau, Ninatafuta Wanunuzi Wa Mbegu Za Alizeti Kwa Ajili Ya Kukamua Mafuta. Nina Tani Za Kutosha Ni Uwezo Wako Tu Mteja. Kilo Moja Nauza 965/= Oda Ya Chini Kabisa Tani 1 = Kg1000 PM Kwa Maelezo Zaidi.
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta mtu atakayenipunguzia mzigo wa filamu kwa bei ya jumla

    Kijana wenu hapa nafungua movie library ya kisasa, kudownload movie zote itakua time consuming, mwenye ana collection ya movie kali zote za 2020 to 2022 aliyepo mwanza tunaweza punguziana nikakupa ela kidogo ya wi fi.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kushirikiana tufungue Maabara (health) au ubia

    Hello waungwana, Nipo mkoani Arusha. Nina mtaji wa vifaa vya Lab ila gharama ya kulipa pango na pia kurekebisha chumba pesa imeniishia. Sasa basi kama na wewe una ndoto hiyo naomba tushirikiane. Site ni nzuri Sana iko palipochangamka pia sehemu yenye population kila wiki mnada rahisi mno...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta garage nzuri kwa ajili ya IST New model

    Mimi ni mkazi wa DSM eneo la Kimara stopover. Namiliki gari ya aina ya IST New model. Hivi karibuni gari ilipata shida upande wa hydrolic ya gearbox ilikuwa ina leakage na nozzle zilikuwa hazi spray mafuta vizuri kweny engine gari ikawa ina miss na kukosa nguvu. Nimepeleka gari kwa fundi hivi...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Natafuta mchumba atakaye kuwa mke wangu. 1. Awe ana hofu ya Mungu. 2. Elimu atleast form 6 (hata ukiwa na PhD). 3. Awe na akili za maisha na shughuli ya kumuingizia kipato. 4. Awe na shape/figure. 5. Asiwe na mtoto. Age (25-32) Mimi nina miaka 33, nina kazi yangu nzuri tu ya kukutimizia...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina uwezo huu

    Mimi ni mdada, mwenye uwezo wa kazi za receptionist, secretary, office attendant, Assistant administrator, Matron na pia ata storekeeper na hata mikoani naweza relocate Msaada
  7. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba/Mke

    Mimi ni mwanaume wa miaka 38, ninatafuta mke wangu/mwenza wangu wa maisha. Muonekano wangu. Urefu- Mrefu Kiasi cm 173 Rangi- Mweusi. -Sio mnene wa sio mwembamba (umbo la kawaida) Elimu yangu- degree 2 Kazi- Mtumishi (Taasis ya Serikali) Sifa za ninae Mtafuta. Rangi- Yoyote. Miaka - Kuanzia 25...
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha fani ya uhazili

    Naitwa Andrew Timothy natafuta nafasi ya kazi ya kufundisha fani ya Secretarial. Nina uzoefu wa miaka miwili katika ufundishaji katika masomo ya Shorthand, Hatimkato, Secretarial Duties, Office practice, Typing Lakin pia Enterpreneurship Education and training..! Niko DSM Email...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote

    Ndugu zangu Mimi ni kijana wa miaka 20 naomba kama kuna mtu ana kazi yoyote anisaidie ili niweze kuwatunza mama angu na wadogo zangu. Tafadhali kama ukiguswa na una moyo naomba unisaidie Mungu atakulipa tunateseka sana.
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ualimu wa shule binafsi kwa masomo ya Physics na Mathematics kwa ngazi ya O-level

    Habari zenu wa ndugu, Mimi ni kijana wa miaka 29 nina degree ya ICT na pia nina advance diploma in education na nina uzoefu wa kufundisha kwa miaka minne sasa kwenye shule fulani ya serikali hapa dar kwa mkataba wa kujitolea na malipo madogo ya posho. Nina ujuzi wa kutosha wa kuwapa watoto...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta mkulima wa bamia Arusha

    Habari wakuu. Natafuta mkulima wa bamia Arusha. Nahitaji debe/ndoo angalau 40 za bamia iliyo tayari. Mawasiliano 0656388678
  12. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi KAHAMA

    Ndugu zangu nipo Kahama hapa mambo yameniendea ovyo kabisa. Nimepoteza mtaji wote katika biashara za kimachinga sina hata nauli ya kurudi Mbeya nilipotoka kuja hapa KAHAMA. Natafuta kazi yoyote ya halali hapa KAHAMA, niifanye kwa miezi miwili hii, mpaka mwezi wa pili ili angalau nipate nauli...
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Arusha

    Nijikite kwenye mada moja kwa moja, natafuta kiwanja cha kujenga nyumba, maeneo ya Arusha isipokuwa nje ya mji kidogo, eneo la wastani tu kama 20x25… bajeti ni milioni tatu 3,000,000/-. Kiwanja kisiwe mbali sana kutoka barabarani, Nyakati hizi za mvua ndio pendekezwa kujionea hali ya kiwanja...
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta shule za Advance zenye mchepuo wa PCM, PGM

    Msaada wana Jf ,nahitaji kupata shule za advance zenye mchepuo wa PCM na PGM za private na za serikali zinazofanya vizuri
  15. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba aje kuwa mke

    Mimi ni mwnanaume umri miaka 35, sina mtoto na sijawahi kuoa, kabila mchaga, dini mkristo, sina ajira kwa sasa ila nafanya vibarua. Natafuta rafiki wa kike ambaye tukielewana tuje kuwa mke na mume. Awe na umri 28-33, asiwe na mtoto zaidi ya mmoja, awe mkristo, awe anajishughulisha, awe na...
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi au kibarua

    Naitwa Mudi mkazi wa Mbagala umri mika 30. Natafuta kazi au kibarua cha kufanya popote ndani au nje ya Dar kikubwa iwe ya uhakika na pia nimesomea Ualimu wa Masomo ya Sanaa Geography na History Niko tayari kwakazi yoyote itakayopatikana iwe ni kiwandani au kampun au shule Namba yangu ni 0693206150
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya Internship au ajira. Nimesoma Automobile Engineering

    Habari wakuu, Naitwa nurman nimemaliza Automobile engineering chuo Cha taifa Cha usafirishaji nit naweza. Motor vehicle services wheel alignment...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta Walimu wa hisabati kupitia mtandao wa zoom

    Natafuta walimu wa hisabati kupitia mtandao wa zoom. Wanaoweza kufundisha kuanzia kidato cha kwanza na zaidi
  19. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira, nina ujuzi wa computer, English, counseling

    Umri 35+ Ujuzi: computer, English, counseling. Uzoefu: kufundisha basic certificate course, Patron shule ya sekondari, kufundisha Kiingereza. Kazi ninayoomba: yoyote inayoendana na hizo, iwe ofisini, shuleni au kiwandani. Makazi: Dar
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya winga kwenye duka lako la simu

    Natafuta kuwa winga wa simu mpya, kama unamiliki duka la kuuza simu mpya aina zote naomba kazi dukani kwako. Sitaki uniajiri, ila utaniuzia simu kwa bei ya jumla ili na mimi nipate chochote. Mimi nitapambana kutafuta wateja ninakojua mimi. Simu zako ziwe bei kitonga kweli ili zitoke haraka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…