natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Basi Nenda

    JamiiForums Tanzania Natafuta vitabu hivi

    Habari, Ninaomba mtu mwenye hivi vitabu aweke hapa kwenye uzi huu. Nitashukuru sana. NB Nilishapost sana kwenye zile threads za vitabu lakini watu hawaoni hivo sikufanikiwa kuvipata ndio kusudi la kufungua uzi huu. Majina kwa kingereza 1. Thus the bell rings kaandika Honore ngbanda 2. Inside...
  2. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya halali yenye kukidhi mahitaji

    Nichukue nafasi hii kuomba nafasi yoyote ya kazi Kwa mtu ambaye yupo tayari kunisaidia kwa hili namba zangu ni 0676917970 Cheti Cha form 4, 6 na Chuo kikuu ninavyo N:B Kazi yoyote Ile nipo tayari
  3. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi simu tushirikiane kwa makubaliano, eneo lipo vizuri

    Natafuta fundi simu tufanye kazi, sehemu ya biashara ipo hapa maeneo ya survey opposite na Mlimani city, makubaliano na mambo mengine tutazungumza tukionana. PM kwa information zaidi
  4. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana wa operation mwenye uzoefu wa kazi za usafirishaji

    Habari tena wadau. Natafuta kijana mkazi wa Dar es Salaam, kazi yake itakua ni kutafuta tenda ya kubeba mizigo kwenye makampuni na viwandani kwa kutumia malori. Elimu kuanzia certificate, mwenye uzoefu katika usafirishaji.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume, nina umri wa miaka 25

    Ninahitaji mtu ambaye Mungu akijalia ataweza kuwa mume wangu.. Kuhusu Mimi; nina umri wa miaka 25 naishi Dar ni mjasiriamali sina mtoto/watoto Elimu ni certificate. Anayehitajika ni mtu ambaye kutokana na kuwasiliana tukaendana mtazamo, na nia ikawa moja .
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba Mwanamke

    Nipo mbele yenu natafuta mwanamke ambaye yupo single ili tuweze kuwa wapenzi na hapo badae nimuoe nimechoka kuwa bachelor kwa muda mrefu nipo serious kwa mwanamke au mdada ambaye yupo tayari PM ipo wazi.
  7. stan john

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba mwanamke

    Habari Wana jamii forum Mimi ni kijana umri miaka 27, ni mfanyabiashara na Nina degree ya chemistry Natafuta mwanamke wa kuoa , Naishi mabibo Umri wa mwanamke usizidi miaka 22
  8. stan john

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Domo zege natafuta mchumba wa kike

    Habari Wana jamii forum, Mimi ni kijana na mfanyabiashara ,na ni Domo zege naomba mnipe mbinu ili niweze kutongoza mwanamke ,nipate mpenzi Kuwa Domo zege kunanisumbua Sana sijui kutongoza nasindwa kupata hata mchumba
  9. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Kigamboni

    Habari Zenu. Natafuta kiwanja kigamboni maeneo ya Geza au Kisarawe ii. Buget inaanzia mil 10. sharti kiwe na hati ya wizara. Mwenye nacho anichek pm
  10. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba na sebule maeneo ya upanga. Ofa laki mbili kwa mwezi

    Habari wadau. Nimehatika kupata kazi hospital ya muhimbili hivyo nahitaji chumba na sebule maeneo ya upanga ofa yangu ni laki mbili kwa mwezi
  11. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta masoko ya peanut butter

    Habari wanajamvi, nipo katika harakati za kutafuta masoko ya peanut butter natengeneza peanut butter za organic (isiyo na mchanganyiko wowote) ya chumvi na ya asali shida ni masoko napatikana Mbeya kwa namba 0613070778 msaada wa kuniunganisha na wauzaji
  12. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi wa kutengeneza bembea za kisasa kwa michezo ya watoto

    Habari zenu wakuu. Natafuta fundi ambaye anaweza kutengeneza bembea za kisasa Kwa michezo ya watoto. Location. Morogoro mjini
  13. 0

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mazda Biantr

    Habari wakaka na wadada Natafuta gari aina ya Mazda Biante ya mwaka 2008 au hata zaidi. Anayeuza ani PM
  14. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa aliyekuwepo morogoro au mpanda ili niweze kuhama

    Wakuu kama kuna mwanamke hapa mwajiriwa aliyepo morogoro au mpanda nifunge nae ndoa ili niweze kuhama huku niliko wilaya ya pangani mkoa wa Tanga mimi ni muajiriwa sekta ya Afya maana huku niliko nahisi nitakufa masikini kwa kujitakia!Tafadhalini ajitokeze PM iko wazi......
  15. Mkenye Mkuu

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike umri chini ya miaka 22 wa kubadilishana nae mawazo

    Wakuu Hamjambo?
  16. Troubleshooter

    JamiiForums Tanzania Natafuta business partner kampuni ya ICT services

    Habari, mimi nimeanzisha kampuni ya kutoa huduma za ki ICT. Ofisi ya kampuni ipo Dar es Salaam, kuna vifaa vya kazi kama Computer 5, printer 2, ofisi kubwa yenye AC, mashine nyingine kama mashine za Stationery servies pia zipo kama, lamination machine, binder, paper cutter nk. ipo miradi kadhaa...
  17. flamini

    JamiiForums Tanzania Natafuta msusi wa braids aina mbalimbali Zanzibar stonetown

    Wanamitindo kwema? Kuna mgeni wangu anakuja soon na atataka kusuka braid Zanzibar. Kuna msusi wa braid au unamjua msusi Zanzibar?
  18. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Urgent! Natafuta chuo Marekani kisichoomba IELTS/ TEOFL nikasome masters

    Wadau natafuta chuo Marekani ambacho hawahitaji test ya IELTS au TEOFL. Dogo kasoma bongo huo mtihani unasumbua ila ada ipo na application fee ipo. Wasalaam!
  19. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yeyote ya halali

    Mimi ni mwanaume wa miaka 28 , nina mke na mtoto mmoja ninaujuzi wa hotel management pia naweza kuendesha gari (sijasomea). Mwanzo nilikuwa na biashara ya M- pesa lakini nikadhurumiwa na matapeli, nikapata kazi kwenye restaurant ya bungeni mshahara laki 2 kwa mwezi lakini si kazi ya kudumu...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Je unahitaji kujua jinsi ya kufanya Payroll na tax zake?

    Habari wana JF, Mimi ni Mtanzania mwenye elimu ngazi ya Degree ya biashara katika uhasibu. Natafuta kazi ya kuandaa Payroll na tax zake monthly kama Part time kwa gharama nafuu kabisa. Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 8 kwenye sector binafsi.. Napatikana kwa namba 0657940974 Karibuni sana..
Back
Top Bottom