natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kazi ya kufanya usiku tu kuanzia saa 4 usiku hadi saa 12:00

    Husika na kichwa cha habari hapo juu. Jinsia ni Me Mkoa : Dar es salaam. Kazi : yeyote iwe ya kutumia nguvu au akili Niko tayari Mawasiliano kwa sababu za kiusalama nisingependa kuweka hapa ila kwa pm tunaweza kuwasiliana zaidi
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Civic and Moral Education & Social Studies natafuta kazi. Nipo DSM

    Habari, Mimi ni mwalimu ninaefundisha Civic and Moral Education, Social Studies na Kiswahili kwa primary schools. Additionally, naweza kufundisha matumizi ya Computer. Lakini pia ninaweza kufundisha History, Civics na English kwa secondary schools. Elimu yangu ni Digrii ya Elimu (Bachelor of...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta wimbo huu

    Ni wimbo wa alikiba anaimba kwenye kiitikio ' paraapilaa paraapila papaaa papipaap sijui unaitwaje jina lake msaada tafadhali
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi au part time job Arusha

    Habari zenu,heri ya mwaka mpya wapendwa. Mimi ni mdada mwenye degree ya accounting na nina uzoefu kwa zaidi ya 5 years.Niko vizuri sana kwenye tax compliance zote za TRA na za serikali kama NSSF,WCF, Service levy,etc. Pamoja na hayo yote,niko detail oriented na pia nina uzoefu wa accounting...
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta Ajira /kazi nimesomea Fani ya umeme jinsia KE

    Habari wana-JF. Mimi ni binti Kwa sasa makazi yangu yapo Dar es Salaam Natafuta Kazi au ajira katika taasisi au Kampuni zinazojihusisha na maswala ya umeme. Nimesomea Fani ya umeme hadi Level three. (111). Ninauwezo mkubwa wa kufanya shughuli hii Kwa ufanisi mkubwa na ninafundishika pia ...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira yoyote au kibarua

    Nikijina wa miama 26 mkazi wa Arusha nina leseni class D nina uzoefu ila nipo tayari kufanya kazi yoyote sehemu yoyote Mawasiliano 0699249137
  7. JamiiForums Tanzania Kuna jimama la kibrazili nimelipata hapa Paje, natafuta namna ya kulipagawisha. Wamasai mko wapi?

    Na kalaga baho Wazee toka nije paje nimevutiwa sana na maisha ya ubichi boi, imenipa ari na nguvu ya kuongeza siksi paki na kushinda na vibukta bichi. Hapa nina mpango nifuge na rasta kabisa Katika pitapita zangu nikakutana na jimama flani hiv "age go" yqni linakula pensheni za pesa hapa...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Habari za muda huu ndugu zangu, Kwa majina naitwa Leilah binti wa miaka 23 jinsia mwanamke. Lengo la kuandikia ujumbe huu ni kuomba msaada wenu wakubwa. Nina u1hitaji wa ajira yoyote ile nitafanya (am strong enough)nitafanya kwa uamanifu na heshima ya hali ya juu Kuhusu elimu pia nimesoma hadi...
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta Kitanda cha Laki moja Kigoma

    Wana kigoma mjini msije kusema siwapi madili
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta picha za miaka 23 toka Mwenge ukimbizwe

    Sherehe zilifanyika katika uwanja wa mpira wa Sheikh Amri Abeid Arusha mwaka 1987. Mgeni rasmi alikuwa Mwl. Nyerere baadhi ya picha ziliwekwa kwa muda pale kwenye jengo la Azimio la Arusha. Pia kuna watu wa BBC walikuwa wana rekodi FILM (sasa hii sina hakika inaweza patikana wapi) MSAADA...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udreva

    Ni Mtanzania mwenye umri wa miaka 32 nina leseni halali iliyohakikiwa na jeshi la police yenye madaraja B, D, CI,C2 naomba mwenye connection anisaidie. Nina uzoefu wa kuendesha magari madogo na coaster 0765874177
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta location nzuri ya kuweka stationery hapa Dar es Salaam. Naomba ushauri wako

    Wakuu naomba ushauri ni sehemu gani hapa Dar es Salaam naweza kuweka stationery ya kawaida tu sio kubwa na nikapata mzunguko mzuri wa pesa. Ukinishauri nitaenda kutembelea eneo na kupima kutazama najua wataalam wa fursa mpo unaweza ukawa umeona sehemu inayofaa nitashukuru ukinipa ushauri. Kuna...
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta chumba

    habari zenu wakuu nina shida ya chumba cha 25,000 dar es salaam,nipo kwenye changamoto kidogo hivyo siwez kupitia kwa madalali maana gharama zitaongezeka hivyo kwa mwenye kuweza kuniunganisha na mwenye nyumba anaemfaham naomba anisaide,namba yangu ni 0622667749
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta chumba

    habari zenu wakuu nina shida ya chumba cha 25,000 dar es salaam,nipo kwenye changamoto kidogo hivyo siwez kupitia kwa madalali maana gharama zitaongezeka hivyo kwa mwenye kuweza kuniunganisha na mwenye nyumba anaemfaham naomba anisaide,namba yangu ni 0622667749
  15. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke Bikra wa kuoa

    Natafuta mwanamke Bikra wa kuoa nataka mimi ndio niwe wake pekee na sitaki MAKOMBO, nina miaka 25, kazi yangu nimeajiriwa Hospitali kubwa jijini Dar es Salaam to, Namtaka mwenye vigezo vifuatavyo : awe Muslim mweupe 19 to 22 years -asiwe na kazi wala biashara yoyote awe amelelewa kimaadili...
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta wimbo wa UKIMWI ni janga la dunia

    Ulikua ukipigwa kwenye maredio siku ya ukimwi duniani. Sana sana kwenye Rtd sasa TBC. Maneno ya wimbo' Jamani ee Sikilizeni niwaeleze haya, janga la ukimwi halina dawa wala kinga,.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Mwanaume wa miaka 27, natafuta mke wa kuoa

    Mimi ni Mwanaume wa miaka 27 , Dini yangu , ni mkristo. naishi DAR kazi yangu ni muajiliwa elimu yangu ni DIPLOMA. Natafuta mke mwenye SIFA zifuatazo , *awe mkristo *Awe anaishi dar *awe ameajiliwa au anafanya biashara awe na miaka kwanzia 20 adi 26. *ALIYE TAYALI NA MWENYE SIFA HIZO...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Nini Elim ya kidato cha nne nahitaji kazi kwa mwenye kazi
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta vyakula vifuatavyo

    Habari wapendwa, Natumaini mnaendelea vyema. Natafuta vyakula vifuatavyo. Kwa anayefahamu, nishtue PA kuzinunua. Carob powder (mbadala wa cocoa, Hainan cocaine) Spelt wheat/stone ground wheat flour. (Ngano pori ambayo haijachakachuliwa) Pistachios Brazil nuts Chestnuts Macadamia Pine sap...
  20. JamiiForums Tanzania NATAFUTA HR

    Habari za asubuhi Kama kichwa kinavyojieleza nahitaji mfanyakazi HR awe mwanamke na anaishi mkoa wa Lindi. Elimu ni certificate au diploma Mshahara 400,000 Naomba kusisitiza awe mwanamke na anaishi mkoa wa lindi. Wakipatikana zaidi ya mmoja ni lazima wafanyiwe usaili. Update: Nimefanikiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…