natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya ajira au kujitolea

    Habari wakuu, kama tittle yangu inavyo jieleza hapo juu mm ni kijana wa kitanzania, jinsia (me) nimehitimu diploma ya ubora wa maji chuo cha maji Singida mwaka 2025. Nilikuwa natafuta nafasi ya kazi kwenye kiwanda chochote au kwenye mamlaka yoyote ile ya maji hapa mnchini kwani ninauzoefu wa...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike wa mtandaoni

    Mimi NI mwanaume, natafuta rafiki wa kike wa online WA kubadiliahana mawazo, Stori na uzoefu pasipo kuonana wala kukutana.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufanya usafi ~Dar es Salaam

    Habari zenu wakuu, Natafuta kazi ya usafi katika maeneo ya dar es salaam. IKiwa unafahamu taasisi, kampuni au mtu binafsi anayehitaji mtu binafsi anayehitaji mtu wa kuhakikisha mazingira yanakuwa safi na ya kuvutia kila wakati, naomba unifikishie taarifa au unijulishe. Nina uzoefu na uwezo wa...
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta ajira

    Nipo dar es salaam, natafuta ajira/kazi ya kuniingizia kipato, nina uzoefu wa kuisimamia restaurant, barman, office assistant (messenger), cashier hata ya kiwandani.
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta mwalimu wa EXCEL na Word

    Habari zenu, Natafuta mtu mwenye uelewa wa excel vizuri anielekeze. Yaaani from basic to advanced excel. Anitafute kupitia-Hawakage@yahoo.com 0764758284 Nipo DAR kigamboni
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta Grand mark ii

    Habari wakuu,natafuta Grand mark ii iliyo nyooka iwepo Dodoma,bajet yangu ni ml 4
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta mke mwenye nyashi ya kutosha

    Mwenye nyashi njoo dm
  8. JamiiForums Tanzania NATAFUTA MASHINE YA KU GRADE MCHELE

    Kama unafahamu ninapoweza kupata mashine hiyo tafadhali nijulishe, Niko Mwanza, Mawasiliano ni 0656333975
  9. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Samahani wakuu Mimi ni registed medical doctor nipo mtwara natafuta hospital, polyclinic au dispensary au kijiwe chochote Cha afya...pia naweza kufundisha Clinical officer. 0620696357
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike nipo Dar es salaam

    Natafuta rafiki wa kike nipo Dar es salaam,Mimi ni mwanaume wa miaka 28,dini Mkristo, njoo PM kwa maelezo zaidi
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Hey
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike Mimi ni mwanaume

    Natafuta rafiki wa kike Mimi ni mwanaume wa miaka 28, Nina stashahada ya ufundi mitambo, nipo dar es salaam, Mbezi. Tutakuwa tunabadilishana mawazo ya maisha. Namba ya simu pm
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa awe HIV+

    Habari Mimi ni kijana mwenye miaka 30 Sifa zangu: Rangi: Mweusi sio sana Kimo: Mrefu wastani Elimu: Bachelor Degree ya Information Tech Kazi: IT Support (Sekta Binafsi) Mkoa kuzaliwa : Geita Kuishi: Arusha Dini: Mkristo Mwanamke sifa zake 1. Asiwe mfupi sana awe na kimo cha kawaida. 2.Awe...
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta Mteja - Madini ya Quartz MOQ 1 Tonne

    Habari! Kama kichwa cha habari kinavojieleza, natafuta wateja wa madini ya quartz kwa mzigo wa kuanzia tani moja (1 Tonne) Quartz hizi zinapatikana kwa mfumo wa Mapande (hii ni quartz ambayo haina umbo maaalumu yani ni mwamba ambao tunaukuta wote ukiwa kioo kwa kuwa mwamba huu ni mkubwa...
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki mwanamke nipo Dar es salaam

    Natafuta rafiki mwanamke nipo Dar es salaam, Mbezi ,wakupiga nae stori, mambo ya maisha..n.k. jinsia wa kiume, Nina umri wa miaka 28,dini Mkristo ,Mimi ni fundi mitambo. Karibu PM / Inbox nikupe namba
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki mwanamke nipo Dar es salaam

    Natafuta rafiki mwanamke nipo Dar es salaam, Mbezi ,wakupiga nae stori, mambo ya maisha..n.k. jinsia wa kiume, Nina umri wa miaka 28,dini Mkristo ,Mimi ni fundi mitambo. Kwa maelezo zaidi njoo pm
  17. JamiiForums Tanzania Nina stashahada ya Maendeleo ya Jamii. Natafuta ajira halali

    Habari zenu wapendwa, Poleni kwa mihangaiko ya kila siku. Kwa majina naitwa Kusena, mwanaume mwenye umri wa miaka 26, elimu yangu ni stashahada ya Maendeleo ya jamii. Mimi ni mzaliwa wa mkoa wa Pwani, halmashauri ya wilaya ya Chalinze, na kwa sasa ninaishi katika mkoa wa Mbeya. Ndugu zanguni...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Urgent - Natafuta kiwanja Dar

    Hello all, Natafuta kiwanja Dar es Salaam. Malengo yangu ni kujenga nyumba ya vyumba sita vya kukaribisha wageni wa mda mfupi (ex : Airbnb…) Wapi Dar es Salaam naweza pata kiwanja kizuri kwa bei nafuu for my project? Natanguliza shukran wakuu.
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki mwanamke

    Natafuta rafiki mwanamke nina umri wa miaka 28, nipo mkoa wa Dar es salaam - Mbezi, Nina stashahada ya ufundi mitambo, dini Mkristo..... Njoo inbox / PM
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki mwanamke

    Mimi ni mwanaume, Natafuta rafiki mwanamke nina umri wa miaka 28 nipo dar es salaam nina stashahada ya ufundi mitambo, dini Mkristo, nicheki PM kwa namba ya simu nikupe
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…