natafuta mke

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Eva tuanzishe bustani yetu (mke na mume)

    Hello Wana JF, Natafuta mke wa kuoa, umri wangu ni 37, dini mkristu, kazi nimeajiriwa, sina mtoto, situmii kilevi chochote, elimu yangu ni chuo kikuu. Sifa ya Eva ninaye mtaka; ~ Awe na umri 28-35. ~ Elimu siyo kipaumbele changu. ~ Dini yeyote ~ Kabila lolote. ~ Akiwa na mtoto haina shida...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Natafuta mchumba atakaye kuwa mke wangu. 1. Awe ana hofu ya Mungu. 2. Elimu atleast form 6 (hata ukiwa na PhD). 3. Awe na akili za maisha na shughuli ya kumuingizia kipato. 4. Awe na shape/figure. 5. Asiwe na mtoto. Age (25-32) Mimi nina miaka 33, nina kazi yangu nzuri tu ya kukutimizia...
  3. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Nipo hapa uwanja wa fisi manzese natafuta mke

    Mwadila Wakuu nipo hapa uwanja wa fisi hapa manzese kutokea jana usiku saa nne kamili mpaka mida hii nikitafuta mke wa kumuoa hawa machangudoa. Kuna mdau wangu mmoja aliwahi niambia eti machangaduo ukiwaoa wanatulia kwenye ndoa sana kwasababu yeye ameoa changudoa tena amemtoa pale mwananyamala...
  4. marundoo

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Salaam, Natafuta rafiki ambaye ataenda kuwa mke wangu. Nina miaka 34, ni mkazi wa Arusha, awe na miaka kuanzia 25 mpaka 32, Mkristo, kabila lolote. Kwa aliyetayari na mhitaji karibu PM kwa mawasiliano zaidi. Asante.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke...

    Jina: Tumaini Umri; 31 Makazi: Mwanza Dini: Mkristo Kazi: Wizara ya mambo ya ndani. Natafuta mke miaka 25-30 awe Mwanza...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa

    ...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa (Eva ulietoka ubavuni mwangu Bado nakusubiria)

    Habari Wana JF. Naitwa parson, Nina umri wa miaka 35, pombe na sigara situmii, Kazi mjasiriamali (mdogomdogo) mwenye malengo makubwa. Sifa ya mke nimtakaye. Umri kuanzia 30-36 Kabila -lolote Dini- yeyote Rangi -Natural (asiwe wadukani) Elimu- kuanzia kidato Cha nne mpaka chuo kikuu. N:B Eva...
  8. Man from cuba

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa

    Habari zenu wakuu? Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza natafuta mke wa kuoa awe serious na maisha umri miaka 24_30 kabila lolote ili mradi awe mtanzania dini sichagui wala rangi sijui sura mimi sichagui. Najua kuna wanawake wangependa kujua kipato changu mimi kwa sasa nabangaiza...
  9. Kiev

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Hbr Jf, Natafuta binti mrembo wa kuoa, awe na sifa zifuatazo: Awe ameamua kutulia na kuanzisha familia Awe mrembo wa sura Asiwe mlevi Umri usizidi miaka 28 Elimu ya chuo na kuendelea Asiwe na mtoto Sifa zangu: Mkristo Nina umri wa miaka 35 Situmii kilevi chochote Nimeajiriwa, kipato cha...
  10. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Sifa zangu: 1. Hustler 2. Sina nyumba wala gari 3. Mkulima 4. Monogamous 5. Mkristo. 6. Miaka 26 7. Mweusi; urefu futi 5+ 8. Elimu ya kawaida. Sifa za mwanamke ninayemuhitaji: 1. Kabila: mha, msukuma, mngoni 2. Hustler 3. Aasiwe na mtoto/ watoto 4. Dini mkristo 5. Miaka 22-32 6. Mnene...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Fedha na mali nimepata, sasa natafuta mke (mchumba)

    Baada ya kumaliza chuo vipaumbele vyangu vilikuwa ni fedha na mali bahati nzuri nimetafuta na nimezipata kwa sasa nina uwezo wa kutunza familia kwa asilimia mia moja hivyo Napenda kuwatangazia wasichana wenye uhitaji wa kuolewa kwamba natafuta mke naomba tuwasiliane ili tukikubaliana na...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mke / Mchumba ( MUISLAM TU)

    Habari zenu ndugu, Mimi mwanaume wa miaka 33 natafuta mwanamke wa kuoa . Sifa za mwanamke/ mchumba nimtakaye Awe muislam na mwenye hofu ya Mungu Awe na miaka kuanzia 20 na kuendelea hadi miaka 30 iwe mwisho Awe anajitambua Awe na elimu angalau Diploma na kuendelea Mwisho awe tayari kuolewa...
  13. Digital base

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mke wa kuoa aliye siriasi

    Habari ya leo wakuu, Natumia nyote mnaendelea vizuri kabisa Kama nilivo andika katika kichwa Cha habari kuwa natafuta Mke Wa kuoa aliye siriasi na ambaye yuko tayari kuanza mahusiano ya ndoa Mimi ni kijana wa miaka 30 Shughuri yangu mjasiriamali Elimu yangu kidato Cha nne Muonekano wangu...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mwanaume miaka 36 natafuta mke

    Kuhusu Mimi, Miaka 36 Mkristo Mwajiriwa wa serikali Shahada ya uzamili Urefu 175cm, Uzito 66Kg Ninaye mtafuta -Umri 28 mpaka 38 -Dini yoyote lakini awe tayari kuwa mkristo. -Akiwa na mtoto siyo mbaya .
  15. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke mwenye HIV positive

    Ninajitokeza hapa nina nia ya dhati na kweli kutoka moyoni nimejitokeza hapa natafuta mke wa maisha mwenye HIV Positive, siitaji mpenzi naitaji mke! Napatikana Dar es Salaam, nina miaka 52, maji ya kunde, urefu futi tano inchi saba, slim body. Mke ninayemuitaji awe HIV Positive! Awe mweupe...
  16. FourSix

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mke mwenye miaka zaidi ya 30

    Nawasalimu Kwa Jina La Jamhuri Ya Muungano. Nami nitumie Fursa ya Jukwa Hili Kutafuta Nimpendaye, Wasifu Wangu: Elimu Ya Chuo Single Father, Miaka 41 Naishi DSM Mfanyakazi & Biashara Mkristo, KKKT Mfupi Kiasi, Mweusi &Mnene Kiasi. Wasifu Wa Mtarajiwa: Miaka 30 + Kabila Lolote Dini Yoyote...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mke

    SIFA ZANGU Umri 36 Dini: Mkristo Elimu: Shahada ya Uzamili. Ajira: Mwajiliwa wa serikali. Urefu : 172cm SIFA ZA MWANAMKE Umri 30-36 Dini: Yoyote Kabila: Lolote. Elimu: Diploma na kuendelea. Kazi: Yoyote halali. NB: Mimi sina mtoto lakini yeye hata akiwa naye sawa tu.
  18. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Nipo kanda ya kati dodoma Umr 27 yrs ☆kazi: mganga njaa, dei waka kiraka a.k.a multipurpose ☆sina nyumba ☆ sina gari ☆elimu la saba Natafta msichana wa kuoa kuanzia miaka 18 up to 30 Ajue anakuja kupambana wote mpka tutoboe If you're interested, karibu inbox tuyajenge
  19. Digital base

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke mkweli na muwazi anayejua kutunza upendo wa mume

    Habari ya leo wakuu,mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29 Elimu yangu kidato cha nne Umbo la mwili wangu ni mwembamba na mrefu kiasi. Kabila langu Mnyamwezi naishi Dar. Kazi yangu Mjasiriamali/biashara Dini yangu mkristo. Mke nnaye muhitaji awe mweupe/ maji ya kunde Umri kuanzia miaka 23 Awe...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa nne (04) awe na sifa kuu saba (07)

    Habari wana jukwaa. Tayari nina wake watatu (03), wote ni wake wema na wana sifa za msingi kuwa wake bora. Sasa natafuta mke wa nne (04). Huyu namuoa kama sehemu ya kusaidia watu wenye uhitaji maalum kwenye jamii. Muhusika awe na sifa zifuatazo;- 1. Awe mjane (sio aliyepewa talaka), 2. Anaweza...
Back
Top Bottom