natafuta mke

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa

    Natafuta mwanamke aliyetayari kwa marriage si ngono. Sijawahi kuoa ila ninaye mtoto wa kike wa miaka 7. Umri wangu miaka 39. Mbali na tabia njema, pia ninavutiwa na mwanamke maji ya kunde, mrefu wa kawaida, asiwe na asili ya unene maana mi ni mwembamba. Awe mcha Mungu Mkristo wa dhehebu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31. Elimu yangu ni bachelors degree. Ni mwajiriwa na nimejiajiri pia. Dini yangu ni Mkristo. Nahitaji mke mwenye umri wa miaka 20-32. Dini awe mkristo
  3. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Natafuta mke Sifa za muhitaji .Mrefu .Mweusi .Diploma ya afya(mwajiriwa gov) .Mwembamba kiasi .Miaka 32 Naishi Dodoma mjin Sifa anayehitajika .Urefu wa wastan .Maji ya kunde au mweupe .Elimu kuanzia std 7 .miaka 26-30
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kula naye uzee

    Natafuta mke wa kula naye uzee mwenye sifa hizi: Awe na umri miaka35-47, Awe mkiristo, Ambaye hazai Awe tayari kunilea Wasifu wangu: Nina miaka 64 Nina watoto 6 wa mwisho ana miaka5 Mimi ni mgane, Retired since 2020 January Mjasilia Mali na mkulima wa vitunguu mpunga na mfugaji wa kuku na...
  5. UZZIMMA

    JamiiForums Tanzania E Mwenyezi Mungu, natumai mke wangu atatokana na uzi huu. Natafuta mke

    Sasa leo ni zamu yangu kutangaza nia ya dhati ya kutafuta mke kupitia JF. Ninachoamini mke wangu huenda akatokea humu au tukaunganishwa na mke wangu mtarajiwa na mtu anayeishi ndani ya jiji la JF. MIMI. Umri 24 Muislam halisi Diploma ya civil engineering. Maji ya kunde Zanzibar Ninayemuhitaji...
  6. waterproof

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kumuoa ili tusaidiane maisha maana ni magumu peke yangu

    Katika vitabu vya dini mbali mbali na misemo ya mababu zetu inasema ya kwamba 1. Mwanaume bila mke hajakamilika 2. Wenye akili wote wameoa 3. Ndoa ni kipimo cha akili n.k Yapo mengi mno ambayo hata Mimi siyafahamu na wewe waweza kuwa unafahamu mengine. Niingie moja kwa moja kwenye pointi ya...
Back
Top Bottom