natafuta mke

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Griss

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa

    Nipimu mwenye yupo serius !!
  2. Griss

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa

    Kama upo tayari nifate dm
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke seriously awe Dar

    Natafuta mke awe bi mdogo mke wa pili awe Dar. My no 0762405010
  4. Trouserman

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kweli

    ➡ Jina: * ➡ Umri: Miaka 29 ➡ Mahali: Tabora ➡ Hali ya maisha: Uchumi wa kawaida, maisha ya utulivu ➡ Muonekano: Mweupe kiasi, mfupi wa saizi, mwembamba ➡ Mawasiliano: lubeadamas@gmail.com Ninachotafuta Siko hapa kutafuta urafiki wa mazoea au burudani za kimtandao. Niko hapa kwa nia moja...
  5. RUKUKU BOY

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa Ndoa

    Mie sio mtu wa kuandika sana humu. Natafuta mke wa kuoa,now kwangu Mimi ni muda mwafaka wa kuwa na wife. Sina sababu ya ku hide my id , coz Niko serious na hili jambo Sifa zangu. Miaka 30 Elimu: Bachelor Occupation:Employed. Dini: Mkristu Ninayemtaka Awe serious, na ndoa narudia serious...
  6. TIASSA

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa 25-30

    nimehangaika Sana kutafuta mke mtaani ila sipati, nimekuja huku jf kuleta ombi langu natafuta mke awe mkristo miaka 25- 30 asiwe na mtoto awe tayari kupima , awe na upendo wa kweli, mimi na miaka 36 ni mfanya biashara.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa

    Habari Wana JF ,poleni na majukumu ya kila siku ili mkonouinhie kinywani. Samahani kwa wazo langu hili . Natafuta mke wa kuoa Mwenye umri wa miaka 25-40,Dini yeyote,kabila lolote. Sifa zangu Naitwa Florian Mwenye umri wa miaka 38,Naishi tabora,kabila ni mnyamwezi. Nipo serious natafuta mke...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa

    Habari Wana jf ,poleni na majukumu ya kila siku ili mkonouinhie kinywani. Samahani kwa wazo langu hili . Natafuta mke wa kuoa Mwenye umri wa miaka 25-40,Dini yeyote,kabila lolote. Sifa zangu Naitwa Florian Mwenye umri wa miaka 38,Naishi tabora,kabila ni mnyamwezi. Nipo serious natafuta mke...
  9. kuntakinte9320

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Habari wakuu,natafuta mwanamke umri kuanzia 28 mpk 35 asiwe na mtoto maana silei mbegu ya mtu kazi yangu ni daktari(MD)kwenye moja ya hospitali za rufaa hapa Dar alie interested aje inbox.ahsanteni
  10. M

    JamiiForums Tanzania natafuta mke awe mwanza

    nahitaji mwana mke awe mwanza umri 30-42 akiwa na mtoto haina shida ila asizidi 1 .. naishi nyegezi nina miaka 43 na mtoto mmoja ... aliye tayari ani pm tuyajenge
  11. graciasp3

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wakuoa!!(25_27 yrs)

    Habari za mda huu wakubwa kwa wadogo,,,sipend kuzunguka mnoo nataka niende straight to the point,,,,natafuta mwanamke wakuoa umri tyr nshaandika apo juu,,, Awe tayari kuishi mahali popote,awe mpenda maendeleo Sifa ya mke ninaye mtaka. ~ Awe na umri 25_27 ~ Elimu siyo kipaumbele changu. ~...
  12. Malafyale

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke awe na watoto tayari angalau wa 5 au zaidi

    Kichwa cha habari chajieleza. Tafiti zangu za muda mrefu zimeonyesha kuwa uaminifu kwa sasa ni kitu adimu sana kwa wana ndoa. Hivyo basi mm Malafyale muda wa kuoa umefika,natafuta mwananke aliye tayari kuolewa na mm awe na watoto angalau wa 5 au zaidi,na haijalishi hao watoto kazaa na wanaume...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wakuoa mwenye utayari wakuitwa mke

    Habari Jina - Brighton Umri - 39 Urefu - 5.5ft Dini - Mkristo Damu - group o Pombe- sinywi Rangi- maji ya kunde Kazi- Nimejiajiri Naishi- Nyanda za juu kusini Maono/ndoto - nikukua kimaisha Sofa za mwanamke naye mtaka. Umri- 35nakuendelea Kabila - lolote Dini - mkristu Kazi - yeyote...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke wa kuanza nae maisha. Awe na miaka kuanzia 28

    Nahtaji mke wa maisha yangu age 28 nipo na nia kama upo 0652359199 awe mkiristo tuheshimiane Awe uelewa juu ya maisha akiwa na mtoto mmoja siyo mbaya
  15. Kanye2016

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa Pili Umri kuanzia 20-40 (Binti wa Kiislam)

    Habari Wakuu!!! Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo: Awe Muislam. (Awe ana jistiri kama dini inavyohitajika) Umri 20-40 Ajue mapishi Ajue kujiremba na ni msafi. Usiwe na tumbo kubwa. Kama ni single mother (Watoto wasiwe zaidi ya wawili) Awe ni mfanyakazi au mjasiliamali Kama sio mfanyakazi au...
  16. mhuri25

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke awe mwalimu

    Hello Wanabodi mimi ni Kijana nipo tu nafanya ujasiriamali mdogomdogo kiasi sikosi hela ya kulipa Pango na Kula Napenda kutafuta Mke awe Mwalimu wa Daraja lolote lile asizidi miaka 25, asiwe mweusi, wala mnene sana, Mkristo itakuwa vizuri hata akiwa Dini nyingine sawa ila akubali kuolewa na...
  17. fh kwenye beat

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa

    Natafuta mwanamke aliye serious kuolewa mwaka huu Niko na miaka 30 Mkristo Aliye tayari tuwasiliane
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa kabisa

    Sifa zangu: Umri wangu ni kijana Ni mwajiriwa na mfanyabiashara Kigezo cha mwanamke Awe na kitu cha kuofa kwangu mbali na kunivulia nguo ya ndani
  19. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa pili

    Nahitaji kuoa mke wa pili awe na sifa zifuatazo:- Dini yoyote ila watoto wangu watakuwa wakristo Umri kati ya miaka 25 hadi 35 Awe mwajiriwa. Awe tayari kuwa mke. Akiwa na mtoto mmoja tayari hakuna shida. Asiwe mgomvi wala mchokozi wala kupenda ugomvi. Asiwe mtu wa kuchukua mikopo pasipo...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mke

    Natafuta mke , Naitwa jose nina miaka 27 natafuta mke mweny miaka kuanzia 20-25
Back
Top Bottom