natafuta mke

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Natafuta mke mtu mzima mwenye utayari wa kuolewa

    Good morning every one! Niende kwenye mada moja kwa moja. Dear Wana JF napenda kuwatangazia kwamba natafuta mke mtu mzima mwenye utayari wa kuolewa. My personal details. Jina : Langliguara Jinsia : male Kazi : Mfanyabiashara Elimu : MA Dini : Christian Umri : 38 Ninapoishi : Tanzania Kabila...
  2. Fauya

    Natafuta mpenzi kwa waliopo kigoma

    Habari za mida wapendwa, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 nipo Kigoma mjini natafuta Binti wa umri kati ya 22-25 ambaye badae tukikubalia nitamuoa
  3. E

    Natafuta mke bikra

    Habari za majukumu ndugu zangu wote! Nategemea kuoa mwakani Mungu akijaalia, kutokana na expirence ya mahusiano ya sasa na maisha kwa ujumla Mimi binafsi nimetamani kutaka kuoa mwanamke ambaye ni BIKRA. Nina sababu zangu nyingi saana, awe na age yoyote japo najua Bikra wengi watakuwa range ya...
  4. M

    Natafuta mke wakuoa

    Habari. Umri wangu ni miaka37 natafuta mwanamke wakuoa. Kazi nimejiajiri. Mwanamke ni mtakaye. Awe na umri kuanzia 28 nakuendelea. Awe tayari kuishi popote,Asiwe mrefu Sana,,mwenye upendo wakweli,Dini yeyote. Karibu sana iwapo upo serious tu maana muda ukuta.
  5. steve_shemej

    Ntafuta mke mwema asizidi miaka 33

    Ok
  6. K

    Natafuta mke

    Kama kisemavyo kichwa cha habari natafuta mke awe na sifa zifuatazo Awe na umri miaka 25 mpaka 28 Awe mkristo ila sio msabato Elimu-degree yeyote Akubali kwenda kupima group la damu, hivi na baada ya miezi mitatu tutapima tena hiv bila ya kukutana kimwili Awe anaishi Dar sababu mimi mwenyewe...
  7. A

    Natafuta mke hasa mtu mzima wa kuoa ambae yupo serious

    Jmn natafuta mke
  8. Neverregular

    Natafuta MKE mwenye CPA(T), Doctor of Medicine au HR😎

    Mimi ni kijana wa Umri 25 Yrs Nipo Dar es Salaam Natafuta Mke wa kuoa. Vigezo: ●Awe na CPA(T)au awe Doctor of Medicine(MD) au awe HR🍌 ○Umri 24-48😎 ●Awe na sexy Chocolate (colour)🥵 ○If she's above 30's basi liwe li-shangazi fulani hivi jeupe jeupe!💃 ●lazima awe na Bubbly Ass🍑 ○ kuhusu...
  9. P

    Natafuta mke

    Habari za wakati mabibi na mabwana!! Mimi ni kijana umri wa miaka 30 ,kwa moyo wa dhati na udhubutu naomba kuwafahamisha rasmi kuwa maisha ya ubachela yamenifikia kikomo nahitaji mchumba vigezo, Umri kuanzia 23-25 Elimu, kuanzia kidato Cha nne Hadi diploma Kazi -...
  10. hkaka 990

    Natafuta Mchumba

    Mimi ni kijana wa umri miaka 28 mkazi wa Dar es salaam natafuta mchumba ambae ntafunga nae ndoa
  11. Genius Man

    Natafuta mke au mchumba

    Tafadhali naomba nijielezee kwanza: Jina langu naitwa mosses, dini yangu mkristo, mwili wangu wa kawaida wa kimazoezi na nina six pack, urefu wangu kawaida, rangi yangu maji ya kunde, uvaaji wangu smart, sivuti sigara wala sinywi pombe, sina mtoto wala sijawai kuowa, ninaishi dar es salaam...
  12. old mkiva

    Natafuta mke wa kuoa

    Ndugu zangu natafuta mke wakuoa sifa awe muislam elim yoyote awe mikoa jiran na arusha.umri kuanzia 21 mpaka 30.mim sifa zangu ni muislam umri 33 ninaish arusha nimejiajiri.aliyetayar karibu pm
  13. W

    Natafuta mke mkristo miaka 30-41

    Natafuta mke mkristo, umri rejea kichwa cha habari hapo juu. Awe ameajiriwa au kujiajiri. Mcha Mungu anayeamini katika maisha ya upendo baina ya mke na mume. Mimi nina Elimu ya chuo kikuu na ni muajiliwa na ni mtu mwenye hofu ya Mungu. Mengine tutayajenga inbox.
  14. J

    Natafuta mke

    Nahitaji Mke aliye serious kuolewa. Mimi nina miaka 36 Mkiristo. Nahitaji mwanamke mwenye akili ya maisha sana, asiwe na Kiburi, mke muunganisha familia yani ajue kwamba mimi sipo peke yangu nyumbani kwetu, kuna ndugu zangu wengine ambao itabidi angalau mawasiliano mazuri yawepo, nimebaki na...
  15. M

    Natafuta mke wa kuishi naye sibagui sichagui

    Wasalam, Habari hum,natafuta mke wakuishi naye sichagui sibagui yoyote sawa kigezo:uwe umeajiliwa(mimi bado nasoma) umri:wowote(mimi 22) Ntakupenda na kukulinda kama mboni ya jicho langu mwaaah!
  16. john issa

    Natafuta mke, uwe tayari kuwa mke muda wowote

    Sifa za mke: 1. Awe muslim 2. Umri chini ya miaka 30 3. Mweupe na urefu wa katikat 4. Umbo la kuvutia 5. Awe tayari kuwa msimamizi wa biashara za familia na sio zake binafsi 6. Asiwe mkali na hasira hasira 7. Awe tayari kupima afya 8. Awe msikivu kwa mmewe, na kauli yangu ndo mwisho 9. Awe...
  17. Z

    Natafuta mke. Nipo mwanza

    Nna miaka 33 natafuta mke awe miaka 24 mpaka 28. Angalau awe na elimu ya form fourna kuendelea. Dini mkristo. 0759123551
  18. muwanjiKT

    Natafuta mke nipo Mbeya

    Nahitaji mke nimuoe asizidi miaka 27 na akubali kucheck afya. Mimi sasa Umri wangu: 27 Kazi : Nimejiajiri Elimu: degree Mkoa: Mbeya Nyumba: Ninayo sijapanga ila ni pagale haijakamilika. Urefu: futi 5.5 Uzito: 60kg
  19. C

    Natafuta mke hata mwenye mtoto

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 1. Ni msomi ngazi ya Bachelor Degree 2. Kazi yangu ni usafirishaji wa mizigo. 2.Dini ni mkristu. SIFA ZA MWANAMKE NINAYE TAFUTA 1. Awe tayari kuolewa. 2. Hata akiwa na mtoto ni sawa. 3. Awe dini yeyote. 4. Awe hajawahi kwenda jela au asiwe na jinai. Aliye...
  20. Mapensho star

    Natafuta mke wa kuoa

    Miaka yangu ni 28 Naishi mkoa wa Iringa Kazi yangu kwa sasa ni machinga Natafuta mke wa kuoa Miaka 22-25 Asiwe na mtoto Awe muwazi na mkweli Mwenye kuheshimu kila mtu Elimu yoyote Awe na nia ya kweli kuanza maisha na mimi
Back
Top Bottom