Natafuta kazi ya Udereva. Nina experience nzuri ya kufanya kazi na makampuni makubwa

Irshad Kusaka

Member
Mar 16, 2020
9
8
Naitwa Irshadi Kusaka mimi ni mkazi wa Dar es Salaam. Natafuta kazi ya udereva kufanya kwenye kampuni yoyote au mtu binafsi. Nimefanya kazi hii na kampuni ya group six, emirates na nyengine nyingi.
Kwa kirefu zaidi nime elezea kupitia CV yangu ipo hapo chini kwenye link

Irshad Kusaka - Luis Guide

Namba zangu za simu ni 0717871877 na 0764 686 194
 
Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi katika kupata kwako kazi,ila nakushauri kama ungeweza ugejaribu na kupeleka cv zako katika makampuni yale ya malori ama leseni yako hairuhusu kuendesha malori
 
Asante nashkuru kwa ushauri. Kwenye kutafuta tunatafuta kote kote patakapo wezekana itakua heri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom