Natafuta kazi yoyote iliyo halali.

Jcd1

New Member
Mar 23, 2020
1
1
Nina elimu katika shahada ya kwanza katika uhandisi kilimo ( bsc Agricultural engineering/Agro-mechanical).

Natafuta kazi yoyote iliyo halali inayohusiana na hii fani yangu ama kazi yoyote inayofundishika.
Mfano katika haya maeneo ninauwezo nayo.
-Water supply.
-Environmental impact assessment (EIA).
- Agricultural machines management.
etc


Nina uzoefu wa mwaka 1 katika Kuinstall na kusimamia mifumo ya umwagiliaji .
Naweza kutumia AutoCAD, Archcad

Nipo tayari kufanya kazi sehem yoyote hapa nchini.

Natanguliza shukurani.
 
Dah nakumbuka 2015 namaliza form six nikachaguliwa hiyo kozi pale udsm sikwenda,nikaenda tcu nikabadilisha nikaenda soma computer engineering,hata sijakaa sana mtaani nimemaliza tu chuo mwezi wa saba mwezi wa nipo kwenye ajira...


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom