nasa

The National Aeronautics and Space Administration (NASA; ) is an independent agency of the U.S. federal government responsible for the civilian space program, as well as aeronautics and space research.NASA was established in 1958, succeeding the National Advisory Committee for Aeronautics (NACA). The new agency was to have a distinctly civilian orientation, encouraging peaceful applications in space science. Since its establishment, most US space exploration efforts have been led by NASA, including the Apollo Moon landing missions, the Skylab space station, and later the Space Shuttle. NASA is supporting the International Space Station and is overseeing the development of the Orion spacecraft, the Space Launch System, and Commercial Crew vehicles. The agency is also responsible for the Launch Services Program, which provides oversight of launch operations and countdown management for uncrewed NASA launches.
NASA science is focused on better understanding Earth through the Earth Observing System; advancing heliophysics through the efforts of the Science Mission Directorate's Heliophysics Research Program; exploring bodies throughout the Solar System with advanced robotic spacecraft such as New Horizons; and researching astrophysics topics, such as the Big Bang, through the Great Observatories and associated programs.

View More On Wikipedia.org
  1. Parker Solar Probe: Satelite ya NASA yenye speed kali kuliko kitu chochote kuwahi tengenezwa na binadamu!

    Hawa jamaa tuwape maua yao kwenye R&D! Mwaka 2018 NASA waliituma hii satelite kwenda kwenye space kufanya uchunguzi wa Solar corona (tuseme kama atmosphere kulizunguka jua, wataalamu wa Heliophysics hapa watasaidia)! Kwahiyo hadi leo imekaa huko kwa zaidi ya miaka 7 ipo huko space, ikiwa...
  2. Musk amtolea povu waziri wa uchukuzi US kufuatia mpango wa serikali ya Trump kui-DOGE na kuindoa NASA kuwa shirika huru

    Elon Musk amewatolea povu waziri wa uchukuzi wa Marekani Sean Duffy na serikali ya Trump kufuatia mpango kutaka kuiweka NASA chini ya waziri wa uchukuzi au kama mojawapo ya wizara tofauti na ilivyo sasa kama shirika huru linalojitegemea. Waziri huyo wa uchukuzi amesema pia SpaceX inafanya kazi...
  3. NASA wagundua viashiria vya Uhai huko sayari ya Mars

  4. Wanachofanya NASA ni jambo la kijinga sana na linatakiwa kupingwa kwa nguvu zote

    Ni ukweli usiopingika NASA wamefanya mambo mengi sana mazuri ila hili la kutaka kutengeneza mazingira ya MARS hapa duniani na kuwaweka astronauts ili wazoee mazingira yake kwa lengo la kuja-kuwapeleka MARS naamini ni moja ya jambo la kijinga sana na kutaka kutumia shortcut kwenye mambo ambayo...
  5. NASA waliwahi kuwa na Kituo Cha Anga za Juu Zanzibar. Kilifungwa baada ya Mapinduzi ya ASP

    My Take Kwamba Utawala ulioshika Dola baada ya Mapinduzi uliomba kufunga Kituo Cha kiteknolojia na muhimu kama hicho ila wakaona wajenge misikiti. ================ Chini ya majengo ya bati yaliyotutumka katika eneo la Tunguu na mashamba ya sasa ya Chwaka, kunazikwa sura iliyosahaulika lakini...
  6. Operation high jump,nikola tesla ,cern na nasa

    Nimefuta content ipo kwenye makala UFUNUO MKUBWA DUNIANI.
  7. Wakuu, kama upo maeneo ya mwanangi au nasa ginnery tafadhali naomba unishtue. Kuna ndugu yangu nataka nikuulizie maana ni miezi sasa hayupo hewani.

    Ni vizuri zaidi kama ukiwa boda boda kama sio bado pia itakuwa fresh . Karibu
  8. NASA says Magnetic Storm has reached level G-5 and at this level there can be power grid collapse

    NASA says Magnetic Storm has reached level G-5 and at this level there can be power grid collapse MAY 10, 2024 NASA says Earth is presently being impacted by the first two, of SIX coronal mass ejections from the sun and the energy is causing a massive Geo-Magnetic storm around our planet...
  9. Indian-origin astronaut Captain Sunita Williams and her fellow veteran NASA astronaut Butch Wilmore are set to fly into the ISS on the brand new space

    Washington, May 6 Indian-origin astronaut Captain Sunita Williams and her fellow veteran NASA astronaut Butch Wilmore are set to fly into the International Space Station (ISS) on a brand new spacecraft, the Boeing Starliner on Monday. The duo will launch into space from the Cape Canaveral...
  10. Mimi ni Mhandisi wa Mawasiliano NASA, uliza swali lolote utajibiwa

    Habari wakuu Leo nipo free uliza swali lolote la mawasiliano... nina uzoefu wa miaka mitano katika mawasiliano hapa NASA. shukrani
  11. K

    DOKEZO Mwenyekiti wa UVCCM Kata ya Bwilingu (Chalinze-round about) Ndugu Abdul Nasa anatumia vibaya cheo cha baba yake

    Mwenyekiti wa Vijana CCM (UVCCM), Kata ya Bwilingu (Chalinze-round about) Ndugu Abdul Nasa ameendelea kukitumia vibaya cheo cha baba yake (Diwani Kata ya Bwilingu Jimbo la Chalinze). Inadaiwa alifanya jaribio la kujeruhi na kushindwa kuchukuliwa hatua yoyote ya kinidhamu ndani ya chama kutokana...
  12. P

    Mimba imenasa?

    Habari zenu? Nimevurugwa Niliingia period tarehe 26 mwezi wa kwanza nikasex tarehe 7 mwezi wa pili na akamwagia ndani jamani sielewi imo au haimo?
  13. NASA watengeneza ndege yenye Kasi kuliko Concorde

    Shirika la sayansi za anga za juu la Marekani yaani NASA, limefanikiwa kutengeneza ndege itakayo safiri kwa Kasi kubwa kuliko ya Ile ndege ya zamani iliyostaafishwa yaani Concorde. Ndege hiyo mpya hiyo hapo pichani inaitwa x-59 inauwezo wa kusafiri kutoka Jiji la New York mpaka Jiji la London...
  14. Ujue ukweli kuhusu NASA

    Heshima kwenu wote humu ndani. Leo napenda kushare na ninyi hii siri. Je wajua kua NASA, ni taasisi ya siri ya kijeshi ya jeshi la Marekani, ambayo serikali ya Marekani ime-invest millions of dollars ili kufanya majaribio ya makombora ya masafa ya mbali yaani ICBM, Inter Continental Balistic...
  15. Kuna uhusiano mkubwa kati ya NASA na Illuminati

    Habarini wanajamvi Katika pitapita zangu humu katika msitu wa maneno na majadiliano, nami ningependa wafikirisha jambo. Wakati wote, tunaangazia safari nyingine ya NASA, nikakutana na andiko la kibepari (kiingereza) kuwa kuna uhusiano kati ya kishetwani, sisi wajuzi kuliko wao tunaita...
  16. Orion spacecraft ya shirika la sayansi ya anga NASA imefanikiwa kufika mwezini

    picha hii ni halisi imepigwa ndani ya lisaa limoja lililopita na chombo cha Orion spacecraft kilicho ruka na rocket ya mwezini kwenye mission ya Artemis I 🛰 kumbuka shirika la anga za mbali NASA, wanampango wa kumrudisha binadamu kwa mara ya pili kwenda kuishi kwenye mwezi baada ya kupita...
  17. T

    NASA yafanikiwa kuikoa Dunia kuangikiwa na Kimondo(Asteroids)

    NASA(National Aeronautics and Space Administration) imefanikiwa katika jaribio la kungonganisha sattelite ya DART(Double Asteroid Redirection Test) ikiwa katika mwendokasi wa mita 14,000 kwa saa, na kimondo cha Didymos(Dimorphus) chenye ukubwa wa eneo la mita 160 , na kuweza kukiyumbisha na...
  18. Nasa Artemis 1: Majaribio kuanza muda mchache ujao

    MAJARIBIO YA ROCKET YA MWEZINI YATAANZA MUDA MCHACHE Muda mchache kuanzia sasa Majaribio ya urushwaji wa rocket itakayotumika katika safari mbalimbali za mwezini na anga za mbali kwa ujumla utafanywa ambapo tutashuhudia rocket ya Space Launch System ikielekea katika safari yake ya masiku kadhaa...
  19. NASA mbona haieleweki kuhusu kupeleka watu mwezini?

    Miaka karibu 50 tangu kile kilichoelezwa kusitishwa kwa safari za kwenda mwezini mwaka 1972,sasa kituo cha anga cha NASA kimesema kinataraji kurejea safari hizo hivi punde. Hapo Jumatatu chombo kinachotajwa kuwa na nguvu kubwa kiitwacho Artemis kitafanya safari za majaribio kwenda karibu na...
  20. Nasa artemis 1: Kesho kuanza safari ya kuelekea katika mwezi

    ROCKET YA MWEZINI KURUSHWA SIKU YA KESHO 29 AUGUST Shirika la uchunguzi na tafiti zinazohusu anga za juu kwa ujumla NASA kufanya majaribio ya rocket itakayoweza kutumika katika safari za kuwapeleka wanaanga na vifaa mwezini katika masiku yajayo kwenye mission mbalimbali za kwenda kwenye gimba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…