nape

  1. Mkalukungone Mwamba

    Nape: Vyombo vya Dola visipojali UTU, CCM itang'oka!

    Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye ametahadharisha kuwa bila kusimamia utu, Chama cha Mapinduzi (CCM) inaweza kuondoka madarakani hivyo akaonya wanachama ndani ya chama hicho wasione aibu kusimamia utu. Nape aliyewahi kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa...
  2. Siri yangu

    Nape anahusika vipi na Matukio ya Oktoba 29 hadi Tume kukutana naye? Au aliandamana pia?

    TUME ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Januari 27, 2026, imekutana na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye. Mkutano huo wa Tume na Nape umefanyika katika Ukumbi wa Tanganyika uliopo katika ofisi za Benki Kuu ya...
  3. Fbn

    Kuna ujumbe toka kwa Bwana Nape nauye

    Naelewa kuna kikosi kazi cha abdul ambacho kinasubiri taarifa kisha kufikisha kwa mama yake. Siwapi hii code na mnaofahamu hakuna kueleza.
  4. M

    Ummy Mwalimu, Nape Nnauye - hawana uzoefu wa kuwa Mawaziri?

    Wanajisikiaje kuwa sehemu ya Bunge hili. Yaani, ningekuwa ninyi ningefanya maamuzi mazito. Kaka Nape, hahahaha! Pole mwanangu
  5. W

    GE2025 Nape: Watanzania msinunue ugomvi wa kisiasa

    Mgombea ubunge wa jimbo la Mtama Nape Moses Nnauye amewaasa watanzania kutokushawishika na kununa ugomvi wa kisiasa kwani ni hatari kwa maslahi ya nchi Nape Nnauye ameyasema hayo katika program yake maalumu aliyoianzisha ya kupita kijiwe hadi kijiwe na kuongea na wananchi wa marika mbalimbali...
  6. Inside10

    GE2025 Nape: Katiba iache tusubiri tumalize Uchaguzi, Wanaosusa waache wasusue

    “Nikamwambia Rais, haya yanayohitaji Katiba, tufanye uchaguzi kwanza tukimaliza uchaguzi tutayashughulikia… na hii ilikua busara na mimi naipongeza sana zile kamati, kwa sababu taifa lilikuwa kwenye mchakato wa uchaguzi. Katiba haitungwi kuwa ni Katiba ya Uchaguzi inatungwa kuwa ni Katiba ya...
  7. S

    GE2025 Kihongosi jiandae kupita kwenye tanuru la mateso kama watangulizi wako, Nape na Polepole), baada ya zama za wahuni kupita

    Nape alidondosha michozi baada ya kujikuta akinyimwa uhuru kwa bastola wa kuongea na watanzania pale Ubungo Plaza. Akaurejesha uhuru huo kwa msoto wa kutembea kwa miguu kutoka geti nje kabisa la ikulu mpk kufika ndani ya ikulu, ambako ilimpasa kumpigia magoti jiwe. Hivi sasa ni zamu ya Polepole...
  8. Sifi Leo

    Siasa bhana, Nape anachonga vonyago na simanzi moyoni, nimeambiwa January Makamba akafungua Madrassa

    Kuna picha inamwonesha mwanasiasa Nape Nauye aliyemwita mwendazake mshamba, akamla kichwa, Leo anachonga vinyagooo. Leo hii NASIKIA Makamba amefungua Madrassa je nikweli? WALIOKUWA makampeni mastamind Leo hii wako benchi.
  9. Zanzibar-ASP

    Baada ya Pole Pole kutubu (alivyoratibu CCM kuiba kura kimfumo), ipo siku January Makamba, Nape au Kinana nao watakuja kutubu

    Mungu sio Athumani, na wala Mungu hadhihakiwi, ipo siku mbichi na mbivu za michezo michafu ya wizi wa kura inahusishwa kufanywa na January Makamba, Nape Nnauye na Kinana itawekwa wazi na wao wenyewe huku wakitubu kwa machozi. Nipo paleeee!
  10. Fanfa

    Polepole na Nape ni wajasiri, wamegoma kufa na siri moyoni, ndio maana wanasema ukweli

    Polepole leo kawa jasiri kwa kukataa kufa na siri moyoni. Kaamua kupasua jipu hadharani na wala siyo wodini. Nape alishakataa kufa na siri moyoni siku nyingi. Alianza na kudokeza Goli la mkono hamkumwelewa. Akarudi tena kuwa kuna kura halali na haramu ila haramu ndo zinaleta ushindi, ukiupata...
  11. K

    GE2025 Nape aongoza kwa kishindo Mtama

    Hatimaye Nape kawasha Moto huko Mtama katika kata 19 kati ya 20 matokeo ni haya 1. Nape kura 3,160 2. Nahonyo kura 1,545 3. Chilumba 824 4. Jemadari Saidi 358
  12. U

    Acheni Uongo Jimbo la. Mtama Lindi Nape Nnauye ameshinda Kwa kura 3160

    Matokeo rasmi Mheshimiwa Nape ndiyo mshindi na. siyo Jemedari Said kama wanavyodai baadhi ya Makada wa mchongo.
  13. Nipe Maji

    SI KWELI PreGE2025 Nape anatuhumiwa kuendesha vikundi vya uhalifu kwa wapinzani wake uchaguzi kura za maoni jimbo la Mtama

  14. M

    Ni ujinga kumkata Makamba na kuwaacha kina Nape, Prof Muhongo. waliolipinga bwawa la umeme hadharani kwa rushwa za wenye gesi

    Msikilize Nape alivyokuwa anapinga wa Tanzania wasipate umeme walale gizani. Sababu wamiliki wa gesi wapige hela za Tanesco kuwauzia gesi izalishe umeme. Maana umeme wa maji hauna faida kwa wapigaji
  15. Yoda

    Ugomvi wa Nape, January, Kinana dhidi ya JPM ulitokana na nini hasa?

    Siasa za nchi hii zinachanganya sana, wote tunakumbuka jinsi hawa mapacha watatu walivyokuwa hawaivi chungu kimoja kabisa na Magufuli mpaka wakanaswa wakiwa wanamsengenya huku wakitengeneza waraka mzito na mpango wa kuutoa kwenye vyombo vya habari kutikisa nchi. Jambo ambalo sijawahi kuelewa...
  16. kyagata

    Hivi January Makamba na Nape wamechukua form za ubunge kweli?

    Hawa watu wawili sijaona wala kusikia kama wametia nia ya kutetea nafasi zao za ubunge kwa kuchukua form. Kuna mwenye kujua lolote?
  17. Now and then

    Kwa jinsi ambavyo Nape na Byabato walivyo kidhalilisha Chama cha Mapinduzi Ccm kuwa wanashinda kwa kuiba kura , nitashangaa kama watarudi Bungeni!.

    Kamati kuu ya Ccm wakati wa kuchuja Majina tafuteni watu sahihi na wenye nidhamu . Mnakumbuka Mh Nape pamoja na Mh Byabato walivyojinasibu kuwa wao hata wakishindwa watangangazwa wameshinda. Kauli hii sio tu inaonesha wazi kuwa Tanzania ni nchi ambayo haina demokrasia . Na kuonesha kuwa...
  18. Kinyungu

    PreGE2025 Kumbukizi: Kabla ya Kwenda Kupiga Kura, Msikilize Nape Nnauye anavyoelezea Hatima ya Matokeo ya Kura yako,..Tafakari, Chukua Hatua!

    Msikilize Nape Nnauye anavyoelezea jinsi wanavyoweza kubadili matoke ya Kura yako uliyopiga bila kujali matokeo halisi ya kura. Nape Nnaye amewahi kuwa Katibu Mwenezi wa CCM. Wakati akitoa kauli hii alikuwa Waziri wa Mawasiliano.
  19. L

    Unafikiri Nape Nnauye amemaanisha nini kwenye ujumbe huu aliouandika?

    Ndugu zangu Watanzania, Sitaki kuandika mengi bali soma Mwenyewe halafu utoe majibu yako. Huu hapa ujumbe wenyewe 👉 Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti. Lucas Hebel Mwashambwa, Mama...
  20. Lord Denning

    Ukisikiliza maneno ya Nape, DC Longido, Polepole na sasa Naibu Waziri Sangu lazima ukubali No Reform No Election ni Mpango wa Mungu kwa Tanzania.

    Baada ya kusikiliza clip ya maongezi ya Naibu Waziri wa Utumishi Bw. Deus Sangu ambaye pia ni mbunge wa CCM jimbo la kwela, na zile nyingine za Nape, DC Longido na Humprey Polepole kuhusu CCM wanavyoshinda uchaguzi utakubaliana na mimi kuwa No Reform No Election ni mpango wa Mungu kuikomboa...
Back
Top Bottom