naombeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Naombeni ushauri na muongozo wa kazi za viwandani

    Habari ndgu zangu, Kijana wenu hapa nimekuja kuomba msaada kwenu. Kwasasa sina mtaji hivyo nimeamua kuliko kukaa bure tu na kusubiri vya kupewa nimeona bora nijikite huko VIWANDANI. Hivyo basi nimekuja hapa kuomba kujuzwa namna ya kupata hizo kazi, natakiwa kua na nini na nini ili nipate...
  2. H

    Msaada: Waliowahi kufanya written Interview Access Bank Microfinance position ya Recovery Loan Officer (RLO) naombeni muongozo

    Habari wakuu..! Aliyewahi fanya usahili wa kuandika pale Access Bank Microfinnce naombeni muongozo tafadhali. Asanteni:
  3. S

    Watabe wa Bios naombeni majibu

    Nini maana ya 1)Ground Substance? 2)Je Fibrous Protein na Fiber ni kitu kimoja? 3)Nini maana ya Extracellular Matrix 4)Basement Membrane 5)Inflammatory ni Nini 6)Bone marrow
  4. Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change)

    Jamii Forums (JF) ni Asasi ya Kiraia inayoratibu mtandao wa JamiiForums na kuhamasisha Haki za Kidigitali, Demokrasia, Uwajibikaji na Utawala Bora. Jamii Forums imekuwa mstari wa mbele katika kuhamasisha uandishi wa maudhui bora na yenye tija mtandaoni kwa zaidi ya miaka 15 kwa kutoa jukwaa la...
  5. Naombeni ushauri, huyu shemeji ananikwaza

    Kwanza ikifika asubuhi anatoa nguo zake nimnyooshe ili avae kwenda kazini na kinacho niuma zaidi wamekua na desturi ya kwenda kuoga bafuni (public bathroom) na mkewe (dada yangu), na wanapokua bafuni wanachelewa sana kutoka. Na wiki hii nimemuona ameanza tabia mpya ya kuwa ananiamrisha nioshe...
  6. Naombeni kufahamishwa namna tofauti za upishi wa dagaa

    Nipo chuo na ninaishi na mshkaji wangu. Huyu jamaa ninayeishi nae, ni mpenzi mkubwa sana wa dagaa. Ila, jamaa hawezi kuzipika. Kwa wiki ni LAZIMA tuzile angalau mara 1 ila ladha ndio mtihani. Nilikuwa ninapenda sana kula dagaa ila huyu jamaa ameniharibia kabisa taste yangu. Kwa wenye ujuzi...
  7. U

    Msaada: Dawa nzuri ya kuua nzi

    Kama kichwa kinavyoeleza ninapoishi tumevamiwa na kundi la nzi Kama nyuki kwenye mzinga!Wanakuja mchana,jioni na hata usiku!Wanafikia nje ukifungua tu mlango wanaingia ndani. Nimejaribu baadhi ya dawa haziwaui wote!Ajabu kila wanapogusa wanaacha alama ya madoa meusi meusi!Nasubiria muda muafaka...
  8. Nataka nikaishi Burundi au Rwanda; naombeni ushauri na muongozo cha kufanya

    Habari wadau! Nataka kuhama Tanzania niende nikaishi zangu Burundi au Rwanda naombeni ushauri na muongozo wa maisha kule.
  9. M

    Naichukia sana CCM, naombeni msaada wa kisaikolojia

    Mwenzenu kila nikisikia neno CCM napata kichefuchefu. Nikiona mtu kavaa nguo za CCM huwa nahisi kutapika. Nikisikia mtu anaongea kwa kuonyesha kuipenda CCM huwa naziba masikio, kama nipo kwenye daladala huwa nashuka kituo kinachofuata hata kama kituo changu cha kushukia hakijafika ili...
  10. Watanzania naombeni mnisamehe kwa hii misimamo yangu ya kisiasa

    Kuna kipindi niliamini chama kitakachomkomboa Mtanzania ni Chadema ila nilikuja kubadilisha msimamo wangu nikaamua kushabikia CCM na sababu iliyonifanya niachane na upinzani ni kitendo cha Chadema kumsimamisha Lowasa 2015. Kiukweli niliumia sana roho nikajisemea moyoni haiwezekani kiongozi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…