naombeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mijadala Migumu

    Naomba mwenye connection au anayeweza kunisaidia kupata kazi ya ULINZI, Kampuni ya SGA au G4S

    Habari zenu ndugu zangu, Naomba mwenye connection au anayeweza kunisaidia kupata kazi ya ULINZI, Kampuni ya SGA au G4S anisaidie ndugu zangu. Nina miaka 29 Nina mafunzo ya JKT - Miaka miwili (volunteer). Uwezo wa kutumia silaha. Elimu - Shahada ya kwanza Nazungumza Kingereza fasaha. Uzoefu wa...
  2. Scared

    Naombeni mnitajie nyimbo Kali za fally ipupa

    Nimepata ndinga mpya nataka nipige hizi ngoma za fally ipupa sababu nimeshajipata naombeni mnitajie zile Kali ambazo nikipiga kwenye ndinga yangu nitajiona Nipo dunia ya peke yangu bosi ya mboka mutu mukubwa
  3. Joshua Mbezi

    Wachawi wa nchi hii naombeni msaada wenu

    Kila nikiwaza hatima yangu na ya taifa langu naona njia nyingi haziwezi kutuletea suruhu Mfano njia za Kisayansi/teknolojia Sisi kama taifa bado tupo nyuma sana hatuna mbinu Bora za kisayansi za kutuwezesha kutatua changamoto zinazotukabiri, Kisiasa/kidemokrasia Kwenye siasa naona...
  4. Desierto

    Naombeni ushauri kuhusu kushea biashara na mtu

    Nimepata mdau ameniomba aweke mtaji kwenye ofisi yangu kesho ndo nataka nikamsikilize. Ila ni kuongeza bidhaa ofisini Mm plani yangu ni kama ataongeza mtaji basi nilitaka nimwambie mtaji wake tuweke kwenye simu ndogo za batani radio za kuchajisha na sabufa zisizo zidi Bei ya 120 Na bidhaa...
  5. Godoro la kioo

    Hizi pocket router za Voda zikoje? Naombeni ushauri kabla sijajichanganya

    Wakuu . Kama kichwa kinavyojieleza Nahitaji kuchukua wi-fi lengo kubwa ni kuona namna Gani naweza kusave Hela ambayo ningeitumia kununua vocha za Kila siku Na nimepata hiyo hapo Pocket rout ya voda kifurushi kinaanzia 10k Sasa nahitaji kujua kwenu wazoefu je hicho kifurushi Cha 10k unapata Gb...
  6. Scared

    Nina million 1 nifanye mishe Gani mpaka mwezi wa 6 iwe imefik1 5m wakuu naombeni mnisaidie wazo

    Naombeni mnisaidie wazo la biashara yeyote Nina million 1 nataka mpaka mwezi wa 6 iwe imefika 5m ndio Lengo langu Kuna kitu nataka nifanyie
  7. Seran

    Naombeni ushauri juu ya mtoto asiyepelekwa shule kisa hakuna ada

    Ni kuhusu baba hampeleki mtoto shule, kwa ufupi tu mtoto anatakiwa aingie Grade 2 lakini hata grade 1 hajaimaliza, baba yake anaforce shule za ada kubwa wakati ameshakwama kimaisha, anamlea katika mazungira ya gharama sana kitu ambacho hakiwezekani kwa sasa! Mtoto hasomi anasema anasikilizia...
  8. N

    Naombeni kujua ni tatizo au ni kawaida kwa mwanaume

    Wakuu nina hali ambayo hunitokea sana nyakati za usiku nikilala nikashituka hata kama ni saa 6 usiku basi uume (mashine) husimama mazima hata nilale tena na nikashituka tena nakuta hali iko hivyohivyo tena. kwahyo kulala kifudifudi inakuwa shida siwezi.na hata asubhi nikiamka inakuwa hivyo...
  9. Scott junior

    Naombeni ushauri

    Wakubwa kwema, Tafadhali naomba ushauri mimi ni kijana wa miaka 32 sijao ila nina mchumba ambaye tuna mpango wa kuoana mwaka huu na maali nimeishapeleka kwao. Ni mwanamke ninayempenda ambaye nimekaa naye kwenye mahusiano takribani miaka mitatu ila kipindi nimeanza mahusiano nae tulisumbuana...
  10. Siri yangu

    Naombeni msaada kwenye picha hii

    Wakuu Samahanini kwenye hii picha nimeitoa kwenye ukurasa wa ofisi ya waziri mkuu wakisema kuwa picha hii ni vijana waliokuwa wanaagwa na kwenda kufanya kazi ya boda boda huko UAE ama falme za kiarabu . Swali: Hawa kweli ni vijana wanaoenda kuendesha boda boda uarabuni na je ni kweli uarabuni...
  11. E

    Mliokuwa nje ya Dar naombeni connection nipate binti mwenye maadili wa kuoa

    Wakuu habariii, Mwaka huu au mwaka unaofata moja ya malengo yangu ni kuoa, ila mpaka sasa sina binti nayeona kama anafaa kuwa mke wangu kulingana na mazingira labda au wanawake naokutana nao, sasa naomba msaada kwa wamliokuwa nje ya dar naombeni mnisaidie kuniunganisha na ma binti wale waliokuwa...
  12. KatetiMQ

    Naombeni msaada wenu

    Wakuu nimekwama kweli kweli mtaani kugumu hali mbaya kwa mwenye connection ya kazi iwe sheli au yeyote nzuri naombeni elimu yangu form 4 nitakupa laki na nusu kama ahsante 🙏🙏🙏
  13. Meja Jenerali Isamuhyo

    Wachambuzi wa soka naombeni jibu hapa!!

    Ikitokea mchezaji wakati wa mchezo kiatu kikamtoka mguuni then akafunga goli. Hilo goli litakubaliwa au litakataliwa? Msinifokee jamani, kuna kitu najifunza
  14. Desierto

    Naombeni kujua faida ya kumpeleka mtoto shule akiwa na miaka 3

    Nimegombana na mwanamke sababu anataka tumpeleke mtoto shule na mm nimemwambia mtoto mpaka afikishe miaka 4 ndo tumpeleke. Je Kuna hasara gani naipata nikimchelewesha mtoto shule? Nafaida gani naipata nikikawahisha kakiwa na miaka 3
  15. Meja Jenerali Isamuhyo

    Said Fella: Watanzania naombeni mnichangie nikatibiwe India, Yamoto Band hawapokei simu zangu

    "Yamoto band wanasema hawanijui kweli? Namshukuru Mbosso Kwa kupokea Simu zangu na mara nyingi amekuwa karibu nami. Kwa watanzania wenye mapenzi mema na Mimi naomba mnisaidie mchango wa kifedha ili niweze kwenda India kutibiwa. Imeniuma Sana Leo TMK hawapokei simu zangu" Said Fella Toa maoni...
  16. Desierto

    Naombeni msaada wa hili la kutopigia ndugu simu

    Kuna watu wangu wa karibu wananilaumu siwatafuti kuanzia mashemeji zangu mpaka na familia yangu wanasema siwapigii simu. Mfano mashemeji zangu wengine Sina hata namba zao. Shida hata nikiwapigia nitawaambia Nini yaani salamu TU basi? Lakini Kuna watu wengine haipiti siku tatu nawapigia na ni...
  17. Holota

    Naombeni kazi

    Habari za wakati huu. Mimi ni mhitimu wa shahada ya Finance and Investment Planning. Naomba kwa heshima kama kuna fursa yoyote ya kazi hususan kwenye stationery, maduka ya jumla, warehouse, au finance and planning internship. Nipo Dodoma, niko tayari kujifunza na kufanya kazi kwa bidii...
  18. Sheriff Hood

    Trigeminal Neuralgia - naombeni ufafanuzi juu ya tatizo hili la kiafya

    Wakuu nasumbuliwa na maumivu makali upande mmoja wa uso kwenye shavu karibu na sikio. Maumivu haya yanakuja kila baada ya kupita muda fulani inaweza ikawa nusu saa, lisaa au masaa kadhaa, yakija yanadumu kwa sekunde kadhaa then yanatoweka, maumivu mithili ya shoti kali ya umeme, au kama mtu...
  19. Hustler_

    Naombeni ushauri biashara ya uwakala(M-PESA, tiGO Pesa nk)

    Habari zenu wana jamvi, Mimi naishi Dar es salaam lakini nataka kufungua vibanda viwili vya uwakala niwe na yas, Airtel money na mpesa kwasababu wilayani kwetu mwanza mtaani Kuna uhaba sana Lengo langu niwe na vibanda viwili wilaya nzima maeneo tofauti tofauti na mimi nikiwa huku huku Dar...
  20. A

    Naombeni msaada wa mawazo ndugu zangu

    Kuna maswali ambayo najiuliza Mwanzo na mwisho ndugu yangu tulikutana mwanza Alivyofika nairobi ndugu zake na mke wake Sasa familia yangu wamenitenga Dar es salam ndiko mke wangu anaishi Mimi nipo uku morogoro kutafuta dawa Atapata bus nikasema hapana ilo ni swali lake Sasa tupo hapa...
Back
Top Bottom