naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nataka kuhamia Canada nikaishi huko naomba ushauri

    Habari wanajukwaa. Nimeamua mwakani mimi na familia yangu mke na watoto wawili tunatarajia kuhamishia maisha yetu Nchi ya Canada. Nina kiasi Cha shilingi 50M ambacho nimeweka kwajili ya kutusaidia tutakapo fika huko kujipanga kimaisha. Kwa sasa ninafuatilia visa ubalozini maana huwa...
  2. JamiiForums Tanzania Wakuu naomba mnisaidie kabila sahihi la kuoa Tanzania?

    Wakuu naomba mnisaidie kabila sahihi la kuoa Tanzania?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua viability ya UTT please kabla sijawekeza huko

    Faida zake zikoje kwa wanaojua plz
  4. JamiiForums Tanzania Kilimo Cha ngano: Naomba Ushauri, muda Gani mzuri wa kuanza kulima na namna bora ya kulima, changamoto na bajeti yake?

    Habari za siku ndugu wanajamvi. Kama ilivyo katika kichwa Cha thread hapo juu, nataka niende kulima ngano katika wilaya ya Sumbawanga. Naomba Ushauri wenu hapo Kwa wote, ili niingie katika kilimo hiki nikiwa na taarifa muhimu. Karibuni
  5. JamiiForums Tanzania Mtu akiwa na umri wa miaka 23 mwenye uzito wa 48.8 kuna tatizo kiafya?

    Habari wanajf wote, Naomba kuuliza mtu akiwa na umri wa miaka 23 na akiwa na uzito wa 48.8 kunatatizo kiafya. Naomba kujuzwa kitaalamu. Natanguliza shukurani!
  6. R

    JamiiForums Tanzania Naomba turuhusiwe kutumia VPN wakati wa hili janga la Internet

    Tangu jana sisi ambao asilimia kubwa ya kazi zetu zinategemea mtandao wa internet tumeathirika vibaya. Ningeomba mamlaka ya mawasiliano itoe ruhusa ya kutumia VPN bila kuomba kibali kwa kipindi hiki kigumu maana sidhani kama tatizo hili litatatuliwa mapema. Kuna sites kadhaa natumia kwa kazi...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu Mitsubishi Outlander PHEV

    Wakuu, Kuna gari Aina ya mitsubishi outlander PHEV, ni gari ambayo nimeipenda kwakua ni SUV yenye muonekano mzuri Ila kikubwa ilichonivutia ni kwamba hii gari ni Hybrid, kwamba unaweza ukatumia mafuta au umeme. Sasa swali langu moja kwa moja ni kwamba je, kwa hapa Tanzania hii gari kwenye...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua usahili afisa kilimo daraja la pili kwa Dar unafanyikia wapi tarehe 12/05/2023

    Naomba kujua usahili kada ya afisa kilimo kwa Dar unafanyikia wapi tar 12/05/202411
  9. U

    JamiiForums Tanzania Leo asubuhi nimeamua kula ugali wa muhogo na dagaa badala ya chai naomba ushauri wenu

    Wadau hamjamboni nyote? Asubuhi ya leo badala ya kunywa chai na vitumbua nimeamua kula ugali wa muhogo na dagaa. Naomba mnishauri ikiwa ni vema niendelee na utaratibu huu au niandae utaratibu mwingine mbadala Asubuhi njema kwenu nyote
  10. JamiiForums Tanzania Naomba mnijuze kioo cha Simu aina ya Infinix Hot 10i kinauzwaje kwa duka!

    Hivi vioo bya simu sikujui wanauje maana mafundi wengi wanakwambia, kubadili kioo ni 45 mpaka 55 elfu... Me nataka nijue bei ya kioo pasipo ufundi
  11. JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri kuhusu mpenzi wangu aliyenisevu "Dad" kwenye simu yake

    Demu wangu alikuwa anachepuka, siku moja nikaona amenisave "Dad" kwenye simu yake lakini sikumwambia nikajikausha. Wiki iliyopita nilikuwa nampigia na hapokei simu. Jumapili iliyopita niliona namba mpya ikiita kwenye simu yangu nikaamua kuipokea. Ni kijana aliyejitambulisha kwa jina la Kelvin...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa kuhusu Foundation Course

    Samahani ndugu zangu, mwenye uelewa kuhusiana na foundation course naomba ufafanuzi, na pia ni vyuo vipi vinavyo toa hiyo course kwa Masomo ya Mathematics na chemistry (Education)
  13. JamiiForums Tanzania Nyie kuna uhuni nimewanyia 1xbet sasa najuta naomba msaada

    Wakuu kwema, mimi mkamaria ninayetumia 1xbet, wakamaria kama mnavyojua tunakula sana za uso... Mimi siyo mwandishi mzuri tuvumiliane Siku moja nikakaa chini nikafikiria namna ya kupata pesa kupitia betting bila kuloss, niliziangalia sana odds za 1xbet kwa umakini nikagundua kuna mahala...
  14. JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie bajeti ya chakula Tukio la hitma

    Tunatarajia kufanya hitma. Makadirio ni watu 200. Nafikiria kuwa na vyakula vifuatavyo Pilau Nyama Ndizi Salad Tunda Maji Wazoefu wa matukio, bajeti yake hapa itakuwaje?
  15. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa mbegu gani bora kilimo cha Nyanya.

    Wakuu niko babati nahitaji kuanzisha shamba langu la nyanya . Naomba kujua mbegu gani bora kwa kilimo cha biashara. Pia vitu gani vya msingi natakiwa kuvizingatia.
  16. D

    JamiiForums Tanzania Zoezi la kuongeza shape kwa njia ya upasuaji huwa linafanyikaje?

    Salam sio lazima! Ndugu wanabodi, Mimi naomba kufahamishwa ni kwa namna gani nyama za kujazia eneo husika zinavyopatikana, yaani zinatolewa wapi kuja kuboresha uumbaji wa eneo la makalio, au yanaumuliwa kama maandazi yaliyowekewa hamira na kuongezeka size kwa kutumia hamira maalum,nisaidieni...
  17. JamiiForums Tanzania Naomba kujua hii dawa ina matumizi gani na inapatikana maduka ya madawa Tanzania kwa bei gani?

  18. JamiiForums Tanzania Barnaba naomba nikuulize mkeo hakufahamu kuwa kazi yako ni mziki halafu wanawake mjitafakari mnapotaka kuingia kwenye ndoa

    Sijui ni kiki au ndio kweli ila nimepata picha kuwa mambo ya kuwekana wazi au mlivyokutana mlibidi kukubaliana kuwa kazi ya mwenzake. Imngeweza kuishi kama wafanyavyo wasanii davido na kwengine.Pili ingekuwa mimi barnaba kwa kweli ni aibu kesi yako kama mama mkwe kakutawala na mwanae. Aisee...
  19. JamiiForums Tanzania Naomba kukaribishwa rasmi leo

    Ni aje wakuu, hii ni post yangu ya kwanza kabisa, ndio kwanza nimeingia hapa. Like yako hapa ni ukaribisho rasmi kwangu. Ahsante
  20. JamiiForums Tanzania Bunge la Tanzania umekuwa muhimili mbovu na usio na tija wala faida kwa Taifa

    Bunge ni chombo ambacho kama kingekuwa kinafanya kazi yake ipasavyo hakika Tanzania ingekuwa mbali sana kwa sasa. Lakin Bunge la Tanzania ni miongoni mwa mabunge ya hovyo na hasara kwa Taifa, halina msaada wala mchango wowote ule kwa taifa hili. Bunge linatia hasara Serikali kila mwaka. Bunge...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…