naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nielewesheni Wakuu, shida iko wapi?

    Wakuu aisee nna changamoto ambayo nahitaji kuielewa kabla sijaipotezea as usual but this time nahitaji msaada wenu Ili nikiipotezea nisije jiuliza maswali kama haya Tena hapo badae.. Wanawake 1. Kwanini wanawake haswa my age Kila ninapo wakuta sehemu wanazotoa services mfano canteen, kwenye...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri. Mwili wangu unawasha ukipatwa na mtikisiko wa muda mrefu

    Ikitokea sijafanya mazoezi (mfano ya jogging) angalau mara mbili kwa wiki, mwili huniwasha unapokumbwa na mtikisiko. Mfano: kama sijafanya mazoezi angalau mara mbili kwa wiki, siku nkifanya mazoezi tena, mwili huanza kuwasha, then huacha baada ya kutokwa jasho jingi wakati naendelea na...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Miti ya parachichi inarefuka na kuwa myembamba

    Nina miti ya parachichi iliyo ota katika shimo Moja na imekua na muda mrefu sana bila kutoa matunda imerefuka tu na kua nyembamba kiasi Je, nifanyajee?
  4. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa supplement nzuri ya varicose vein

    Mama ni mtu mzima kidogo anaeleka miaka 65. Ana shida mishipa ya miguuni inauma sana na kutokezea kwa juu. Hospital kaenda kaaimbiwa ana shida ya mishipa kuvimba (varicose veins). Matibabu yake ni either upasuji ambayo kwake yeye anaogopa kulingana na umri wake. Naomba kufahamishwa food...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi hawa jamaa siyo kwamba wananipiga kamba kweli? Naomba mnisaidie kufikiri

    Hawa masela ni watu maarufu sana nchini Madagascar. Kuna wakati katika mishe zao walipata kusafiri kikazi kwenda nchini Puerto Rico. Wakiwa huko wakapata fursa ya kukutana na jamaa fulani aitwaye Pumzi Baba. Walipoenda kukutana na mwamba, aliwakaribisha moja kwa moja chumbani, wakafanya mambo...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Naomba mnijuze jambo hili kuhusu mtandao wa simu wa Tigo

    🙏
  7. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara yangu inakoelekea inaenda kukata roho sio muda

    Habarii wana JF natumai wote mko salama. Mimi ni mfanyabiashara wa mchele hapa Dar es Salaam Nauza jumla na rejareja. Ila nasikitika toka nifungue hiii baishara yangu nimepitia changamoto nying sana mpka leo na nimekuwa mtu ambaye sikatii tamaa nikijipa moyo kwamba ndo napata experience maana...
  8. JamiiForums Tanzania Naomba kujua mabadiliko yaletwayo na P2

    Nimekula tunda wakati mbaya wa hatari ya kupata mimba, nikaamua kutumia P2 Cha ajabu binti kawahi kuingia tena kwenye hedhi sasa si elewi, maana hata mwezi haujaisha Wazoefu mnaofahamu haya mnipunguzie hofu hapa nahemea mashine yaani
  9. N

    JamiiForums Tanzania Picha: Naomba kujuzwa hii ni aina gani ya jiwe

    Naomba kujuzwa, hii ni aina gani ya jiwe?
  10. JamiiForums Tanzania Naomba tusaidiane kujibu hili swali langu ambalo nimejiuliza mara mbili mbili

    Hivi kwa Maisha magumu hasa ya Kijijini ya kuanzia Wazazi na Watoto (hasa wa Shule) inawezekana kweli Mtoto Mdogo (Mwanafunzi) ambaye katoka Kwao labda hata hajanywa Chai na hajui Mchana wake utakuwaje akirejea akapata Uthubutu wa kunipa Mimi GENTAMYCINE Zawadi ya Shilingi 50 za Kitanzania na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wataalam naomba kujua hili

    Hivi kipimo cha ultrasound kinaweza kusema incomplete abortion nakikawa kimedanganya? Kwamba mimba imetoka ila ikawa bado ipo?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ultrasound inaweza kusema mimba imetoka na ikawa imedanganya?

    Hivi ultrasound inaweza kusema mimba imetoka na ikawa imedanganya?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Wanaopewa ajira kwenye vyombo vyetu vya ulinzi wawe wanaoipenda kazi hiyo kwa moyo na kujivunia kuifanya

    Yanayoendelea sasa kwa baadhi ya askari wa jeshi la polisi ni matokeo ya watu kufanya kazi wasiyoipenda. Hawawezi kuifanya kwa ufanisi. Hapo zamani za kale kimbilio la waliokosa ajira ilikuwa fani ya ualimu. Kilichotokea ni kushuka kwa kiwango cha elimu nchini kwasababu ya kukosa morali ya...
  14. JamiiForums Tanzania Naomba uzoefu wa kuendana na mke wenye uhitaji wa "sex" kila wakati

    kwa uzoefu wangu nimefikia hitimisho la kusemackua, mke wangu ana nguvu nyingi kwenye tendo la ndoa na si kuwa nina tatizo la nguvu za kiume. Nimejaribu kuendana na kasi yake ya uhitaji wa jambo hili lakini nimeona uhitaji wake ni above average. Naomba msaada wa namna ya kuedanda nae, anapokua...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri namna ya kuhama kozi chuo cha udom

    Samahani viongoz wangu!Nilikuwa naomba mnisaidie je naweza kuhama kozi katika chuo cha udom kutoka nursing kwenda pharmacy au md nanabidi nifuate hatua zp? Na itakuaje kuhusu mkopo? Naomben msaada wenu nilikuwa pcb ufaul wa CBC yan points 8
  16. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri sisi watu wenye Akili nyingi nchi gani inatufaa kuishi na kufanikiwa ?

    Nauliza , kuna nchi gani inatufaa sisi great thinkers kuishi na kufanikiwa?
  17. S

    JamiiForums Tanzania Huu ujumbe aliotumiwa Lema ukionesha vitisho kwenye maisha ya Lissu ni kweli umetoka kwa Lissu mwenyewe?

    Hebu JamiiForums mjiridhishe kama kweli huu ujumbe ni wa Liissu. Pia, ikiwezekana, muwasiliane na Lema au Lissu mwenyewe. Nina mashaka na aina hii ya uandishi kama kweli ni wa Lissu.
  18. L

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mwana Simba na kesho Simba inacheza halafu huendi kuisapoti kumkaanga Mwarabu naomba ukae pembeni na usiishangilie tena Simba, huna faida

    Kesho kwetu ni siku muhimu mno kuliko Simba day, kesho ndio ile Ubaya Ubwela yetu sisi. Sasa Kama ulkuwa ukienda uwanjani kuiangalia Simba ikicheza na Fountain gate, ukaenda Simba day ndugu yangu wa faida, kesho ndio cku muhimu kuliko cku zote katika maisha ya Simba msimu huu. Tusipokwenda...
  19. JamiiForums Tanzania Naomba kujifunza: Je, content creator wananufaikaje?

    Je, wananufaikaje na haya wafanyayo? Je, wanavibalu kisheria kufanya wafanyayo?
  20. JamiiForums Tanzania Wanaume na wanawake wanaojitambua ambao hawajawai Kufanya uzinzi walio jitunza naomba tujuane hapa tafadhali

    Wanaume na wanawake wanaojitambua ambao hawajawai Kufanya uzinzi walio jitunza naomba tujuane hapa tafadhali
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…