naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, uenyekiti kura yangu kwa Mbowe, M/Mkiti kura yangu kwa Heche

    Hiyo combination ni sahihi? Lissu bado hajani-convince hawezi kuongoza chama kwa ufanisi, Wenje ni mission town hana bei. Kwa hiyo hadi sasa hata ukiniamsha usingizini Mbowe bado ni mgombea sahihi Wenje hapana. Heche is fit even for chairmanship. Lissu - Wenje it will be a worse combination...
  2. JamiiForums Tanzania Kama kuna mtu anahitaji dada wa kazi naomba tuwasiliane mara moja kwa Dar (DSM).

    Yupo Dada anahitaji nafasi ya kazi za ndani . Yupo Dar DSM Kuhusu yeye Ana age 18 Darasa la saba Anatoka Mtwara vijijini Dini yake Muslim. Uzoefu kazini ni miaka miwili amelea mtoto alikuwa Zanzibar Taarifa zake kuhusu boss wake wa zamani zipo pia Familia yake ipo na unaweza wasiliana...
  3. JamiiForums Tanzania Habari wana jf? Naomba elimu juu ya matumizi ya bolt (taxmtandao)

    Habari zenu ndugu zangu, Mimi ni mgeni kabisa katika ishu za Taxmtandao, hususan BOLT, Nataka kutumia chombo changu bajaj kujipatia riziki, na tayari nina akaunti, lakini sasa nasikia kuna hali ya kufungiwa. Leongo la uzi huu ni kufahamu jinsi ya kutumia Bolt kama dereva POINT 1. Ni makosa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nina leseni Class D, natafuta kazi Morogoro

    Jamani Naomba Msaada Ndugu Zangu Nna Leseni Cras D Naitja Kazi Ya Uderevar Nipo Mkoani Morogoro Wilayani Mvomero Namba Yangu 0674443530/0622909927
  5. JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu hii biashara ya maudhui mtandaoni

    Je, inawezekana kuanzisha na kuendesha biashara ya maudhui mtandaoni kama blogging au YouTube kama kina Millard Ayo, bila ada za awali (license fee) ? Kama vile mambo ya lecense za TCRA sijui BRELA, then nikaja kulipa baadae Ikiwa kuna gharama, ni zipi zinaweza kulipwa baadaye baada ya kupata...
  6. JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu hii biashara ya maudhui mtandaoni

    Je, inawezekana kuanzisha na kuendesha biashara ya maudhui mtandaoni kama blogging au YouTube kama kina Millard Ayo, bila ada za awali (license fee) ? Kama vile mambo ya lecense za TCRA sijui BRELA, then nikaja kulipa baadae Ikiwa kuna gharama, ni zipi zinaweza kulipwa baadaye baada ya kupata...
  7. JamiiForums Tanzania Mtu aliyemaliza Diploma ya Uvuvi yan fisheries science and technology anaweza kusoma degree ya Computer science?

    Hello Naomba kuuliza mtu aliyemaliza diploma ya uvuvi yan fisheries science and technology anaweza kusoma degree ya Computer science au IT Asanten.
  8. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu changamoto katika usafirishaji kwa wafanyabiashara

    Habari wana JamiiForums, Mimi ni mtaalam wa kuunda software za simu na kompyuta. Natamani kutengeneza mfumo wa logisitics/delivery ambayo itagusa kila mfanyabiashara ambaye biashara yake inafanya delivery ndani na nje ya mkoa husika. Sijaona mifumo inayogusa maeneo hayo moja kwa moja...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba mpigie Kura Mtanzania mwenzetu

    The link is on his bio click it and it'll open a browser, select "sports creator of the year " category, scroll down until you see @zerobrainer0 then VOTE NOW https://vm.tiktok.com/ZMkSX5WBV/
  10. JamiiForums Tanzania Kwa wenye Ndiga wanao ujua mfumo wa malipo ya uegeshwaji wa magari na changamoto zake naomba msaada

    Naomba kujua changamoto mnazokutana nazo katika mfumo wa TARURA wakulipia maegesho watu mnaomiliki vyombo vya moto hasa katika vipengele hivi; 1.Uharaka katika kufanya malipo. 2.Usahihi katika gharama na muda uliotumika. 3.Usaidizi wakati wa kuegesha 4.Kujua sehemu sahihi ya kupaki iliyowazi...
  11. JamiiForums Tanzania Hodi humu, mimi mwanachama mpya naomba mnipokee

    Habarini humu ndani, Nimeingia kuweza kujijenga zaidi, mimi ni mpya naomba mnipokee
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta location nzuri ya kuweka stationery hapa Dar es Salaam. Naomba ushauri wako

    Wakuu naomba ushauri ni sehemu gani hapa Dar es Salaam naweza kuweka stationery ya kawaida tu sio kubwa na nikapata mzunguko mzuri wa pesa. Ukinishauri nitaenda kutembelea eneo na kupima kutazama najua wataalam wa fursa mpo unaweza ukawa umeona sehemu inayofaa nitashukuru ukinipa ushauri. Kuna...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu gharama za special hire

    Wenye kufahamu gharama za kukodisha hizo gari coaster tokea dar mpaka moshi ,kwenda na kurudi.
  14. JamiiForums Tanzania Naomba majibu tafadhali

    Kwa mujibu wa quruan ni kwamba mwanaume wa akislamu akifa mwema anapewa wanawake bicra 72 hukoo peponi sada jee mwanamke akiwa mwema yeye atapewa wanaume 72? .
  15. JamiiForums Tanzania Naomba niwashauri wanaume wenzangu

    Naomba niwashauri wanaume wenzangu, mwaka mpya huu wa 2025 unataka kufanikiwa chagua mdada mmoja bonge mzuri anayejitambua jiweke hapo tulia utafanya maendeleo haraka sana. Wadada mabonge wanajua kupenda sana wametulia ukimpenda anaridhika hawana tamaa hata kidogo. Wanajielewa na wengi unakuta...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Naomba nisaidiwe past papers za comb ya ECA

    Msaada wanataaluma wa past papers za ECA Nitashukuru sana nikifanikiwa namba yangu ya Whatsapp nitakutumia inbox ukihitaji kunisaidia
  17. R

    JamiiForums Tanzania Naomba tafsiri ya neno 'exhaust fan" kwa Kiswahili

    Google na chatGTP naona hazinipi majibu yanayoridhisha.
  18. JamiiForums Tanzania Kama kuna mtu anauza kwa bei ya jumla bidhaa zifuatazo naomba tuwasiliane

    Nipo Kibaigwa Dodoma natafuta mtu ambae yupo dar es salaam au Morogoro ambae atakua ananiuzia na kunitumia kwa njia ya basi bidhaa zifuatazo 1. Bahasha no. 3- original na ya kawaida 2. Blubendi ndoo ya lita10 3. Foili 4. Radha za aina mbalimbali kwaajiri ya cake. Kama upo tayari naomba...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi

    Mimi ni mchumi kutoka chuo Cha ushirika Moshi(MoCU) TITLE: MR PROFESSION: ECONOMIST EXPERIENCE: FRESH GRADUATE LOCATION: MBEZI-DAR ES SALAAM Naomba kazi yoyote halali ambaye daily naweza pata kuanzia 10k . *Naweza kuandika (Research) * Naweza kufanya data analysis kwa kutumia SPSS na Excel...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba majibu tafadhali watu waminio dini hizi 2 yan ukristo na uislamu

    Huwa napata shida sana tangu niko mtoto na hii inaniumiza sana binafsi mm Siamini dini yeyote kati ya ukristo wala uislamu sasa hivi mnaavyosema ety Jerusalem maka na madina ni miji mitakatifu mna maana gan kwaiyo huku kwetu africa dar es salaam nairobi Accra Lusaka adis Ababa Kampala Ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…