naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naomba kujua faida ambayo Upuuzi wa Mwijaku kutamba Mitandaoni huku akionyesha Dola Feki kila mara

    Najua hawezi Kuguswa kwakuwa tayari anatumika na Myemeni, ila endeleeni tu Kulea huo Upuuzi wake mtanikumbuka!!!!
  2. JamiiForums Tanzania Naomba tafsiri ya ndoto ya kuachwa na ndege kisa kusahau passport

    Nahitaji msaada wa tafsir ya ndoto Nimeota usiku wa kuamkia leo tar 19 March 2025 Nimeachwa na ndege katika ndoto kwa sababu ya kusahau passport nyumbani, Sema hii issue inanipa mawazo kwa sababu kwa personality yangu mimi ni type A/planner/meticulous person kwa maana kwamba ni mtu ambaye...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ajali ya OCD Chanika imenisikitisha ingawa upo ujumbe maalum wa kumuenzi naomba mkuu wa trafiki Tanzania aupokee

    Ajali inapotokea huwa inasikitisha sana na kuumiza sana! Lakini upande wa pili huwa inafungua ukurasa mpya wa kujadili! Mungu aliumba mitume na manabii ili kuzisaidia mamlaka za utawala katika kutekeleza sheria! Miongoni mwa manabii walioitwa na mungu ni pamoja na 1. Baadhi ya watumishi wa...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi yule roboti aliefika bungeni kaishia wapi au amekufa au kazi anafanyia wapi?

    Hivi yule roboti aliefika bungeni kaishia wapi au amekufa au kazi anafanyia wapi?
  5. JamiiForums Tanzania Naomba kuonyeshwa barua ya TPBL waliyowajibu Yanga kama haipo tuelezwe hatua walizochukuliwa waliozusha.

    Ally Kamwe amefungiwa miaka 2. Wote tukaamini Taarifa hiyo. Ghafla anajitokeza Ally Kamwe na kukanusha na mpaka Leo hatujaona barua na walioeneza uongo huo wako mitaani wanaendelea kueneza mengine yasiyothibitishwa na Mamlaka. Leo tumeambiwa na wanaojiita wachambuzi kwamba Bodi ya Ligi imeijibu...
  6. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Wakuu habari za wakati huu,natumaini mpo salama. Mtanisamehe,mimi sio mwandishi nzuri. Wakuu nina changamoto ambao nimeshindwa kulitatua hivyo nahitaji msaada wenu. Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Kilimanjaro,nimekuwa nikipitia vipindi vigumu sana kiuchumi,ni mengi ninayapitia...
  7. JamiiForums Tanzania Wakuu naomba msaada Kwa mtu anaejua mitaa ya kata mbezi mwisho kama mitano tu

    Naombeni msaada Kwa mtu anaejua mitaa ya kata ya mbezi mwisho kama mitano tu anisaidie
  8. JamiiForums Tanzania Huyu Mchungaji Ana Hoja, Lakini Kwa Sasa Naomba Tumpuuze Mpaka Uchaguzi Upite..

  9. N

    JamiiForums Tanzania Wataalam naomba mnasadie na kwa namna gani naweza kupata verification notification to my android. Nimeshindwa kabisa kulog in kwa accout zangu zote

  10. JamiiForums Tanzania HELLO NAOMBA MSAADA

    Nipo na kikundi ninachokisimamia mimi binafsi na maelezo kamili kuhusu huduma zetu 🏡 LUNO GROUP – UBORA WA UJENZI UNAOWEZA KUAMINI! 🏡 Mshirika Wako Anayeaminika Katika Kujenga Ndoto Zako Dodoma 🌟 Unatafuta huduma bora za ujenzi kwa bei nafuu? Katika LUNO GROUP, tunatoa huduma kamili zenye...
  11. JamiiForums Tanzania Habari wakuu! Naomba connection ya kazi

    Wakuu mi ni Jobless, nina miaka 29 elimu yangu ni Diploma ya Information Technology, ila sijafanikiwa kupata kazi mpaka leo mtaani kugumu. Nipo tayari kufanya kazi yoyote halali hata ikawa ya nguvu, nipo LINDI ila nipo tayari kwenda sehemu yoyote mda wowote. Nawasilisha.
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suhuhu Hassan, mama wa Taifa naomba unialike hapo ikulu nije kunywa chai mama

    Shkamoo mama, najua protocol haziruhusu ila naomba unialike hata tusipo onana ni sawa, nahitaji tu kunywa chai ya ikulu na kupunga hewa kwa nusu saa kabla sijarudi mtaani kuendelea na utafutaji. Ntashukuru sana mama japo sikubaliani na wewe katika mambo kadhaa ila natamani kunywa chai ya ikulu...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kuhusu kozi ya International Relations and Diplomacy

    Wakuu naomba mnisaidie sehemu za kupata field ya mtu aliesomea kozi ya International Relations and Diplomacy, kwasababu nahangaika Hadi now sijapata field, yaani duuuuh!!!! 🤔 0787044620 my number
  14. T

    JamiiForums Tanzania Interview za TRA zinakaribia soon naomba msaada jamani nondo za tax management officer

    Msaada wadau maaana sielewi ni guse wapi navurugwa tu hapa mwenye idea jamani naomba masaada maeneo ya kugusa ili nisipishane na keki ya TAIFA hii TRA huko
  15. JamiiForums Tanzania Naomba jina la huyu Polisi aliyesema kuwa msizungumze mambo yenu na Wapenzi wenu mkiwa mmelala Mapenzini Kiakili huwa tunakuwa hatupo vizuri

    Nimecheka sana kwa jinsi huyu Polisi alivyokuwa akisema kwani kasema Ukweli mtupu huku akitoa na Mifano ya Kiutani. Nimeiona katika Mtandao wa Thread wa Mtu anayejiita Balozi wa Watu.
  16. JamiiForums Tanzania Naomba dawa ya kuuua mapanya hii mara ya tatu au mnasubiri tufe mtoe michangoi??

    MSAADA wapendwa niliandika January mara mbili NDUGU tunatesekea na ma pants YAAN usiku yanatembea kama watu Mwanzoo TULIJUA nyoka darini YAAN wanatembea na kishindo kizitoo Sasa hali n Tete watoto hawalali sisi hatulali YAAN tukianza kuhondomola na themeji YENU YAAN yanakuja KATIKATI usawa...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini hujaoa ama kuolewa hadi sasa??

    Kama hujaoa tuambie nini kimekufanya hujaoa au kuolewa hadi sasa. Changamoto gani umepitia hujaoa hadi sasa au hujaolewa hadi sasa.
  18. JamiiForums Tanzania Naomba tujadili kuhusu majina ya kurithi, athari zake chanya na hasi pamoja na njia za kuishi katika hiyo life's path.

    Wakuu habari . Katika familia zetu kuna mengi ya kujifunza na kutengeneza hatima nzuri ya mtoto wako. Kuna baadhi ya watoto wakipewa majina ya Babu zao huwa wanalia Sana Ila wakiwabadilishia hilo jina wanaacha kulia. Je ipo siri gani hapo nyuma ? Kuhusu athari baadhi ya watu wamekuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Naomba maelekezo juu ya kilimo Cha tangawizi

    Habari za mda huu ndugu wapambanaji wenzangu Naomba maelekezo kwa anae jua namna nzuri ya kilimo Cha tangawizi 1,hali ya hewani 2,aina nzuri ya mbegu 3, jinsi ya kuandaa mbegu au upatikanaji wa mbegu nzuri 4, je zao la tangawizi linachukua mda gani shambani mpaka kuvunwa 5,jinsi ya kuvuna na...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba anayefahamu biashara ya Mbao anipe mchanganuo jinsi ya uendeshaji

    HABARI WANA JAMII FORUM Naomba maelekezo juu ya biashara ya mbao 1,upatikanaji 2,usafirishaji 3,jinsi ya UENDESHAJI wa biashara 4, mtaji wa chini kiasi gani 5,namna ya kutafuta soko
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…