naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naomba mnishauri kuhusiana na huyu dada yangu mkubwa

    Mambo wakuu? Nina dada yangu mkubwa ana umri kama 38yrs hivi,sasa huyu dada alikua anaishi na mwanaume wake ila hawakua wamefunga ndoa,wameishi kama miaka 8 kama sikosei.wamebahatika kupata watoto watatu mpaka sasa, mumewe ni muajiriwa kwenye shirika flani kubwa tu hapa nchini,dada yangu yeye...
  2. JamiiForums Tanzania Naomba kujua utaratibu wa wanandoa walio ajiriwa serikalini kuhama

    Habari wana JAMII FORUM naomba kuuliza ni taratibu zipi kwa mwanandoa kuhama kikazi serikalini na kumfata mwenza wake ambae kapangwa mbali yaani halmashauri tofauti Pia mume anaruhisiwa kumfata mke au ni mke ndio Sheria inamtaka tu ? Je inachukua mda gani kwa mwanandoa wa ajira mpya kuhama...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba kujua utaratibu wa wanandoa walio ajiriwa serikalini kuhama

    Habari wana JAMII FORUM naomba kuuliza ni taratibu zipi kwa mwanandoa kuhama kikazi serikalini na kumfata mwenza wake ambae kapangwa mbali yaani halmashauri tofauti Pia mume anaruhisiwa kumfata mke au ni mke ndio Sheria inamtaka tu ? Je inachukua mda gani kwa mwanandoa wa ajira mpya kuhama...
  4. JamiiForums Tanzania Mimi ni mgeni humu naomba mnipokee

    Habari zenu, Jamani mi ni mgeni naomba mnipokee nikihitaji ushauri msichoke kunishauri.
  5. JamiiForums Tanzania Manispaa wamekuja dukani kukagua leseni, wadai sina Service Levy, nini maana yake?

    Leo Manispaa wamekuja dukani kwangu kukagua Leseni ya biashara. Hiyo ninayo,lakini wakaniambia Sina Service Levy. Nauliza nini maana ya Service Levy? Inamaanisha nini ijapo nimeilipa.
  6. JamiiForums Tanzania Midoli: naomba kujuzwa chochote unacho kijua kuhusu midoli

    Wakuu, natumaini mnaendelea vizuri na majukumu yenu ya kila siku. Kuna huu mjadala nimeukuta somewhere lakini nikaona si mbaya kama nikiuletajamvini hapa sote tuchangie mawazo. Suala ni kuhusu hii midoli yenye wadadawanapenda kuweka ndani au watoto kuchezea...baadhi ya watu wamekuwa wakitoa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa standard size za matofali ya cement kwa milimita.

    Tofali la inch 6: Length = x mm Width = x mm Depth = x mm Tofali la inch 5: Length = x mm Width = x mm Depth = x mm
  8. M

    JamiiForums Tanzania NAOMBA KUULIZA FAVORS ANAZOPATA MTU MWENYE ULEMAVU KWENYE AJIRA ZA SERIKALI KUPITIA AJIRA PORTAL

    Napenda kujua Naomba kujua favor anzopata mtu mwenye ulemavu kwenye ajira za utumishi ikiwa labda kafeli oral au hata written wanamsaidiaje hapo? Nina ndugu yangu Kaomba Hz kazi za ualimu masomo ya biashara yeye kakatika mkono
  9. L

    JamiiForums Tanzania Naomba mnielimishe kuhusu hiki kitu

    Wakuu hbr za majukumu ningependa kuelimishwa kuhusu maswala ya green card kwa watu wanaopenda kwenda kuishi nje na kufanya kazi huko na je ilifungiwa na rais trump?
  10. JamiiForums Tanzania Jamani jamani naomba msije jichanganya kuwa na mahusiano na wanawake wa uswahilini

    Ukiambiwa dunia ni usiku na mchana ndio haya. Malezi waliokulia wanawake wa uswahilini ni ya ajabu yani kuanzia shida wanazopitia na kutofatiliwa na wazazi wao yanapelekea kuwa watu wa ajabu. Kuna kipindi cha dada mmoja Geah habibu pale youtube mnaweza kujifunza vituko huko
  11. JamiiForums Tanzania Mwenye kitambu cha machimbo ya bidhaa kaliakoo naomba tusaidiane

    Habari wakuu Hapa jf tusaidiane Mwenye kitambu cha machimbo ya bidhaa kaliakoo naomba tusaidiane Naomben jaman plz
  12. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Elimu ya Padiri Mchungaji au Shehe, mpaka kufikia kwenye cheo alichonacho

    Nazani kuna watalamu humu ndani wanaojua elimu za hawa watu mpaka kufikia kupewa jukumu la kuwasemea watu Ili tuepukana na kukubali kusemewa na watu ambao hawana elimu kumbe uwezo wao wa kuchambua mambo ukawa mdogo, Ingawa bado kuna wengine na elimu zao bado wanabaki kuwa machawa wa watu fulani
  13. JamiiForums Tanzania Naomba kujua Bakwata wao hawakutoa waraka wao siku ya baraza la Eid.?

    Naomba kujua Bakwata wao hawakutoa waraka wao siku ya baraza la Eid.?
  14. JamiiForums Tanzania WATAALAM WA UCHUMI NAOMBA KUJUA HAYA MAMBO YAMEKAAJE.

    Happy Easter Wana Jf, Twende kwenye mada! Kila nchi Ina Hela yake na bila shaka Kuna sehem ambapo hizo Hela wanaziprint then serikali inaziingiza katika mzunguko. MASWALI Hivi kwann licha ya serikali au nchi fulan kuprint Hela zake yenyew haiwezi kuchukua zile Hela direct zilipo printiwa na...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nahitaji kuchukua mkopo wa milioni 30 kwajili ya biashara ya mahindi

    Habar mimi naishi Dar nataka niombe mkopo wa million 30 kwajili ya biashara ya mahindi, nikachkue vijijini tani 32 nilete Dar kuuza kwani kwenye tani nyingi ndo faida ilipo. Mnashaurije wadau? Hilo la kwanza. La pili : Soko nimepata nasikia Kibaha kwa wachina ukipeleka ni fasta tu na malipo ni...
  16. JamiiForums Tanzania MKE WANGU NAOMBA UJE SASA

    Uwe mrefu flani hivi, shep ya ki model mwenye nyama, rangi yoyote, kabila lolote, dini mkristo uwe mkoa wowote ila tutaishi dar, kama umebahatika kupata mtoto naomba isiwe zaidi ya mmoja, miaka kuanzia 22 - 30, muhimu saana uwe ushaamua kuwa mke, ndoa yetu mwaka huu Mungu akijaalia, kama ni wewe...
  17. JamiiForums Tanzania Naomba kujua kazi ya huu ubao

    Nahitaji kuweka tv ukutani ,sitaki nyaya zinging inie Sasa nimejaribu kufatilia naona vitu tofauti naomba kunichagulia ipi Bora kati ya aina izo mbili za uwekaji TV ukutani? Kuweka ubao tv mbele au tv ifunike ubao
  18. S

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada

    Naomba msaada wa soft copy ya vitabu hivi. 1:- Adili na Nduguze 2:- Utengano 3:- Dunia uwanja wa fujo 4:- Mirathi ya Hatari 5:- Kichwa maji 6:- Kuli 7:- Njama 8:- Watoto wa mama nitulie 9:- Vuta N'kuvute
  19. JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa millioni 10 nafikiria kufanya hizi biashara wenye uzoefu naomba mawazo yenu

    Wadau nina mawazo haya ya biashara 1. Mini_Supermarket 2. Bucha la nyama ya ng'ombe au ya nguruwe 3. Duka la rasta la jumla 4. Duka la vipodozi japo hii nawaza kama kuiunganisha hapo kwenye duka la rasta Mimi ni wa kike, nipo Dar naombeni mawazo yenu wadau
  20. P

    JamiiForums Tanzania Wadau naomba chimbo la foils za kufungashia chips kwa bei ya jumla Kariakoo

    Wadau naomba chimbo la foils za kufungashia chips kwa bei ya jumla kariakoo. Anaejua anisaidie, nipo mikoani. Asanteni
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…