naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwenye maswali ya research problem na research design, interview za utumishi na kwingineko naomba tuyaweke hapa tusaidiane na tushee experience

    Naombeni tusaidiane katika hili jamani ili tuweze kujipanga na Saili za sehemu Mbalimbali
  2. JamiiForums Tanzania Moderators naomba kuanzia Sasa nitambulike kama "Mtanganyika" hapa jamii forums

    Naleta ombi langu kwenu nataka kubadili utambulisho wangu hapa jamii forums kutoka Ngara23 kuwa " Mtanganyika" Nahitaji kuanzisha harakati za Kufufua utambulisho wa Taifa la Tanganyika, historia yake, utawala Naona Sasa Watanganyika tumejisahau Taifa letu la Tanganyika limekufa Tunatawaliwa...
  3. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa mtandao naomba msaada hio clip

    Nimetumiwa link ambayo ni video clip sasa nataka ni download iingie kwenye simu kama video zingine nafanyaje wadau https://youtube.com/clip/Ugkx_ViWoPek1CWrvf5neyJnxVdvI-ySK50H?si=6m-ykzOiXRW6R2MO
  4. JamiiForums Tanzania Naomba kujua gharama ya kusafirisha tani (1000kgs)ya mchele kutoka Mbeya kwenda Kampala(Uganda)

    Habari wadau, Wakubwa shikamoni, wengine habari zenu! Naomba kujua gharama ya kusafirisha tani( 1000kgs) ya mchele kutoka Mbeya kwenda Kampala. Na pia kama kuna mtu anafanya hii biashara genuinely na anatafuta soko nchini Uganda, tunaweza kuzungumza na kushauriana. Asanteni.
  5. JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza tu !.Sio kwa ubaya ina maana wastaafu Polisi baada ya kufainikisha 2025 CCM inapita kwa haya mtakuwa na malipo makubwa au nafasi kubwa

    Sina ubaya na polisi wetu ila kuna wengine naona washapewa maziwa na asali. Haya ambayo hata mwano wa milambo tabora waliofukuzwa anaweza kukubari mzazi wake au ni pesa. Yani pesa mnazo zitaka,damu za watu pamoja kulinda wao ina maana juice ya pasheni inatakiwa kuwa na limao sana. Kwa dunia...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa kilimo naomba kujua madhara ya dawa ya kuua magugu shambani

    Habari zenu wa kulima wenzangu nnashamba langu lina magugu mengi sana na uchumi haujakaa vizuri nnataka ninunue tu dawa ya kuua magugu nipulizie hila sijawahi kutumia naomba kujua km kuna madhara yoyote kwenye mimea iliyopandwa
  7. JamiiForums Tanzania naomba mwenye kujua au maswali ya written ya interview ya Afisa utamaduni II

    Afisa utamaduni II nimechaguliwa kwenda written interview lakini sijui maswali yanatokaje, naomba kueleweshwa
  8. J

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kwenye hili

    Kuna hili suala la currency exchange hua linanichanganya Mfano, uki google Currency exchange online such as 1 MK (Malawi kwacha) to Tsh 1.7 hivi Nimejaribu kutuma Tsh 1000 kwenda Airtel Malawi nikaambiwa ntapata Mk 679 hivi Ila sasa ukiwa Border au ukimtumia pesa wakala alie mpakani kati ya TZ...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba mwenye takwimu za vitongoji visivyo na umeme Mtwara na Lindi

    Wakuu natafuta sana takwimu za vitongoji visivyo na umeme mtwara na Lindi. Nahitaji sana hizi taarifa kwa ajili ya matumizi fulani ya kitaaluma. Nilikuwa nahitaji walau majina au source nayoweza kupata hizo data. Asante.
  10. JamiiForums Tanzania Kwa wanaohitaji kijana Mdogo wa miaka 18 katika kazi kama dukani n.k naomba tuwasiliane.

    Habari wakuu . Yupo Kijana Ana hizi sifa Miaka 18 Elimu form four Ila hakufaulu. Uzoefu wa kazi Kazi za kusimamia Nyumba na shughuli za bustani. Kuuza dukani Kuhusu mdhamini yupo mama yake anamdhamini . Kijana anatokea singinda ni Kijana wa kujituma Sana. Waweza piga namba hii...
  11. JamiiForums Tanzania Mwanamke na Mwanaume kabla hamjatanuana miguu naomba mkumbuke haya

    Leo nikiwa kwenye safari zangu nimemuona mwanamke mmoja anamburuza mtoto mwenye umri wa miaka kama 3 au 4 na kumlazimisha mtoto atembee na mtoto alikuwa analia amechoka. Ikabidi nimsimamishe nimuulize vipi naona mtoto analia. Akanambia anaelekea Vingunguti na hana nauli hivyo wanatembea...
  12. JamiiForums Tanzania Wewe jamaa unaemsusa mkeo hapa Dodoma naomba tusilaumiane kwa kitakachotokea, tafadhali mrejee mkeo

    Nimeamua kuja kuandika ili kama ni msomaji wa JamiiForums basi utachukuwa hatua, mkeo amekusalia mtoto mzuri sana na mke pia ni mzuri ila unacho fanya kumsusia mkeo kisa ishu ndogo hivyo mnagombna basi ujue mke ana taabika sana, na usipo mrejeaa usitulaumu maan kazi unayo na pesa uanzo ila ni...
  13. JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza tokea kupata uhuru kuna raia wa msumbiji ambao walikuwa sio raia Zanzabar?

    Naangalia taarifa ya habari ITV leo nimebaki mdomo wazi mwenye kuelewa kuhusu ZNZ ilikuwa ina raia wa msumbiji ambao sio Zanzibar.
  14. C

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi juu ya umiliki wa hii ardhi

    Habari wanajf! Jamaa alikuwa anamiliki kiwanja. 2022 Akaenda ofisi za Ardhi kwa lengo la kupima kiwanja chake, baada ya vipimo akaanza mchakato wa kuomba hadi, kabla hajafanya malipo kwa ajili ya hati akapata dharura na kusafiri ambapo alirudi mwaka huu, amekuta kile kiwanja chake tayari kuna...
  15. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa mafanikio ya AU!

    Zaidi ya kubadilisha jina kutoka OAU na kuwa AU, ina mafanikio gani tena? Mtandaoni wameandika andika lakini sijawaelewa! 1. Ni kweli imefanikiwa kuondoa ukoloni barani Afrika? 2. Ni kweli imefanikiwa kuondoa migogoro miongoni mwa wanachama wake? 3. Ni kweli...?
  16. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya online business

    Habari wakuu wa JF nyote. Nipe mbele yenu nahitaji ushauri, mawazo na hata connection juu ya masuala ya online business. Mimi ni kijana na nilipo nina access ya internet (kuanzia saa tatu asubuh hadi saambili usiku) hivyo naona kutumia fursa hii kuangalia tu video tiktok na kuzunguka mitandaoni...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa vyombo vya habari Tanzania, naomba wanahabari mtujubu

    Juzi nimesikia kelele na ngonjera za kusifia uhuru wa vyombo vya habari hapa nchni. Jana bunge la ulaya lilijadili hali ya haki za binadamu mchini. Hii ni habari kubwa sana kwa viwango vyovyote. Nimepitia karibu magazeti yote ya leo hakuna hata mojo lililothubutu kuandika habari hiyo. Hivi mtu...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa sina kazi ila nina milion 40 sasa ni jenge au nifungue biashara? Naombeni ushauri wenu

    Habari zenu wakuu! Nimekuja hapa mwa ajili ya kuomba ushauri kwa sababu wapo watu waliopitia hali kama hii yangu Nilikuwa nafanya kaz kwenye mradi mmoja Usaid sasa baada ya pilika za trump kazi ikawa imeisha rasmi mwez wa 4 ! Nina mke na watoto wawili ambao wao walikiwa kwenye shirika...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa kuhusu wingi wa damu je damu ya 16.5 kwa mwanamme ni nyingi au kawaida?

    Baada ya kuhisi homa za mara kwa mara kwa kipindi kirefu kuumwa kichwa,viungo kukosa nguvu kupata kichefuchefu mda mrefu nikaenda hosptal nikapimwa mkojo upo sawa,skar ipo sawa,presha ipo sawa doctor akanambia nina damu nyingi ambayo ni 16.5 akaniomba niende kuchangia ili kuondoa hali hii...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu

    hapo si fresh au miyeyusho?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…