nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania UTABIRI: Bernard Membe kumrithi Rais Samia S. Hassan

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri. Huu ni utabiri wangu wa kimaono. Mwenye Presidential Image ndani ya CCM kwa sasa sioni zaidi ya BCM a.k.a kachero mbobezi. Pamoja na uzoefu wake ktk siasa, wenyeji ktk chama, na weledi wa mambo ya kimataifa BCM ana ziada ya mvuto wa nafasi ya urais. Ni wazi...
  2. JamiiForums Tanzania Makamba unampa taarifa za uongo Rais kwa faida ya nani?

    Kwa Mujibu wa Hotuba ya Bajeti ya Waziri wa Nishati kwa mwaka 2021/2022 nanukuu "Kuendelea na Ujenzi wa Mradi wa Julius Nyerere Hydro Power Project (JNHPP) MW 2,115 ambao hadi kufikia mwezi Mei, 9 2021 utekelezaji wake kwa ujumla umefikia asilimia 52'" mwisho wa kunukuu. Sasa juzi Januari...
  3. JamiiForums Tanzania Nani anajua historia ya nini chanzo cha kuwepo kwa mti wa Xmas?

    Wakati tukielekea kwenye sherehe kubwa inayoadhimishwa na waumini wa dini ya kikiristo ulimwenguni kote Christmas. Nimekuwa nikiona watu wanapamba nyumba zao na mti almaarufu Christmas tree. Naomba kujuzwa historia ya matumizi ya xmass tree, kuna uhusiano gani wa tukio lenyewe na mti huo.
  4. JamiiForums Tanzania Taarifa hizi za Mradi wa JNHPP zimefichwa kumlinda nani?

    Taarifa muhimu kuhusu Mradi wa JNHPP zimeshindwa kuwekwa wazi licha ya kutambua kuwa Mradi huu ni wa watanzania na wala sio mali binafsi ya familia ya 'Watu wazuri hawafi" Ni sababu zipi zilizosababisha watanzania washindwe kuambiwa Mradi utakamilika lini? Ni sababu zipi zilisosababisha...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nani kamuelewa Spika Tulia?

    Anataka kusema tulikuwa hatupati chakula cha kutosha kwasabb ya ukosefu wa mito? Mito yooote iliyosambaa kila kona nchi hii imeshindwa kutupatia chakula kwasabb gan? Na je, hizo sababu zimepatiwa ufumbuzi? Hahaha! Analeta ngonjera zile zile za gesi ya Mtwara. Walidai Mtwara itakuwa kama...
  6. JamiiForums Tanzania Nani kaenda Christmas Moshi?

  7. JamiiForums Tanzania Je, ni nani huyu mwekezaji wa kutujengea reli kipande Cha Uvinza-Gitega?

    Kwanza kabisa siungi mkono utaratibu wa kukatana kwa kusafirisha mzigo ni utaratibu mgumu sana. Huu ni mkopo pia lakini usioeleweka kabisa, maana marejesho ni kukatana kwenye mizigo utafikiria biashara ya michele kule Mbeya. Bora serikali ichukue mkopo kutoka kwake wawe na time frame ya kulipa...
  8. JamiiForums Tanzania Kati ya Rais Samia na Hayati Magufuli nani aliona vizuri kuhusu idadi ya wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM?

    Hayati Magu alipunguza wajumbe wa NEC wa CCM, Samia kaongeza idadi, nani aliyeona kwa jicho la makengeza kati ya hawa Wenyeviti wawili?
  9. JamiiForums Tanzania Watu 'Powerful' 12 ni akina nani hadi waachiwe kuharibu Bonde la Ihefu?

    Ni taarifa inayoonesha kwamba hatutaendelea. Tuna kundi la watu wa hovyo, lakini wanaitwa ni powerful! Kwa maoni yako endelea;
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa nani zaidi kati ya Messi na CR7 wafungwa rasmi kibabe: Inahitaji mtu awe na kinasaba cha ubishi kuendeleza mjadala huo!

    Mechi ya jana ya fainali kati ya Argentina na Ufaransa pamoja na kutoa jibu ni nani atakayetwaa kombe la dunia mwaka huu, ilitoa jibu pia ni nani zaidi kati ya Messi na Christiano Ronaldo. Nikiri kwamba mimi ni timu CR7 lakini nimenyoosha mikono!! Messi ni zaidi ya kuwa zaidi! Wenye vinasaba...
  11. JamiiForums Tanzania Tabiri nani atashinda katika nafasi hizi baada ya ya Kombe la Dunia kuisha hii leo?

    Mwana Jamii Sport ikiwa tunaelekea Mwishoni kabisa Mwa Mashindano Makubwaaa Duniani ambayo yamefanyika pale Qatar kwa Ma-Sheikh upi utaburi wako katika Nafasi hizi? 1. Mfungaji Bora Hadi saa hizi 2. Goli kipa Bora 3. Kinda Bora Wa Mashindano 4. Top Assistman 5. Mchezji Bora wa Mashindano...
  12. JamiiForums Tanzania Ni Messi vs Mbappé fainali ya FIFA World Cup leo, Unampa nani kete yako?

    #FIFAWorldCup2022: Ni Desemba 18, 2022 Dunia itashuhudia Fainali za Kombe la Dunia lililoanza Nov 20, 2022 huko Qatar kwa kuzileta pamoja Timu za Mataifa 32 zilizomenyana kwa jumla ya Mechi 64. Leo katika Dimba la Lusail Stadium, Al Daayen watakutana Mabingwa mara 2 wa #KombelaDunia Timu za...
  13. JamiiForums Tanzania Leonard Mahenda Qwihaya ni nani hasa kwenye Chama cha Mapinduzi?

    Mshindi wa kwanza wa Kura za Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Ndg. Leonard Mahenda Qwihaya aliyepata kura 845 ni nani hasa kwenye Chama cha Mapinduzi? Mwenye historia yake atusaidie nasi tusiomfahamu tumfahamu.
  14. JamiiForums Tanzania Kati ya Mama na Mke Nani anapaswa kukaa Siti ya mbele wakati unaendesha Gari?

    KATI YA MAMA NA MKE NANI ANAPASWA KUKAA SITI YA MBELE WAKATI UNAENDESHA GARI? Anaandika, Robert Heriel Rafiki yangu Hosea amenipigia simu akaniuliza hivi; Kati ya Mama yake na MKE wake Nani anastahili kukaa SITI ya MBELE ya GARI wakati yeye(Hosea) anaendesha Gari? Nikaona niilete mada Hii...
  15. JamiiForums Tanzania Nani anatakiwa kupiga goti hapa?

    Salaam Wakuu, Nimekutana na hii clip hapa chini. Je nani anapaswa kupiga goti kati ya mwanaume na mwanamke wanapovalishana pete? Binafsi naona ni tamaduni za watu tu hizi vyoyote ni sawa. Tazama clip hizi hapa chini.
  16. JamiiForums Tanzania Mwaka umeisha unataka kumwambia nani na nini humu JF?

    Mwisho wa mwaka unakaribia Sasa sijui ninani unataka kumwambia Nini mie nawatakia sikukuu njema wanajf wote
  17. JamiiForums Tanzania Nani kaimba huu wimbo?

    Kwenye hii clip kuna wimbo unapigwa hapo anayefahamu msanii na jina la wimbo atusaidie tafadhali.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa nani Kukudanganya kuwa Kufokafoka Kwako Redioni / Runingani ndiyo Kuendeleza Sekta ya Michezo?

    Tokea Rais Samia akuteue katika hiyo Wizara umekuwa ni Mtu tu wa Kufokafoka huku ukiwa na Vitisho vingi kama Kawaida yako. Labda nikuulize Waziri Mchengerwa tokea uanze Kufokafoka Kwako huku kuna Maendeleo yoyote yale labda umeyapata / yamepatikana? Hufai kuwa Waziri Wetu wa Michezo.
  19. JamiiForums Tanzania Utatoka na nani wa JF?

    Mnavyojua tena mwisho wa mwaka, huwa kuna mambo mengi; ata kama ni bahili sana, itabidi kujichanga changa hata kidogo, angalau nawe uweze kusherehekea pale panapo wezekana. Na sherehe inafana zaidi, pale unapokuwa na kampani au mwenza wako wa karibu. Kwa upande wangu, mi nitatoka na huyu mdada...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo: Nasakwa sana, sili wala sinywi ovyo nisije kuwekewa sumu. Labda wanivizie getini wanipige risasi

    Mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo amesema wasiojulikana wanamsaka kila kona lakini hatamuweza kwa sababu yeye siyo lofa. Gambo amesema hali wala hanywi hovyo kwa sababu anaweza kuwekewa sumu, hivyo kwa sumu hawatampata labda wanivizie getini wampige risasi! Gambo amesema hata ofisini kwake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…