nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania MwanaCCM huyu ni nani? Anaitaka Serikali kutowaruhusu wachekeshaji kuongelea suala la bandari kwa niaba ya watanzania au Serikali! awataja Kitenge

    Mwana CCM huyu ameng’aka kabisa kuwa nimakosa makubwa Serikali kuruhusu hawa comedian(wachekeshaji) kuongelea suala la bandari Anasema hawa wengi ndio wanasababisha mjadala kuwa mgumu na kuonekana na upotoshaji kwakuwa hawajui vitu muhimu vya kuongelea Ameiomba serikali kuto ruhusu kila mtu...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Zuwena wa Diamond Platinum ni nani kiuhalisia?

    Umuofia kwenu, Igweeeeeee. Shwari wapenzi wana JF. Naomba ku-declare interest kwamba mimi ni shabiki kindaki-ndaki wa Diamond Platinumz. Kulingana na uhalisia wa jamii tunamoishi, nimejikuta nautafakari sana wimbo wa Zuwena ambao gwiji huyu wa bongo fleva aliuachia muda si mrefu. Mwanzoni...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Natamani kujua, Mwenyekiti wa Jimbo la jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaitwa nani?

    Natamani kujua, Mwenyekiti wa Jimbo la jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaitwa nani? Jamani hili swali limenishinda. Nisaidieni.
  4. JamiiForums Tanzania Nani Ana ufahamu na IHC GROUP ?

    Katika pita pita zangu kutafuta ajira huko LinkedIn, nimekutana na hili shirika limeweka job post, kwenye Tangazo wameandika kazi itafanyika kapiti-singida lakini nilipoenda kwenye website yao wameandika ni New Zealand Nafasi ya kazi ni Mental Health Support Worker - Paraparaumu, Kapati...
  5. JamiiForums Tanzania Namtafuta Rafiki yangu Shunie. Tulipotezana humu mwaka 2015 mwanzoni enzi za JK

    Wakuu mpaka Leo huwa najiuliza Shunie alienda wapi loo!! Huyu mtu tulipendana Sana humu JF Enzi hizo ndiyo alikuwa bae wangu humu kila Uzi lazima atupie comment kipindi hicho humu JF kulikuwa na ladha ya kipekee Sana. Shunie popote upatapo ujumbe huu nakutafuta mwenzio ni Kitambo sana...
  6. JamiiForums Tanzania Hata kama leo hatujauzwa, ilitokea kesho tumeuzwa ni nani atajua?

    Kinachoendelea Kuna maneno yanapita huku na kule yanachanganya..., wengine wanasema tumeuzwa wengine hatujauzwa; hata wale wanaobisha wengi wao hawana access ya information, zaidi ya hearsay za hapa na pale au fulani kasema na fulani hajasema au kilichoandikwa kinamaanisha hiki na sio kile...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mdude wa CHADEMA ni nani hasa?

    Naomba kujua historia ya huyu bwana mdogo kwa anayeijua. Anajiamini na ana misimamo mikali kama muasisi wa CHADEMA hayati Tuntemeke Sanga. Hata Sugu kabla hajachakachuliwa alikuwa na misimamo mikali sana hasa alipoporwa mradi wa vyandarua😀😀.
  8. JamiiForums Tanzania Ulivyokuwa mdogo ulikuwa na ndoto ya kuja kufanya kazi gani?

    Leo nimekumbuka kipindi nipo mdogo nilikua na ndoto ya kuja kua Miss Tanzania. Akili yangu yote ilikua inajua Miss Tanzania ni kazi kama daktari, mwanasheria, mwalimu au kazi zingine. Nilivyofika form 1 ndo nikajua kumbe sio kama nilivyodhani, hapo nikapata mawazo ya kua mwanauchumi mpaka sasa...
  9. JamiiForums Tanzania Wazee wa Dar es Salaam ni akina nani?

    Tafakuri Jadidi: Wazee Wa Dar Es Salaam Ni Akina Nani? - Je, Sifa Za Mzee wa Dar es Salaam Ni Zipi? Jibu: Ndugu zangu, Kuna wakati Rais wa Jamhuri, Samia Suluhu Hassan, alipata kuongea na Wazee wa Dar es Salaam. Kwenye juzuu ya kwanza kati ya tatu ya kitabu ' The Making Of A Philosopher...
  10. JamiiForums Tanzania Mkude anaenda kumuweka nani benchi katika kikosi cha yanga?

    Mkude ni kiungo namba 6. Amesajiliwa yanga baada ya kumaliza mkataba wake na Simba. Yanga ni timu yenye utajiri wa viungo. Hivyo kuna ushindani mkubwa wa namba. Mkude anaenda kuchukua namba ya nani kikosini yanga?
  11. JamiiForums Tanzania Nani anakumbuka ajali ya msafara wa Rais Hayati Mkapa dhidi ya lori kwenye kona ya Bwiru mkoani Mwanza

    Nakumbuka harakati za ubifsishaji enzi za Mkapa na mwamko uliokuwepo enzi zile dhidi ya mzee Mkapa hasa wakosoaji wakubwa wakiwa wastaafu hasa kundi la Nyerere, wananchi wa kawaida nao wakikomaa na kusema kuwa nchi yao inauzwa Mkapa akawa adui wa watu wengi hadi watu kuita umaskini eti "ukapa" ...
  12. JamiiForums Tanzania Wanaoukubali mkataba wa makubaliano na wanaoupinga nani wana haki?

    Ni aibu kuwa tangu tupate uhuru zaidi ya miaka 60, hatuna uwezo hata wa kuendesha bandari zetu kwa ufanisi. Najua inauma. Hivi karibuni kumekuwa na mgawanyiko mkali baina ya watawala walioamua kubinafsisha/kuuza bandari zetu kama ni kweli na wale wanaopinga wakiwatuhumu ufisadi na kutojali mali...
  13. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba kwasasa haieleweki huu Mungano wa Tanganyika na Zanzibari ni kwa faida ya nani

    Je ni kwa faida ya wazanzibari maana they are offering lesser if any than what they're gaining . Kumbuka hawa jamaa wana inchi yao, wizara zote, board yao mokopo chuo kikuu, rais wao, wana kila kitu kama serikali. It is very likely kwenye huu Mungano zanzibari wamechangia jina tu "zanzibari "...
  14. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kidogo. Ni nani huyu?

    Litania ya ushindi
  15. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwamposa ni nani Tanzania hii hadi anaruhusiwa Kubomoa Uzio uliojengwa kwa Ajili ya Matamasha yake Tanganyika Packers Kawe?

    Tena akiwa na Matamasha yake Makubwa ( hasa ya Mkesha ) huwa anawaambia Watu wa NHC Wanaoendelea na Ujenzi wa Nyumba za Samia Housing Scheme kuwa anaomba abomoe Kuta na akimaliza anawaambia atajengea. Haya Mamlaka Mwamposa anayatoa wapi? Na kwanini au kwa Faida ipi? Je, Wengine nao wakiamua...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Hii ndoto imenisumbua sana usiku kucha, ni nani huyu?

    Wajumbe, katika Imani zote hata za kina Yericko Nyerere tunaambiwa tusipuuze ndoto na hasa ndoto za usiku wa manane. Jana nimeota namuona kiongozi mwandamizi wa chama fulani akiwa amevalia nguo za kijani akiwa na kundi la vijana wakimshangilia lakini ghafla akapigwa mshale wa ubavuni na kufa...
  17. JamiiForums Tanzania Nani kaua kwa michano katika hii ngoma mpya ya Izzo Bizness inayoitwa "Nilipotoka”

    Wazee wazee wazee, recently hizo bizness kaachia chuma ambacho ndani yake kuna wakali kibao wa hip hop waliotupia verse zao. Versa ya kwanza kabisa unakutana na one the incredible akiwa kafanya yake, verse ya pili anaipokea izzoo naye katupia swagger zake pale verse ya tatu ni mnyama chaba...
  18. JamiiForums Tanzania Pitia CV's za 'Kienyeji' za hawa watu wawili kisha niambie kati yao Mcha Mungu wa kweli ni yupi?

    #1. adriz Anasali kila siku, anatoa Sadaka, anaimba kwaya, ana maisha ya juu (Tajiri) husoma neno Kanisani, ana maringo (majipu), dharau anazimiliki yeye, mpenda majungu, Mfitini tukuka na anaaminika na wasiomjua. #2. GENTAMIYCINE Ana mwaka wa 11 sasa hata Mlango wa Kanisa Katolilki haujui...
  19. JamiiForums Tanzania Nani alilipia gharama za Dkt. Slaa na Lipumba kuponda maraha Kigali mara baada ya kuisaliti UKAWA mwaka 2015?

    Mwaka 2015, uchaguzi wa Tanzania ulikuwa na Rwanda factor. Dk. Slaa na Lipumba, mara baada ya kuisaliti UKAWA, walipelekwa kwa ndege ya kukodi mpaka Kigali, wakawekwa kwenye hoteli ya kifahari sana na ulinzi mkali wakipewa Kila wanachotaka. Walikula maisha sana, baadae, Kila mmoja akapewa...
  20. JamiiForums Tanzania Unabii(uprophet) na uaskofu makanisa mapya unatolewa na nani?

    Kuna utitiri wa manabii na maaskofu wapya kila kukicha, wapata vipi hiyo hadhi? Na uzuri wana waumini wengi wanaoamini kisawasawa hasa mama zetu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…