nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nani anatumia jina la Zawadi Mauya pale Yanga kwenye mashindano ya CAF Champions League?

    Habari za mda huu Wana michezo Kila ukiangalia squad ya yanga akiwa anacheza Champions league kuanzia mechi ya kwanza na Al HILAL naona jina la zawadi MAUYA Nikajua maybe ni kosa la AZAM TV mechi ya juzi na MC ALGER pia jina Hilo limejitokeza Je yanga mambo yao yanaendeshwa kihuni tu bila...
  2. JamiiForums Tanzania Unayeamini kwamba ajira hutolewa kwa kujuana, tuambie Magufuli alijuana na nani mpaka akawa Rais wa nchi

    Mnaosema kama hauna mzito unaye fahamiana nae serikali/ shirika fulani huwezi pata kazi, haya mbona uncle magu alilamba uraisi na alitokea chato, kwanini wewe unaamini katika connection? Mbona uncle magu alitoboa bila ya connection?
  3. I

    JamiiForums Tanzania Wabunge akina nani walipata ajali Dodoma

    Kwa nini majina ya wabunge wetu waliopata ajali wakiwa safarini kwenda Kenya kwenye michezo hayajatajwa? Kuweka siri majina yao kunaashiria nini kwa mustakabali wa Taifa? Ni haki yetu wananchi kufahamu maendeleo ya afya za viongozi wetu na kutuficha ni makosa!
  4. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni ni nani?

    Sifahamu mengi kuhusiana na bunge la sasa! 1. Nani kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni? 2. Nani mnadhimu wa kambi ya upinzani? 3. Kuna mawaziri vivuli katika bunge la sasa? Wamepatikanaje?
  5. JamiiForums Tanzania Askofu mfufua wafu aliyeiba kura za wapinzani ni nani?

    Kwenye wimbo wa nipeni maua yangu wa msanii Roma kuna mstari unasema hivi: Askofu mfufua wafu anaiba kura za mpinzani atashindwaje kuiba sadaka za waumini kanisani. Mchungaji akitaka gari twamchangia muumini akitaka gari twamuombea, basi mchungaji tusimpe sadaka tuombee tukae pale tushuhudie...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Hawa Hamas wanaopigana dhidi ya Israeli ni kina nani hasa?

    Tupate elimu kidogo wana JF: Hamas ni chama cha siasa ambacho kinatawala ukanda wa Gaza. Ingawa ni chama, lakini pia Hamas ni kundi la wanamgambo wenye silaha mfano wa jeshi. Hamas ni ufupisho wa maneno Harakat al-Muqawama al-Islamiyya ambapo kwa Kiswahili ni Vuguguvu la Upinzani la Kiislamu...
  7. JamiiForums Tanzania JWTZ ni Wananchi, wanaopiga kura ni Wananchi. Je, Jeshi linatakiwa kukaa tayari dhidi ya nani?

    Watawala wa Afrika wanadhani JWTZ ni Wanachama wa CCM. Watawala wanadhani JWTZ ipo kwaajili ya kuwalinda wabaki madarakani. Nawakumbusha tu. JWTZ ni Jeshi la wananchi wa Tanzania. Na wapiga kura ni Wananchi wa Tanzania. Ni vizuri tukakumbushana haya. JWTZ si TPF, muulizeni Mama Nyerere...
  8. JamiiForums Tanzania Kama mbinguni Kuna utakatifu na hakuna dhambi Ibilisi(Shetani) alidanganywa na nani Hadi akaasi?

    Wakuu heshima yenu. Maandiko Yako wazi yanatuambia kuwa Shetani au Ibilisi aliasi huko mbinguni na akatupwa Duniani. Na mara zote tunaambiwa Huko mbinguni hakuna dhambi maana wanaishi viumbe watakatifu tu akiwako na Mungu Baba. Tena Bibalia inasema katika kitabu Cha mwanzo Nanukuu.. Mwanzo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Najiuliza wakati shetani anaasi mbinguni, alishawishiwa na nani? Maana hakukuwa na shetani muda huo. Binadamu tunashawishiwa na shetani dhambini

    Hili swali huwa najiuliza sana Ni nani alimshawishi shetani kumuasi Mungu? Na kwa nini Mungu asizuie shetani kuasi ?
  10. JamiiForums Tanzania Ahsante. Nani Angeamini Historia Niielezayo Kama Nisingeonyesha Ushahidi wa Picha?

    Yuko ambae anaweza kuniambia kuwa kauli yangu peke yake ingetosha na angeniamini bila ya ushahidi wa picha?
  11. JamiiForums Tanzania Nani amelitendea haki Jukwaa la Michezo kwa Mwaka 2024?

    Leo ni Desemba Mosi 2024, tumeingia mwezi wa mwisho kwa mwaka huu! Ni member gani amenogesha zaidi jukwaa hili kwa mwaka huu? Karibuni.
  12. JamiiForums Tanzania Kati ya Marekani na Israel nani bosi na nani anamtumia nani na kwanini?

    Bila fedha na silaha za Marekani, Israel ingekuwa marehemu. Huwa najiuliza. Nani anamtumia nani na kwanini? Je hapa tatizo ni uzawa wa Israel uliotengenezwa kijambazi na wazungu kupitia Biblia au wese la waarabu? Ukiangalia misaada inayotolewa na marekani kwa Israel unachanganyikiwa. Ni mingi...
  13. JamiiForums Tanzania Huyu Andy Bikoko aliyewafukuzisha Gamond na Uchebe ni nani huko Tabora United !

    Wanasema huyo Andy Bikoko ndiyo sababu kuu ya kuwafukuzisha wazungu wawili yanga na singida black stars klabu mbili ndugu wa damu. Eti ni jamaa moja katili sana liliwatia mfukoni Pacome, Azizi Ki, Chama, Maxi na Mzize jana tena Elvis Rupia, Ayubu Lyanga na wenzake wamekutana na jitu baya Andy...
  14. W

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Nani analinda kura ya HAPANA kwa mgombea wa chama kimoja pekee?

    Kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa za mwaka huu hakuna mgombea atakaepita bila kupigwa badala yake kutakuwa na kura ya NDIO au HAPANA kama itatokea mgombea ni mmoja katika nafasi husika. Vyama vya siasa vina haki ya kuweka mawakala katika vituo vya kupigia kula ikiwa vimetoa...
  15. JamiiForums Tanzania Kama wananchi wote wa Msumbiji wanaandamana kupinga matokeo nani aliipigia kura frelimo chama kikuu na kushinda?

    Aman iwe kwenu watumishi wa mfalme mkuu aliyetuumba na vyote vilivyomo naye ni MWEMA sana ni MWAMINIFU sana Nimekuwa ni mfatiliaji sana wa maandamano pale msumbiji lakin kitu ambacho nimekuwa nikijiuliza sana ni juu wa waandamanaji Waandamanaji ambao nimewaona ni kuanzia watoto, wanawake...
  16. JamiiForums Tanzania Ulipokuwa mtoto ulitamani ukiwa Mkubwa uwe nani?

    Wakuu, Leo ni Siku ya Watoto Duniani! Ulipokuwa mtoto, ulitamani kuwa nani? Je, umefikia ndoto zako, au bado unazifanyia kazi? Kumbuka, ndoto za watoto ni halali na zinaweza kutimia! Tuendelee kujenga mazingira yanayowawezesha watoto wetu kufanikisha ndoto zao
  17. JamiiForums Tanzania Nani ni Brand ambassador bora Tanzania kwa sasa kati ya Babalevo, Idriss Sultan, Mwijaku na Joti?

    Nilikuwa natazama nominations ya tuzo fulani hapa Tanzania. Nikaona majina ya brand ambassadors wanaochuana kama mnavyoona kwenye picha. Kwa mtazamo wako unadhani ni nani bingwa hapa kwa kuitambulisha bidhaa kwa mteja na ikamvutia na kuitumia? Mimi kwa sasa nasimama na Babalevo.
  18. JamiiForums Tanzania Hivi Tume ya gorofa la Changombe mnakumbuka? Mshawahi sikia majibu. Nasubiria engn wa kariakoo atakuwa nani

    Hizi tume binafsi sijawahi kuziamini kabisa zaidi ya kutumia kodi zetu. Hivi unajua engn wa lile gorofa la Changombe lilodondoka tukasikia tume ushawahisikia matokeo ya tume? Je wajua engn alietajwa kusimamia lile ghorofa n mmoja wa mabosi wakubwa. Soma Pia: Live Updates Kuporomoka kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Nani kati ya GSM na Hersi analitaka jimbo la Kongwa?

    Nimeona watu hawa wenye ushawishi mkubwa wametua Kongwa. Ni maandalizi ya uchaguzi wa mwaka 2025? Nani kati yao analitaka jimbo? Ni ziara ya kawaida au kimkakati?.
  20. JamiiForums Tanzania Swali kwa single Mothers: Siku ya harusi ya mtoto wako nani utakaa naye High Table? Baba mtoto au mume wako?

    Mkiyapata majibu ya swali hili mtajua umuhimu wa kulinda ndoa zenu. Maandiko yanasema mwanamke mjinga huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe. Umeolewa unakuta sms moja tu kwenye simu ya mumeo unaondoka na watoto.unaenda kuolewana lizee au unageuka nyumbandogo ya mume wa mtu. Hao watoto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…