MaweSaba
JF-Expert Member
- May 3, 2024
- 356
- 504
Kwa wenyeji wa Dar Es Salaam Kwa miezi kadhaa sasa tumeshuhudia mabasi mapya kabisa ya Kijeshi jijini, na yana nembo kubwa imeandikwa "Tanzania Military".
Jeshi la Tanzania linafahamika kama JWTZ au TPDF (Jeshi la Wananchi wa Tanzania).
Je, ni kosa la kiufundi au?
Jeshi la Tanzania linafahamika kama JWTZ au TPDF (Jeshi la Wananchi wa Tanzania).
Je, ni kosa la kiufundi au?