nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania MWONGOZO rasmi wa kiroho wa kufuata mnapokuta maiti ya mtu ameuawa mtaani kwenu na hamjui nani kamuua

    Wadau hamjamboni nyote? Huu ndiyo utaratibu wa kufuata inapotoea mtu ameuawa kwenye maeneo yenu na aliyemuua mtu huyo hajulikani Kumbukumbu la Torati 21:1- 9 1 Aonekanapo mtu ameuawa katika nchi akupayo Bwana, Mungu wako, kuimiliki, amelala kondeni, wala haijulikani ni nani aliyempiga; 2...
  2. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Huyu Sheikh haogopi? Anaitwa Sheikh nani?

    Amenishtua sana. Sijui anajiamini nini huyu.
  3. trojan92

    JamiiForums Tanzania Nani kati ya hawa viongozi unamuona kiongozi bora wa muda wote?

    Tanzania imeongozwa na viongozi wengi hususani maraisi? Yupi ni rais wa bora wa mda wote kwako? 1. JK Nyerere 2. Ali Hassan Mwinyi 3. BW Mkapa 4. J M Kikwete 5. JP Maguful 6. SS Hasani
  4. W

    JamiiForums Tanzania Kimewaka Kendrick Lamar VS Lil' Wayne. Unadhani nani anastahili kuperform Super Bowl 2025?

    Wakati Waandaji wa Tamasha la Super Bowl Halftime wakimtangaza Kendrick Lamar kama mtumbuizaji mkuu, mjadala umeibuka Mitandaoni, baadhi ya mashabiki wakimtaka Rapa Lil Wayne Katika mijadala hiyo, wapo wanaodai Kendrick ni msanii mkali sana lakini, si chaguo sahihi kufanya tamasha katika mji...
  5. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Dar es Salaam kuna kikosi kazi cha utekaji

    “Kama Chama tumechunguza kutoka vyanzo vyetu vya ndani na vingine vya ndani ya Jeshi la Polisi na Vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama, nitaeleza kwa kifupi tulichogundua na tunaowaonyooshea vidole ili Polisi na hao wengine watusute watuambie Mbowe mnasema uongo, uchunguzi wetu unatupeleka wapi...
  6. USSR

    JamiiForums Tanzania Huu mradi ulikuwa wa nani ?

    Watu wamekula keki ya taifa kupitia zana USSR
  7. SirAlfred006

    JamiiForums Tanzania Nani anayemjua huyu?

    James Baldwin
  8. chakula cha watoto

    JamiiForums Tanzania Kili Paul ni nani hapa Tanzania mpaka anapata followers wote hawa?

    Huyu Masai Hana muda sana tangu aingie au kujiunga social media kama Instagram na TikTok ila followers wanazid Kwa Kasi ya 5G,na Hana hata miaka 4 . Diamond, Millard, Wema, Shilole na wengine hasipokuwa wabunifu anaenda kuwapita followers Kama upepo Je huyu ni nan? Ana mvuto gani mpaka aongoze...
  9. Alubati

    JamiiForums Tanzania Huu wimbo unaitwaje? Kaimba nani?

    Anaimba " bwana we .. bwana weee....niambie ukweliii...bwana we ...bwana weee.... nimechoka kudanganywaaaa... Kiitikio- wacha wacha wacha wacha wacha uongo wako bwanaaa eeeh! Nimeshagundua... na yule jirani ii.. na picha niligundua nikipokuwa nikifua aa... * Aliimba mwana mama mwenye sauti...
  10. toriyama

    JamiiForums Tanzania Ukituma sms yeye neno "SEX" kwa mtandao wa TIGO ujumbe haziendi/kumfikia mlengwa nani kuruhusu hili?

    Ukituma sms yeye neno "SEX" kwa mtandao wa TIGO ujumbe haziendi/kumfikia mlengwa nani kuruhusu hili? Lakini ukiandika kwa kuacha nafasi sms inaenda au ukiweka alama katikati ya neno SEX mfano SE.X sms ndio inaenda nani kuruhusu mambo haya?
  11. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania China-Africa Summit: Nani anatuwakilisha?

    Kama mjuavyo mkutano wa 9 wa Ushirikiano wa China na Afrika unaanza Karibuni. Je kama Taifa Nani anatuwakilisha huko? Boeing 787 kwa hewa hadi China? I'm sorry Januari! NB: Katibu Mkuu wa Chama asikose kwenye msafara tafadhali. Pia, Wasanii wa bongo movie 200 wasisahaulike kwenye hii...
  12. Comrade Ally Maftah

    JamiiForums Tanzania Peodoh Pacome Zozuzoua kiungo mshambuliaji wa klabu bingwa ya soka Young Africans

    PACOME NI NANI, AMETOKEA WAPI, NA ANA SIFA ZIPI ZINAZOMFANYA KIWIKA KATIKA SOKA LA TANZANIA Na Comrade Ally Maftah PACOME WA MCHONGO Peodoh Pacome Zozuzoua kiungo mshambuliaji wa klabu bingwa ya soka Young African ( YANGA ) amezaliwa katika mji wa Abidjan Autonomous pale Cote D Ivore ( Ivory...
  13. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Tutapate raha kwa matani na picha za vichekesho leo weekend

    Tutapate raha kwa matani na picha za vichekesho leo weekend
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Nani kubeba tuzo ya Msanii bora wa Kiume kwa Bongo kati ya mafahari hawa?

    Kamati ya Tanzania Music Award (TMA) leo August 29,2024 imeanza kutangaza Nominees wanaowania tuzo za muziki Nchini kwa kuanza na category tatu ambazo ni Mwanamuziki bora wa kiume wa mwaka, wimbo bora wa taarabu wa mwaka na wimbo bora Afrika Mashariki, Kusini na Magharibi. Wimbo bora wa taarabu...
  15. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Meja Jenerali Isamuhyo ni nani?

    Kawaida unaposikia jengo, barabara, daraja, uwanja nk. vimepewa jina la mtu fulani basi kuna uwezekano mkubwa wa mtu huyo kuwa na mchango mkubwa katika kufanikisha jambo hilo au kafanya mambo makubwa katika taasisi husika. Uwanja unaotumiwa na JKT Tanzania umepewa jina la Meja Jenerali...
  16. Street brain

    JamiiForums Tanzania Maisha yako ni jukumu lako

    Unajua kwamba ukifa, the moment watu wamemaliza tu kukufukia(kuzikwa) dakika chache sana mbele vilio vyote vitanyamaza na watu wataacha kulia, tena wengine watakuwa wanacheka na kupiga story za kawaida kuhusu maisha yao wakati wanarudi majumbani. Usifikirie Ndugu na familia yako wote watakaa tu...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Mzee wa Msoga alikuwapo kumnadi Odinga kama nani?

    Kwenu wajuzi, kuuliza si ujinga: Si kwa ubaya lakini. Kwamba Kenyatta hayupo hapo ila huyu ndugu?
  18. trojan92

    JamiiForums Tanzania Nani bigwa Ligi kuu msimu wa 2024/2025 kati ya Simba Vs Yanga?

    Piga kura yako hapa
  19. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Familia ya Bakhresa azam ina mamluki sana mtapigwa sana hata mumsajili nani

    Hapo Azam kuna watu NI Simba na Yanga lialia hawana mapenzi na timu Hapo watu wakija wanakuja kama kusomba hela tuu USHAURI WANGU: Kuanzia benchi la ufundi wote watoke nnje ya nchi wasiwe watanzania Fumua uongozi wote, tena kama popat ndio Simba lialia, wakina zaka wote wale Wana timu zao...
  20. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Serikali Sasa Ituambie kwa Uwazi: Nani Anagharamia Uhamishaji wa Raia toka Ngorongoro Kwenda Msorero, Kuwajengea na Posho Walipwayo? Bunge linajua?

    Nisahihishwe, lakini nimejaribu kuisoma Budget ya serikali lakini sijaona mahali ambapo mabilioni yamepitishwa kuhamisha Wamaasai toka Ngorongoro kwenda Msomero Handeni wao na mifugo yao, kujengewa nyumba, ujenzi wa shule na zahanati kijijini hapo na miundo mbinu mingine. Wasiwasi wangu...
Back
Top Bottom