nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nani karuhusu hizi kelele za club nyuma ya Golden Rose hotel Arusha.. Hatumwogopi Mungu?

    KWAKO MKUU WA MKOA WA ARUSHA MKURG WA HALMASHAURI NA WENGINEOOO NILIKUJA KWENYE SEMINA MOJA ARUSHA NIMRONDOKA LEOOPOO ILA NILIYOYAONA ARUSHA YA ASIKITISHA SANAA SANAAAA KUNA CLUB IKO NYUMA YA GOLDEN ROSE HOTEL.... HII SEHEMU JTATU ASBH MPAKA SAA MBILI N MAKELELE YA MZIKI FUJO ZA WANAWAKE...
  2. JamiiForums Tanzania Mdogo wangu Ibrahim Ajib Migomba nani alikuroga ili tunaokujua kwa Kipaji chako Kikubwa Tanzania tujichange tukakuague?

  3. JamiiForums Tanzania Je, nini kimemuua mkuu wa Senior Vibwengo? Polepole episode ya 4 itawafanya WAJUMBE wa Kamati Kuu watizamane. Je, Majaliwa na Mpango watapona?

    Pole pole episode ya NNE Itawafanya kamati kuu kutizamana Je mwajua itazungumzia Nini?. Kikubwa ni chanzo Cha kifo Cha Hayati Magufuli na watatajwa wote walio usika na ushahidi wake All the best Ila Kassimu Majaliwa na Desdory Mpango hawako salama
  4. JamiiForums Tanzania Nani mshindi CCM Mbulu Mjini?

    Mwenye kujua Nani kaibuka kidedea jimbo la Mbulu Mjini!
  5. JamiiForums Tanzania Tumwamini Nani? Hayati Magufuli au Polepole?

    Tumwamini Nani? Hayati Magufuli au Polepole?
  6. JamiiForums Tanzania Nani mtaalam awe ananiombea Tender! Nitakua namlipa lakini

    Wataalam Tender za nest au zinginezo zinazohitaji application. Bundle juu yangu Other cost juu yangu Ww n kazi tu Fursa hii
  7. JamiiForums Tanzania Ndugai: Ndugu wajumbe nichagueni mimi kwasababu ni mke wenu mkubwa

    Katika kampeni zake za kuomba kura kwa wajumbe Ndugai kasikika akisema yeye ni mke mkubwa. Swali ambalo najiuliza bila kupata majibu. Je, mme wake ni nani mwenye wake wengi na kwamba yeye anajivunia ndo mke wa kwanza? Naomba ufafanuzi kwa hili jambo.
  8. JamiiForums Tanzania Lucky dube vs Bob Marley nani alikuwa bora kwako?

    Wakuu, kati hawa miamba wawili dube, Marley nani alikuwa mkali kwako? Kwangu mimi kura ipo kwa dube.
  9. JamiiForums Tanzania Huyu Mwanaezi Hassan Suluhu ni nani?

    Huyu mwanadada ni nani? Ana uhusiano gani na Rais Samia?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kurudi kwa kasi kwa matumizi ya Plasiki zilizokatazwa; Nani mnufaika?

    WanaJF, Naomba leo kuweka hili jambo hapa. Wizara inayohusika na mazingira wanakaa kimya kuhusu uchafuzi wa mazingira hasa mitaa ya miji. Plastiki laini hata ambazo zilikatazwa na Waziri zimerudi kwa kasi mtaani. Mbona waziri mhusika au idara husika haichukui hatua yoyote? Au wanasubiri mpaka...
  11. JamiiForums Tanzania Nani anafaidika na bomba la gesi toka Mtwara?

    Wanaboadi, hii kitu imekua kimya na huisikii popote tena baada ya taifa la shithole kukopa matrilioni ya pesa ambazo kenge tutalipa maisha yetu yote hadi vitukuu vyetu. Hatusikii kwenye bajeti, TRA, dira ya dunia ya bongo wala wapi! Mchango wake ni nini? Nani anapata maslahi yake? Nani...
  12. JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa nahodha mpya Simba Sports Club?

    Kufuatia kuondoka kwa Mohamed Hussein Tshabalala pale Simba nafasi ya captain imebaki wazi. Taja jina la mchezaji anayefaa kuwa nahodha mpya wa Simba
  13. JamiiForums Tanzania Nani mwenye nyimbo za namna hii kwenye playlist yake?

    Mimi napenda muziki hata usiwe maarufu au hitsong. Watu wengi uwa wanashangaa nyimbo nazosikiliza wanasema ni nzuri sometimes wanakuwa hawajazisikia kabisa. Nakupa list ya baaadhi ya nyimbo za hip-hop ambazo nazisikiliza sana. 1. Mercy Me - Jay Z Blame game - Kanye West Beware - Big Sean...
  14. JamiiForums Tanzania Huenda waha wa Kigoma wakamshukuru Rais Samia kwa miaka mingi ijayo hii SGR ya kutoka Tabora hadi Kigoma ni nani angeijenga kwa pesa nyingi namna hii

    https://youtu.be/CR33rwJsPKg?si=q0zQsyQ7wFv3SY8h Mnafahamu, Rais Samia anajenga mradi wa SGR kutoka Tabora hadi Kigoma kilometa 506 kwa TZS5.1Trilioni sawa na $2.2bn Mtaku,buka mradi wa reli ya kisasa (SGR) kutoka Tabora hadi Kigoma ni sehemu ya awamu ya sita ya ujenzi wa reli ya Standard Gauge...
  15. JamiiForums Tanzania Silvanus Mizengo Ole Pinda ni nani tena?

    Nimeona kuna hili limepenya kwenye hatua za awali za mchujo wa ubunge kwenye moja ya majimbo huko Arusha? Je mtu huyu ni nani na je ana undugu na aliyewahi kuwa PM Mizengo Pinda??
  16. JamiiForums Tanzania Nani anahusika na mateso ya Wapalestina huko Gaza?

    Tunafahamu ukweli kwamba kuna nchi barani Ulaya leo zenye idadi kubwa ya wahamiaji wa kiislamu Wakati mwingine, inaathiri sera za serikali zao kwa kuwakaribisha wahuni hao. Lakini hii haiwezi na haitaongoza Israeli kufanya maamzi ya kupelekeshwa na maamzi ya nchi zikiwa pokera waislamu kisha...
  17. JamiiForums Tanzania Ukizeeka unataka kuwa nani?

    Ujana unasemwa ni maji ya moto.. Hivyo harakati ni nyingi na ndoto ni nyingi na mipango ni mingi pia.. Lakini taratibu umri unavyosogea vyote hivyo hupungua na hatimaye kwisha kabisa.. Kuna mambo ya kufanya ujanani ambayo mtu hapaswi kufanya uzeeni Uzee una mengi yasiyopo ujanani na ndio maana...
  18. JamiiForums Tanzania Bashe umeudanganya Umma , nani mmiliki wa ndege ya kupuliia dawa?

    Nani ni owner wa hii ndege ya kupulizia dawa? Mwezi May tuliaminishwa kuwa serikali ya TZ imeinunuwa kwa hela nyingi sana. Current data zinaonyesha owner ni Africair walioko Miami, FL, USA. Britanicca
  19. JamiiForums Tanzania Nani anajua Kireno( Portuguese)

    Kuna fursa ya kazi; Nataka anayejua Kireno( Portuguese) Fluently. Aniachie namba yake hapo chini. Plz this is serious.
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mzee Butiku, Mzee Warioba vs Mzee Kikwete, nani mshauri mzuri?

    Salaam! Hata kiumri tu, ukimchukua Mzee Warioba, Butiku na Mzee Kikwete, nani Mzee anayeweza kumshauri vyema kiongozi wetu? Kimamlaka, Mzee Kikwete sababu ni Rais mstaafu anakuwa mtu muhimu kuliko wale wazee wengine wawili Butiku na Mzee Warioba, Sasa Katika mchakato wa kumpitisha mgombea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…