nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. ThisisDenis

    Mfanyakazi ni nani?

    Mfanya kazi ni nani ? Au ni mtu yoyote mwenye cheque number ?
  2. C

    Vijana wanaosoma Bachelor of Archaeology ili waje kuwa wakina nani?

    Unakuta kijana kabisa anaenda Chuo Kikuu kusoma BA Archaeology ili iweje? Dunia ya Leo kweli?
  3. Ndagullachrles

    Nani anaruhusu ujenzi wa vituo vya mafuta kwenye makazi ya watu?

    Wakazi wa kata ya soweto Manispaa ya moshi wanaoishi kwenye maghorofa sita ya Shirika la Nyumba la Taifa (HNC)kiwanja namba 89 Kitalu L barabara ya Arusha,wamepaza sauti wakipinga ujenzi unaoendelea kwenye makazi yao. Wnahofia usalama wa maisha yao na mali zao endapo utatokea mlipuko wa moto...
  4. Binti wa zamani

    Tumjibu mshairi Bi Shakira anauliza: Mkuna na mkunwaji, muona raha ni nani?

    Wajuvi wa kupambanua njooni mtoe majibu kwa kutumia lugha za staha. Anayepata raha zaidi ni yule anayekunwa au yule anayekuna. Nyimbo zilipendwa ya Bi Shakira kutoka Tanga Nina jambo nataraji, nami nipate baini Nina jambo nataraji nami nipate fahamu Mkuna na mkunwaji, muona raha ni nani...
  5. Z

    Huyu Matha Karua anajihusisha kwenye kesi za Tanzania kama nani haswa?!

    Huyu Bibi wa kenya Martha Karuq mbona anataka kutupanda kichwani?! Anapata wapi ujasiri wa kujihusisha na kesi za uhani nchini Tanzania? Tafadhali mamlaka zetu zisipuuzie hili jambo
  6. Stability

    Vp? Ungemchagua nani hapa?

    Mmoja peke yake.
  7. musicarlito

    Nani mmiliki wa Mwendokasi?

    Wakuu Siasa na biashara ni sumu...ni nani wanamiliki kampuni hii ya DART? Bila shaka wana nguvu kuliko serikali Hii ni dalili nzuri ya kuonesha kufeli kwa serikali...
  8. Shark

    Ni Nani amewahi kushinda kesi baada ya kupelekwa kamati ya maadili haki na Madaraka ya bunge?

    Toka hii kamati imeanzishwa imekua kama ya kulisafisha bunge na upande wa Serikali tu. Wameshawai kupelekwa wengi mpaka Pasco, Luhaga na wengineo chungu mzima lkn wote imeonekana Wana makosa hata katika kesi ambazo ni wazi kabisa bunge limekosea. Hivyo basi sijashangaa kuona mbunge Mrisho Gambo...
  9. kiwatengu

    FT: Fountain Gates FC 0-4 Young Africans SC | NBC Premier league | Kwaraa Stadium | 21-04-2025

    🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Fountain Gate FC🆚Young Africans SC 📆 21.04.2025 🏟 Tanzanite Kwaraa 🕖 10:00 Jioni #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko KIKOSI CHA FGFC kinachoanza. Kikosi cha Yanga Kinachoanza. Updates Kipindi cha Kwanza. 00' Mpira umeanza Yanga ndio wameanza mpira uko...
  10. mshale21

    Watanzania nani katuroga?

    watanzania sijui ni kutokujitambua au kutojali, asilimia kubwa ya watanzania hawazingatiii sana na hukuti wakijisumbua kuhangaikia au kuhoji mambo ya msingi yanayobeba mstakhabari wa maisha yao na taifa lao. Mambo wanayoyapa kipaumbele ni umbea, sijui jux kafanya ni kwenye harusi, mara Mo...
  11. M

    Waislam tumelogwa na nani?

    Utakuta muislam licha ya mvua kubwa kunyesha lkn utamkuta anaenda uwanjani kushabikia Simba ay Yanga ikicheza. Matokeo yake pesa zake zinapotea, anapata homa kutokana na mvua na pengine hio timu yake inafungwa. Kinyume chake kukaa dakika 5 kusikiliza mawaidha, kuingia msikitini kuswali...
  12. Megalodon

    Wakatoliki ni watu Intellectual sana : Asante askofu Pisa, Je ni nani anaevuruga amani?

    Tumsikilize Askofu Pisa, moja ya watu wanaojielewa sana hawa. Élimu humfanya mtu kuwa huru. Mchakato wa kumpata kiongozi wa kikatoliki ni Mchakato wa kielimu zaidi… Tunatambua kuwa DINI zote ni man made, ila dhehebu la Catholic Institution makes more sense. Ni nani anaevunja amani ; anaedai...
  13. T

    Lissu na wengine ni Tanzania Mpya heros. Vizazi vitawatambua hivyo.

    Salaam! Miaka mingi sana sijaandika. Nipo busy ughaibuni. Lakini, leo nimelazimika kuandika ili kuwasihi. Nikiwa huku nilipo napata wasaa mzuri wa kuona siasa za Tanzania na uelekeo wake kwa ujumla. Tanzania inakwenda kubadilika kwa mara ya kwanza tangu ianzishwe. Mikononi mwa Rais Samia...
  14. Daby

    Mimi Msela siwezi kwenda jela. Wimbo wa nani huu?

    Tulipokuwa tunakua huu wimbo ulikuwa maarufu saana. Ilikuwa ukianza kujifunza kuchana basi utaanza na hii mistari. Mimi msela siwezi kwenda jela Na nikienda jela narudi na Mihela.. Naruka tikitaka kulia na kushoto Na mademu wanitaka .... Wimbo wa nani huu?? Nautafuta
  15. K

    Kama kweli watu wana nia nzuri na nchi tujiulize ni kwanini basi hawataki kuwe na sheria na uwazi wa haki

    Hivi kumuuwa mtu ambaye anataka tu sheria zinadilike ili chaguzi kuwa huru kwa Watanzania wote ni kwa kumnufaisha nani? Je ni kunufaida Watanzania hao hao!? Kama kweli watu wana nia nzuri na nchi tujiulize ni kwanini basi hawataki kuwe na sheria na uwazi wa haki kwa wananchi kuchagua mtu...
  16. Y

    Who owes allegiance to the United Republic Of Tanzania? (Ni nani anapaswa kuwa muaminifu kwa Jamhuri ya Muungano Tanzania)?

    FOR ACADEMIC PURPOSE ONLY. Uaminifu au utii kwa Nchi ni jukumu mama na la kwanza kwa Kila raia wa Nchi husika. Mtu yeyote asiye raia anaweza kutokuwa muamimifu kwa Nchi yoyote na isiwe na madhara kwakwe Lakini sio kwa upande wa Raia. Uaminifu kwa Nchi unazaliwa na uraia wa Mtu au unaanza na...
  17. Komeo Lachuma

    Inatisha sana huyu manyara ni nani?mpaka vijana wanashindana humu JF

    Sisi wengine tumezaliwa na kukulia Dar lakini nadhani tuna ushamba mwingi sana. Mimi namsikia sikia manyara sijui manara kwa vijana wanafahamu hadi anavaa nguo gani ya ndani. Na wanabishana sana. Yaani hasa madogo ambao walikulia mbwinde wakaja mjini basi wao wanachofanya humu JF ni kuonesha...
  18. Setfree

    Kama Mfalme amesema hivi, nani wa kupinga?

    Mfalme huyu anajulikana na kusifika dunia nzima kwa sababu ya hekima ya hali ya juu, utajiri mkubwa, maisha ya kifahari na idadi kubwa ya wanawake aliooa. Pamoja na yote hayo anakiri kwamba maisha ya dunia hii ni ubatili mtupu. Huyo si mwingine ila ni Mfalme Sulemani. Unapinga kauli yake hiyo...
  19. 6 Pack

    Trump anaipambania Marekani kwa faida ya kina nani, mbona hata Ibrahim Traore anaonekana kumshinda uzalendo?!

    Niaje wakuu Leo ningependa kujua haya anayoyafanya Trump sasa ivi hapa duniani na nchini kwake kwa ujumla anayafanya kwa faida ya nani? 1. Nchi? 2. Wananchi 3. Au yeye na genge lake? Nauliza hivi kwa sababu toka amekamata wahamiaji, na kuwarudisha kwao kwa nguvu hakuna mabadiliko yoyote ya...
  20. R

    Unatabiri Kengold na timu gani zinashuka ligi kuu ? Mtibwa anarudi ligi kuu na nani?

    Kengold haina mjadala atashuka tu, Je atashuka na nani moja kwa moja bila playoffs Mtibwa kakiwasha sana championship ana uhakika wa kurudi ligi kuu, je atarudi na nani
Back
Top Bottom